Vichekesho
JF-Expert Member
- Mar 28, 2024
- 320
- 597
Inadaiwa kauli zake za hivi karibuni zimechangia kushusha morali za wachezaji na kupelekea baadhi ya wachezaji kuleta mgomo baridi.
Ikumbukwe kuwa uongozi wa Simba uko makini sana kulinda hadhi na heshima za wachezaji wao.
Benchikha aliposema hajawahi kukutana na wachezaji wenye vichwa vigumu kama wa simba alipewa wito wa kuhojiwa na kamati ya nidhamu na kabla haijafika siku ya mahojiano, yeye pamoja na wasaidizi wake waliagizwa kwenda kumuuguza mke wake.
Inadaiwa kuwa kamati ya nidhamu haipendezwi na kauli za msemaji wao kuhusu suala la uzembe wa wachezaji wao na muda wowote kuanzia sasa yatafanyika makubaliano ya pande 2 ili Ahmed Ally akauguze huko kwao.