Search results

  1. The dumb Professor

    Naombeni msaada: Nimeng'atwa na mjusi shingoni

    Dakika kumi zilizopita nilikuwa nimekaa chini ya mti nakula upepo, mara ghafla kamjusi kadogo kakaanguka kutoka mtini na kutua shingoni. Kamening'ata na sasaivi shingo imeanza kuwasha na kuvimba. Naogopa kufa, bado sijapublish theory yangu ya Everything...naombeni msaada Jf doctor:Floshed:
  2. The dumb Professor

    Hivi TV za Mewe ni nzuri kweli?

    Nilikuwa ninacheki Tv ya kununua, nikashangaa Mewe ni Tv cheap sana. Yani Hisense,LG, TCL inch 55' kariakoo wanauza around 1.2M halafu Mewe yenye sifa hizo hizo wanauza laki 8. Sasa nikajaribu kuwauliza wauzaji ila wakasema kuwa hazitofautiani hata ubora ni jina tu. Wanasema Mewe wako vizuri...
  3. The dumb Professor

    Baba mkwe hataki nihame kwake

    Wataalam, Huyu baba mkwe jau kichizi, anazingua kinasti. Jana nilimtonya mpango wangu wa kutafuta ghetto nihame kwake mshahara ukitoka tu, akaja juu sana. Eti anasema "ooh unafanya hivyo Kwasababu ya ile ishu ya luku?, unataka utengeneze picha kwa Binti yangu kuwa ninakufukuza? Ww kaa hapo...
  4. The dumb Professor

    Kwa bajeti ya milion 2 niwekeje ghetto liwe Kali?

    Wataalam, Asiwadanganyeni mbwa yeyote kukaa kwa baba mkwe jau sana...Hii nyumba nayoishi masaki ni ya baba mkwe, Sasa juzi kati luku iliisha nikampigia kumuomba anunulie nyumba yake umeme,looh hayo maneno niliyomwagiwa ni heri kumwagiwa maji ya ukoko. Sasa kwa hasira nachofanya mshahara...
  5. The dumb Professor

    Hivi ndivyo itakavyokuwa pale unapoanza kufa

    Nguvu za mwili zitaanza kukuishia, Utasikia kama usingizi mzito unakuja, Mapigo ya moyo yatapungua kasi, Hali ya kukata tamaa kupigania uhai itakujia. Utawaza maisha Yako tangu kumbukumbu za utoto wako mpaka hapo ulipo. Utawaza mambo mabaya na mema uliyoyafanya/yaliyokutokea. Utawaza vitu...
  6. The dumb Professor

    Mrejesho: Yule jamaa aliyenitafutia kazi, leo nimemchana

    Wataalam, Jana nmetoka kuachia 30k kwa jamaa aliyenitafutia kazi, alinlilia shida eti anahitaji kuweka mafuta. Ile nafika home najisachi nakuta kwenye pochi nmebakiza shingi 300 tu. Kidogo nlale njaa ila bahat nzuri baba mkwe ana mawe kidogo, nikamtwangia hewani akanrushia kama laki3 ila kwa...
  7. The dumb Professor

    Naomba Ushauri: Naona kazi ya Ualimu inataka kunishinda

    Wataalam, Nimeanza hii kazi mpya ila kidizaini kama naona maji yanataka kuzidi unga. Naomba tu niwe muwazi kwenu kwa leo, kazi ninayofanya ni mwalimu wa chuo kikuu kikubwa hapa Dar na nchini (ingawa wenzangu hawapendi kujiita waalimu). Ninafundisha sanasana physics. multipurpose kuanzia...
  8. The dumb Professor

    Ndo nimeajiriwa kwa huu mshahara, nipeni mbinu za kufanya nitoboe ndani ya huu mwaka

    Wataalam wa Darisalaam nawasalim, Ndo nmereport kazin apa na takehome ya 1M. Nipeni mbinu za kufanya ili kufikia mwisho wa mwaka huu nisiwe Tena mtegemezi wa mshahara. Nipeni mbinu za kiasi gani Cha kusave, kuspend na kuinvest ili kijana wenu nisiwe napiga marktime. Na kama nainvest nipeni...
  9. The dumb Professor

    Wazazi kuweni makini na watoto/vijana wadogo kutembea Usiku mitaa ya Sinza na Kinondoni

    Wasalaam Wataalam wa Darisalaam, Sinza na kinondoni sio mitaa ya kuruhusu kijana wako atembee usiku, kwanini? Ngoja niwarudishe nyuma miaka kadhaa nilipokuwa kijana mdogo tu aliyemaliza form four. Ndevu Bado zinaota ota. ilikuwa wikendi moja tukufu ya sikukuu, Mimi na rafiki yangu tumetòroka...
  10. The dumb Professor

    Nimegundua Mwanamke wangu anajiuza

    Wataalamu, Acheni tu, leo mjukuu wenu Niko oves sana. Nimegundua Dem wangu kumbe anafanya kazi ya kujiuza huko Ulaya. Kilichonifanya nigundue ni kama bahati tu. Nimewasha VPN ikasoma UK halafu nikaingia mtandao wa tinder. Ukawa unaniletea options za UK, kuja kuhamaki namuona Dem wangu...
  11. The dumb Professor

    Shingi 200 leo kidogo inivue utu

    Wataalam, Leo nmepanda daladala hapa Dar, Yani saivi tu kama nusu saa ilopita nilikuwa natoka job nmeachana na yule broo aliyeniunganisha na hyo kazi(nmemuachia 30k).... , Sasa nauli nakoenda ni 800, mi konda nikampa buku ila hakunrudishia chenji. Ile nashuka nkadai chenji akasema eti...
  12. The dumb Professor

    Nipeni ushauri: Haya mahusiano na mtoto wa kigogo yananitesa

    Wataalam, Nimekuwa kwenye mahusiano ya takriban miaka mi3 Sasa na huyu Binti mmoja mtoto wa Kigogo mkubwa hapa Tanzania. Kusema kweli Binti ananipenda na Mimi nampenda sana. ila changamoto imekuja hapa baada ya kutaka kufikia hatua ya ndoa. Ni kwamba Binti nilikuwa nakaa naye nyumbani kwake...
  13. The dumb Professor

    Jamaa yangu ananitesa kisa alinitafutia kazi, ni haki?

    Wasalaam, Nilikuwa down bad, yaani nimepigika kinoma, yaani apeche alolo, yaani mbombo ngafu, yaani moja haikai mbili haikai, Yani nmechina mweupe pee. Kula ya mashaka, kulala kama ndege. Ila Kuna huyu jamaa angu tulisoma ote Olevel akaniconnect kwenye ajira inalipa fresh sio haba. Sasa...
  14. The dumb Professor

    Nina dogo amemaliza Form Four, nimpeleke shule/chuo gani?

    Wakuu, Naombeni ushauri. Nina dogo amemaliza form four, je nimpeleke shule/kozi gani kwa ajili ya future yenye uhakika? Ana division 1 ya 10 NB: uwezo wa kumsomesha chochote popote upo.
  15. The dumb Professor

    Kwa huu mshahara, take home ni shingapi?

    Hello wajuvi nimepewa offer huko private sector naomba mnisaidie calculation ya takehome kwa huu mshahara: 582,000/=. Nadaiwa HESLB.
  16. The dumb Professor

    Baada ya kupata kazi wanawake wengi wanajipendekeza kwangu

    Habari, Kipindi nipo jobless hapa mjini, wanawake wengi walikuwa wananiringia hata salamu tu. Mtaani hapa nilikuwa Kila nikitongoza wanatema nje. Lakini baada ya kuajiriwa nashangaa Kila mwanamke yupo humble, peaceful na anajituma. Wakija kunisalimia wanafua mashuka na kuosha vyombo na kufanya...
  17. The dumb Professor

    Tukutane hapa wapenzi wa Cartoons

    Guys! Nostalgia is a real disease. Niliangalia katuni utotoni mpaka leo Bado zile theme songs, characters, story lines zinaexist nyuma ya ubongo wangu. Tukutane hapa wazee wa CN, nickelodeon, Boomerang na Disney. Tukumbushiane baadhi ya cartoons tulizowahi kuzicheki Kwangu Mimi hii hapa top 15...
  18. The dumb Professor

    Wenyeji nipokeeni

    Hodi hodi uwanjani, Wenyeji nifungulieni, Clamyidia mi mgeni, Wenyeji nipokeeni. Ninagonga mlangoni, Majirani tusiwaamsheni, Clamyidia nifungulieni, Wenyeji nipokeeni. Naskia JF sio gengeni, Hakuna stori za vijiweni, Great thinkers wamesheheni, Clamyidia nipokeeni. Insta na FB ndio kwetu...
Back
Top Bottom