Siku ya Lugha ya Kiingereza Duniani (World English Language Day) ni siku ambayo ilianzishwa na UNESCO kwa lengo la kusherehekea umuhimu wa lugha ya Kiingereza kama mojawapo ya lugha za kimataifa zinazotumiwa kote ulimwenguni.
Siku hii hutambuliwa kila mwaka tarehe 23 Aprili, ambayo pia ni...
Harmonize wewe ni msanii Mkubwa Tanzania lakini unafeli sana anapolazimisha kuandika English lhali bado hujakijua vizuri.
Harmonize unaonekana haupo Serious kwenye post zako kwa kuandika Ngeli Mbovu na zisizo na maana kwa wanaojua English pekee.
BADILIKA MKUU.
Mwandishi mkongwe wa habari nchini, aliyekuwa akiandikia Gazeti la The Citizen linalochapishwa na Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) mkoani Arusha, Zephania Ubwani amefariki dunia leo mchana baada ya kuugua ghafla wakati akiwa katika majukumu ya kikazi katika Hoteli ya Kibo...
19 March 2024
Dar es Salaam, Tanzania
A STORY BEHIND DEATH OF PRESIDENT JOHN MAGUFULI AND CONTROVERSIAL SWEAR IN OF PRESIDENT SAMIA- CDF GENERAL VENANCE S. MABEYO (RETIRED) NARRATES.
https://m.youtube.com/watch?v=3feP2dy0ZVg
Wasomi wengi hawawezi kuongea Kiingereza kwa unyoofu na kwa kujiamini.
Kuna msomi mmoja ilibidi nimuandikie barua ya kazi maana alikuwa anaenda kuabika kwa madudu aliyoandika. Ajabu ana 1.6 ya HGL na UpperSecond ya Sociology.
Naamini kama huwezi kujieleza kwa unyoofu na kwa lugha nyepesi kile...
Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama...
Yaani hii nchi MTU anayejua kiingereza ndo MTU anayekubalika Kama msomi.
Inafikirisha Sana hili jambo. Tunapima level ya intelligent kwa kuangalia lugha.
NB: Vijana jifunzeni kiingereza ili msipitwe na maarifa maana maarifa mengi yapo katika lugha ya kiingereza.
Dear all
I hope this list will be of use to teachers and students of English. Further details of the script used to illustrate pronunciation will be provided in a future post.
Have a nice weekend.
JM
Hayo sio maneno yangu bali ni maneno ya Producer mkongwe wa muziki wa BongoFleva nchini Master Jay.
ANGALIA VIDEO HAPA
Je ni kweli Harmonize hajui kuimba kwa Lugha Kiingereza?
Written by Mjanja M1 ✍️
I would like to announce the launch of a new course for Swahili speakers to learn basic English.
Its name is Kiingereza - Hatua kwa Hatua.
I'm the author of this course and I feel that it has the potential to have a very positive impact on education in Tanzania, in particular by providing a...
Habari zenu.
Jina langu ni James Munn na mimi ni mwandishi wa kozi mpya ya msingi ya Kiingereza kwa wazungumzaji wa Kiswahili, inayoitwa Kiingereza - Hatua kwa Hatua. Ninaamini kuwa katika miaka ijayo, kozi hii itachangia kwa kiasi kikubwa katika elimu nchini Tanzania. Kozi hii ni muhimu kwa...
Muhimu: Kiingereza ni lugha sio kipimo cha akili au mafanikio, Faida ya kumpeleka mapema mtoto shule ya kiingereza ni sawa na kukijua kiswahili mapema kwenye kijiji wanachoongea kisukuma
Nikiwa shuhuda mwenyewe, binafsi nimesoma shule ya english medium nami nimekuwa mkubwa najinyima kuwapeleka...
Ukikutana na Mgeni hasa Mzungu au Mmarekani Mweusi halafu ukataka kufanya nae Mahojiano basi hakikisha Maswali yako yanakuwa ni mafupi mafupi na ya moja kwa moja sawa?
Muda mfupi uliopita nimekusikia Sports Extra ya Clouds FM ukitumia dakika 5 nzima Kuzunguka Kuuliza Swali la Sekunde 10 au 15...
'Otherwise these is absolutely rubbish;' by PhD Holder and JamiiForums Great Thinker dr namugari
Tafadhali Wordsmiths Wengine akina jiwe angavu na Division One Mimi GENTAMYCINE nataka Kukijua hiki Kiingereza Kibovu cha huyu Member hapa Jamvini JamiiForums je, naweza kupata tu Mawasiliano yake...
Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza.
Huo ndio ukweli lazima tuuseme. Ukiingalia mataifa yote yanayotumia kiingereza kama official language yanatuzidi sana kwenye maendeleo na kutekeleza mambo muhimu.
Watu wao wako very seriously...
"Alex Luambano kiukweli nchi ni nzuri na tumefika Salama hapa Kigali Rwanda, ila tatizo Kubwa tunalolipata ni wengi wetu kurokujua Lugha ya Kiingereza kiasi kwamba tunalanguliwa mno Bei ya Taxi" amesema Mtangazaji Mkazuzu wa Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM dakika chache tu...
Hili ni gazeti la lugha ya kiingereza la leo 12/09/2023 kutoka Tanzania!
Kichwa cha habari ni sahihi? Najua ujumbe kusudiwa umefika! Najua ni makosa ya kibinaadamu! Tatizo wakenya wataanza nongwa!
Hatari sana hii!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.