boti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    Rufiji: Vijiji 23 vimekumbwa na mafuriko makubwa kutoka Bwawa la Umeme la JNHPP. Je, Tathmini ya athari kwa mazingira ilipuuzwa kabla ya ujenzi?

    Inasikitisha sana kusoma kwamba Zaidi ya Vijijini 23 Wilayani Rufiji vilivyopo kwenye blonde la mto Rufiji Vimekumbwa na Mafuriko Makubwa ya maji kutoka bwawa la umeme la Nyerere. Vijiji hivyo viko kwenye kata 12 Zenye kaya zaidi ya 1,000 ambapo makazi,mashamba,mazao na Mali nyingine...
  2. BARD AI

    TANZIA Mtanzania Abraham Mgowano aliyeajiriwa na Google afariki dunia kwa kuanguka kwenye Boti na kuzama

    MAREKANI: Mwili wa Mtanzania Abraham Mgowano aliyekuwa akiishi na kufanya kazi katika Kampuni ya Google kama Mhandisi wa Programu Endeshi (Software Engineer) umepatikana ukielea katika Mto Miami jijini Florida baada ya kuanguka kwenye 'Boti'. Abraham aliripotiwa kupata ajali Februari 24, 2024...
  3. A

    KERO Sehemu ya kusubiria boti Zanzibar inatia aibu

    Mamlaka ya bandari Zanzibar sidhani kama haioni hali ya sehemu ya kusubiria boti kwenye bandari yao. Wateja wengi wa boti hupanda economy class ambayo watu wengi husubiria huku kwenye viti vya plastic. Safari inamtaka mtu afike pale walau lisaa limoja kabla. Hivyo hutumia viti akisubiria...
  4. Scaramanga

    Ushauri boti za Azam

    Kwanza kabisa niwapongeze kwa kuwa na usafiri mzuri na wa uhakika ila niwape ushauri kidogo. Hata kama ni daraja la Economy tambueni kuna watoto, wazee na wanaohitaji msaada. Tiketi hata za basi siku hizi kuna namba ya siti ila kwenye boti zenu daraja la economy kiukweli mnakose. Boti inajaza...
  5. BARD AI

    Bunge la Nigeria lakataa kuidhinisha Bajeti ya Tsh. Bilioni 6 kununua 'Boti' ya Rais

    Wabunge hao wamesema Bunge haliwezi kuidhinisha kiasi hicho cha Fedha kwasababu ni matumizi mbaya ya Kodi za Wananchi hasa kwa kipindi ambacho Nchi inakabiliwa na mdororo mkubwa wa Uchumi. Serikali ya Rais Bola Tinubu imeanza kukumbana na changamoto tangu kuingia kwake madarakani ambapo mwezi...
  6. R

    Kipande cha neno la shukrani kwa Rais Samia kutoka kwa mnufaika wa boti za uvuvi Lindi, atakuwa anajua hata mwani ukoje kweli?

    Mmoja ya wananchi aliyechaguliwa kutoa neno la shukrani kwa Rais Samia, baada ya Rais kukabidhi boti za uvuvi, ikiwemo boti za mwani mkoani wa Lindi leo tarehe 19/9/2023.
  7. R

    Ajali ya boti Bukoba, 28 waokolewa

    Inasemekana jana kwenye Kisiwa cha Kelebe, Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera boti iliyokuwa inatokea Ukerewe kuelekea Bukoba ilizama na kati yao 25 waliokolewa, huku mtu mmoja akiwa hajulikani alipo. Ikiwa imepita siku tatu bila ya mtu huyo kupatikana katika uokozi huo itachukuliwa kama amefariki...
  8. JanguKamaJangu

    Senegal: Boti iliyobeba Wahamiaji 200 yapotea kwenye maji

    Waokoaji wa Uhispania wanaendelea na msako wa mashua hiyo karibu na Visiwa vya Canary ambapo inadaiwa haijulikani ilipo tangu ilipoanza safari zaidi ya wiki moja iliyopita. Kundi la misaada la Walking Borders linasema boti hiyo ya wavuvi ilisafiri kutoka Mji wa Kafountine, Kusini mwa Senegal...
  9. JanguKamaJangu

    Watu zaidi ya 150 wamekufa maji katika ajali ya boti nchini Nigeria

    Boti hiyo ilikuwa ikiwasafirisha watu katika jimbo la Kwara kutoka kwenye harusi katika jimbo jirani la Niger wakati ilipoanguka, polisi wa jimbo hilo na ofisi ya gavana walisema, bila kutoa maelezo ya chanzo cha ajali Zaidi ya watu 150 wamekufa maji kaskazini mwa Nigeria baada ya boti...
  10. Nyendo

    Boti yenye watalii yawaka moto Baharini

    Waokoaji Nchini Misri wanawatafuta Watalii watatu wa Uingereza ambao hawajulikani walipo baada ya moto kuzuka kwenye Boti waliyokuwa wakisafiria baharini nchini Misri jana Jumapili. Vyombo vya habari vya Misri vimesema Boti hiyo ya Watalii ilikuwa imebeba jumla ya Watu 27 huku miongoni mwao ni...
  11. JanguKamaJangu

    Libya: Abiria 55 wafariki baada ya boti kuzama

    Boti hiyo iliyokuwa imebeba wahamiaji wakielekea Barani Ulaya imezama katika Pwani ya Libya ilikuwa na abiria 60. Watu watano wamesalimika akiwemo mtoto raia wa Syria, huku Wanausalama wakiwa na kazi ya kuopoa miwili kutoka kwenye bahari. Libya imekuwa ikitumika kama njia kuvuka kwenda Ulaya...
  12. Offshore Seamen

    Injini za Boti aina ya Mercury 40hp 2 stroke zinauzwa

    Tunauza engine used za boti aina ya Mercury Outboard 2-Stroke zenye 40horse power. Engine hizi zina 697cc ni inline 3 cylinder, zinatumia petrol na 2 stroke oil ,uwashaji wake ni wa kuvuta kick na usukani ni wa mkono. Engine ni ya carburetor na used kutoka Africa kusini. Engine bei ni...
  13. BARD AI

    Mwanamke ajifungua ndani ya Boti ya Kilimanjaro V

    Mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Maryam Yahya Maulid mwenye miaka 25 leo, Aprili 14 saa 7:45 mchana amejifungua mtoto wa kiume akiwa ndani ya Boti ya MV Kilimanjaro V iliyokuwa ikitokea Zanzibar kwenda Dar es Salaam. Mwanamke huyo amejifungua salama kwa msaada wa Daktari Suleiman wa...
  14. Nyendo

    DR Congo: Watu sita wafariki Dunia na wengine kadhaa hawajulikani walipo baada ya boti kuzama Ziwa Kivu

    Takriban watu sita wamefariki dunia, na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya boti kuzama katika upepo mkali Ziwa Kivu Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. Boti hiyo ilikuwa imesheheni wafanyabiashara na bidhaa zao zikitoka Mugote katika mkoa wa Kivu Kusini kuelekea Goma, mji...
  15. BigTall

    DOKEZO Serikali iangalie hali ya usalama kwenye boti za mwendokasi Kivukoni na Kigamboni

    Mimi ni mwananchi wa kawaida leo nimeamua kuweka hili suala wazi ili jamii ione wazi kuliko kuendelea kulalamika chinichini kila siku. Naamini kupitia hapa Jamii Forums ujumbe huu utawafikia Watanzania wengi na vyombo vya Serikali kuweza kuelewa ninachokiandika hapa. Hoja yangu ni kwenye zile...
  16. S

    Nahitaji nahodha wa boti ya uvuvi

    Ndugu zangu, Nawasalimu. Nina miliki boti ya uvuvi yenye uwezo wa kuvua bahari kuu, chombo kinaweza kubeba hadi tani moja na nusu ya samaki. Kwa mazingira yetu ya Kitanzania, chombo hiki ni cha kisasa na kinatumia injini ya ndani (Inboard) ya isuzu yenye HP 95. Nahitaji nahodha mjuzi, mzoefu...
  17. JanguKamaJangu

    Italia: Wahamiaji 59 wafariki baada ya boti kuzama baharini

    Watoto 12 ni miongoni mwa waliopoteza maisha katika ajali hiyo huku watu wengine kadhaa wakiwa hawajulikani walipo ikiaminika ilibeba zaidi ya abiria 150. Watu 80 wamesalimika na baadhi yao wanasema meli ilikuwa inakaribia Pwani ya Crotone eneo la Calabria. Meli hiyo iliyotengenezwa kwa mbao...
  18. Christopher Wallace

    PSU kuna manahodha wa meli/boti?

    Rais Samia Suluhi Hassan leo alitumia usafiri wa boti kutoka Zanzibar kuja Dar Es Salaam. Je, huko kwenye Idara ya Ulinzi wa Rais kuna ambao ni manahodha wa boti au meli? Ambapo ikitokea Rais anatumia usafiri wa maji basi waweze kumuendesha? Maana safari za namna hizi za Rais kutumia usafiri...
  19. L

    Watalii watembelea msitu wa minazi kwa boti za mianzi huko Vietnam

    Watalii wanatembea msitu wa minazi katika sehemu ya pwani nchini Vietnam kwa kupanda boti za mianzi. Boti hizo zimevutia watalii wengi ambao kama wakipenda, wanaweza kufurahia ngoma za kitamaduni na kushiriki katika mashindano ya kupiga makasia.
  20. Analogia Malenga

    15 wafariki kwa ajali ya boti Nigeria

    Idadi ya waliofariki katika ajali ya boti katika mji wa biashara wa Nigeria Lagos imeongezeka na kufikia 15 huku miili zaidi ikiopolewa, maafisa wa dharura wamesema Jumapili. “Kulikuwa abiria 16 ndani ya boti wakati ajali ilipotokea Ijumaa usiku,” Ibrahim Farinloye wa idara ya kitaifa ya...
Back
Top Bottom