Search results

  1. Vichekesho

    Mawazo huru: Muungano wetu Upige hatua 1 mbele

    Katika hatua yakwanza tulifanikiwa kuiua na kuizika Tanganyika, safari hii tuiue na kuizika Zanzibar tubaki na Tanzania tu. Unguja na Pemba iwe mikoa, tuweke wakuu wa mikoa wawili kule, nchi iwe 1 tuendelee kuchapa kazi. Wafitini wasiopenda muungano wetu wakose hoja maana nchi itakuwa 1, Rais...
  2. Vichekesho

    Dharau: Mshahara wa Mgunda + Matola haufikii nusu ya mshahara aliokuwa akilipwa Benchikha

    Hii ni dharau, pili mshahara wa Benchikha ulitoka kwa mmiliki wa club ya Simba yaani Mo (alisema kainunua na hajawahi kufuta kauli yake), mishahara ya Mgunda na Matola inatokana na mapato ya club, yaani ikitokea watu wamechelewesha kodi kwenye lile jengo lao, au wanachama wamesusia kulipa ada...
  3. Vichekesho

    Hivi kwanini vijana wa CHADEMA walikuwa wanahusishwa na Viroba?

    Ndugu yangu Yericko Nyerere na makada wengine nikwanini mna nasibishwa na pombe kali aina ya viroba?
  4. Vichekesho

    Tetesi: Ahmed Ally Kutupiwa virago Simba?

    Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi. Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi na heshima za wachezaji wao. Benchikha aliposema hajawahi kukutana na wachezaji wenye vichwa vigumu...
  5. Vichekesho

    Hongereni kamati ya vimbunga kwa kupitisha jina la Hidaya

    Kwakweli huyu binti alinivuruga sana, alikula pesa zangu nyingi sana, alitembea na kila mtu mtaani, sasa ameyatimba. Mpaka wazungu wamemchoka wameamua kutoa jina lake kwa kimbunga. Mahidaya wote ni kama kimbunga tu.
  6. Vichekesho

    Nimekuja Morogoro, Mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini

    Leo nimekuja kutembea Morogoro, cha ajabu kuna mbu nawaona hapa wananing'ata kisha wanaanguka chini, wanakuwa kama wamelewa chakari. Kitaalamu hii inaitwaje? JamiiCheck fanyeni utafiti mje na jibu ili kunusuru maisha ya hawa viumbe.
  7. Vichekesho

    Wanaofanya tuchepuke ni wadada wanao tukataa bila sababu

    Mtu kama Mzigua90 akinikubalia ntachepuka ili iweje? Kazi yangu itakuwa ni kutafuta hela na kumletea, nayeye kazi yake itakuwa kuhakikisha napata raha. Nasema uongo ndugu zangu?
  8. Vichekesho

    Shetani ananiandama bila sababu za msingi

    Nimehamia mtaa wa pili baada ya sinto fahamu iliyotokea mtaa wa kwanza ambapo mke wa mtu alinizoea sana mpaka watu wakahisi vinginevyo, kuepusha shari nimehamia mtaa wapili, huku nilipo hamia kwenye chumba cha upande wa kulia kuna subwoofer yamaana, upande wa kushoto subwoofer ya kuunga unga ila...
  9. Vichekesho

    Hivi Peponi kutakuwa na Nyama Choma?

    Miongoni mwa mambo ninayo yangoja kwa hamu ni kuingia mojakwamoja peponi. Naomba kuuliza wataalamu wa maandiko endapo peponi kuna nyama choma yenye pilipili kwambaali na limao. Imeandikwa tutakula vinono, naomba kujua kama kuna mwenye menu tafadhali. Lamomy wewe paradiso isahau, kwasababu...
  10. Vichekesho

    Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

    Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana. Sema biashara sahivi haijachanganya sana, mje mniunge mkono nisije nikafa njaa mkakosa majeneza yakisasa.
  11. Vichekesho

    Mo akizira au kukata tamaa, Simba inadondokea nafasi ya 4

    Wakati mashabiki wenzangu wa Simba tukiendelea kusherehekea ushindi huu, tuweke akilinini mwetu ukweli huu kuwa tajiri akizira tunayatimba.
  12. Vichekesho

    Kisa cha Chumvi na hatma yangu shuleni

    Nilipokuwa shuleni, sikuzote niliketi karibu na dirisha na kutazama jiko la kantini! Siku moja Mwanamke anayepaswa kuandaa chakula siku hiyo kaweka chumvi kisha akatoka na kwenda zake, baada ya muda mfupi mwanamke mwingine kaja na kutaka kuweka chumvi nyingine, ndipo nilipo sahau kabisa kuwa...
  13. Vichekesho

    Naomba kujuzwa dawa ya macho kuwasha

    Naelekea duka la dawa. Nikanunue dawa gani na bei ikoje? Usiniambié habari za kwenda hospitali, we taja dawa. Wengine tuliiba mashuka ya hospitali tukienda tu tunazua taharuki.
  14. Vichekesho

    Kisa cha Mwalimu Genta na mwanafunzi wake aitwaye Lamomy

    Mwalimu GENTAMYCINE: Lamomy Kwanini umechelewa kuja shule? Lamomy: Kwasababu ya maelekezo ya kibao barabarani. Mwalimu Genta: Maelekezo ya kibao yanahusianaje na uchelewaji? Lamomy: Kibao kimeandikwa "School Ahead, Go Slow!" kwahiyo nikaona nisivunje sheria.
  15. Vichekesho

    Kisa cha mtoto mtukutu

    Asubuhi na mapema baada ya kuamka, mtoto anamfuata mama yake kwa bashasha. Mtoto: Shkamoo mama Mama: marahaba hujambo Mtoto: sijambo mama. Mtoto: Mama kwani tumenunua gari? Mama: kwanini mwanangu? Mtoto: Usiku nilisikia baba anakwambia "ikisimama upande"
  16. Vichekesho

    Kisa cha Mkuyenge wa Punda

    Sikumoja punda alikutana na punda jike, pembeni kulikuwa na nyumba ya mkulima yenye jogoo na ng'ombe. Baada ya punda dume kumwona punda jike basi akachomoa mkuyenge wake, jogoo alipoona mkuyenge wa punda akataharuki sana, ikabidi awike kwa sauti ya kuuliza "Uniniiiiii?" Ng'ombe akaitikia...
  17. Vichekesho

    Usajili wa Jobe na Fredy umekaaje kihasibu?

    Ndugu mhasibu CPA OKW BOBAN SUNZU tunaomba utupe mchanganuo wa kitaalamu kuhusiana na usajili wa ma straika hawa hatari katika viunga vya Msimbazi.
  18. Vichekesho

    Mnafiki ishi naye Kinafiki: Ni wakati wa kumrudisha Kagere na Boko Simba

    Hawa ma forward walioletwa wameshindwa kuendana na kasi ya kikosi chetu. Tunawataka viongozi wetu msimu ujao wawarejeshe Kagere na Boko ili kuchukua makombe. Huu ni ushauri wa kitaalamu, Benchikha atanielewa vizuri kuliko popoma. Kihasibu ndugu Jobe na Fredi ni hasara sindio OKW BOBAN SUNZU
  19. Vichekesho

    Sio siri huyu Mzigua90 ananichanganya sana

    Mimi ni mgeni humu, sijajua kama inaruhusiwa kutongoza ila kiukweli mimi huyu Mzigua90 ananichanganya sana. Najikuta natumia muda mwingi kumuwaza. Hakyanani tena.
  20. Vichekesho

    Maoni Binafsi: Mzee Wassira alipaswa kuwa Rais wa hii nchi

    Najua wapo watakao beza ila huyu mzee ni presidential material aisee. Kama ulikuwa unamfahamu kijuu juu chukua muda wako mfahamu kwa kina zaidi. Nashauri chama changu kimpe nafasi mwakani kwa lazima hata kama hataki, atuongoze kwa miaka 5 tu.
Back
Top Bottom