Search results

  1. Faana

    Richest Pastors in Africa

    Tunaokwenda kupewa upako https://www.youtube.com/watch?v=DiY4brWlnrw
  2. Faana

    Hali ni Tete

  3. Faana

    Ushauri: Hizi habari zipelekwe kwenye jukwaa lake

    Leo tumeamka na nyuzi za lugha mpya na zina dominancy ya kutosha humu, nashauri zipelekwe kwake kwenye eneo husika maana nimeliona lipo humu
  4. Faana

    Msaada: Swali la Ufahamu

    Katika imani ya kikristo tunaambiwa Malaika Mkuu aliitwa Gabriel, baadaye malaika huyo aliasi nakugeuka kuwa shetani na Mungu alimfukuza katika kundi la malaika wake. Je kama ni sahihi watu kupewa jina la Gabriel ambaye ni shetani? Je kuna logic gani makanisa kupewa majina kama hayo? Nimepita...
  5. Faana

    Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita muda huu 18.03.2024 saa 16:16

    Hali ikoje huko uliko? Hapa Moro limepita tetemeko la ardhi na dakika kadhaa kabla yake wamesikika kuku, mbwa wakitoa milio iliyoashiria kuwepo kitu kisicho cha kawaida.
  6. Faana

    Piga Kura

  7. Faana

    Morogoro: Fire na Uokoaji hii Fedheha kwa Wizara Yenu

    Inasikitisha sana kuwa na Askari wanaolipwa mishahara, wamenunuliwa vitendeakazi, wamepewa magari mazuri na serikali lakini wapowapo tu hawafanyi kazi yao. Kuna matukio mawili yanafanana ambayo kikosi hicho kimeshindwa kabisa kuyatendea haki. Mwaka 2022 katika eneo la Kihonda VETA mwanafunzi...
  8. Faana

    Kishindo Knachoendelea Huko kwa Jirani Huenda ni Viagra

    Mwanzo majira ya saa 3 hivi nilidhani mafundi wanafumua sementi ili asubuhi waweke tiles au wanavunja ukuta, baadaye hali ikawa mara mbili ya ile ya awali, kama kweli watu wanatumia hayo madawa basi anayejiumiza ni aliyebugia siyo aliyepaniwa, ndiyo maana anayekufa ni mwanaume
  9. Faana

    Msaada wa Bunge kwa Wahanga wa Mafuriko Hanang

    Nimesikia katika kipindi cha Nipashe Radio One kuwa Bunge limetoa kilo 3000 za mchele na unga pamoja na kilo 15 za sukari na kiloo ? za mbegu, je idadi ya wahanga imefikia wangapi hivi sasa?
  10. Faana

    SUA itendeeni Haki jamii ya Watanzania

    Sina nia mbaya wala lengo la kuwaharibia biashara zenu, ila ninyi kama taasisi kubwa nchini inayotumia resources nyingi kwenye tafiti mbalimbali za kilimo, hili la matunda yenu mmeshindwa kabisa. Mfano mmoja kati ya mingi ni haya maembe yenu ya kisasa utakuta kati ya maembe na mapera 10...
  11. Faana

    Ukimaliza kutumia computer ya public futa vitu vyako na logout kwenye akaunti yako

    Ni muhimu kukumbuka kuacha computer inayotumiwa na wengi ikiwa safi na vilevile taarifa zako zikibaki kwenye account yako bila kujulikana kwa wengine. Nimetoka kwenye stationery moja mitaa ya Ubungo karibu na hostel za chuo kikubwa zilizojengwa kwa matofari ya kuchomwa. Kuna mdau ameacha kila...
  12. Faana

    Mkalimani wa Movie kwa Kiswahili kwenye Mabasi

    Hivi hakuna mamlaka inayosimamia na kuchuja kiasi cha uongo kilichomo kwenye movie ya kiingereza zinazotafsiriwa kwa Kiswahili humo kwenye mabasi nimemsikia akisema? My pleasure = hamna shida Let us go = nenda nyumbani How! = Wapi sasa
  13. Faana

    TANZIA Tanzia: Msaidizi wa Askofu Dayosisi ya Kusini KKKT Dkt. Gabriel Nduye Afariki Dunia

    Taarifa zinasema Msaidizi wa Askofu wa Dayosisi ya Kusini ya KKKT Dr. Gabriel Nduye amefariki dunia leo kwa ajali ya gari. Imeelezwa kuwa Mchg. Dr. Gabriel Nduye amepata ajali baada ya gari lake kugongana na lori katika kijiji cha Ng'anda Njombe alipokuwa akirejea kutoka kwenye semina ya...
  14. Faana

    Nani Mwenye Wajibu wa Kulinda Transfoma za TANESCO?

    Ningependa kujua ni nani mwenye wajibu wa kulinda transfoma za TANESCO dhidi ya wezi wa mafuta ya machine hizo? Imetokea mara kadhaa (zaidi ya mara nne kwa mujibu wa wahanya/ wateja) transforma iliyowekwa kwenye pori na TANESCO katika mtaa wa Vespo Kihonda Morogoro kuibiwa mafuta yake nyakati za...
  15. Faana

    Naomba msaada kulielewa jambo hili

    Kwa anaye lielewa hili jambo kwa kina anisaidie nami kulielewa. Tunasema Mungu aliumba mbingu, nchi na vilivyomo kwa siku sita na siku ya saba akapumzika, hiyo siku ya saba ni Jumamosi ambayo Wasabato kupumzika. Lakini siku hiyo ya saba iko termed ni Jumamosi kwa maana ni siku ya kwanza...
  16. Faana

    Morogoro: Tetemeko la Ardhi limepita kati ya saa 12:31 - 12:32 mchana

    Nipo mitaa ya 88 mji kasoro bahari mida hii 12:31 - 12:32 Pm limepita tetemeko la ardhi japo kipimo chake hakijajulikana, labda mamlaka husika zitasema. Enjoy your day guys
  17. Faana

    Wale wa hizi enzi tukutane hapa

    Naomba Mods msiufute uzi huu wala kuuhamishia mjuako, binafsi hizi picha zimevuta taswila ya mambo mengi akiwepo mzee pekee aliyekuwa na duka mtaani kwetu, ilikuwa ukienda kununua bidhaa anakuuliza chenji yako ni kiasi gani? Ukishindwa hesabu kama unasoma madarasa ya kuanzia Std 3 na kuendelea...
  18. Faana

    Lost and Found

    Kuna mdau humu alipendekeza kuwepo ukurasa maaulumu kwaajili ya kutangaza vilivyopotea na kupatikana au kupotea jumla Nimeona hili tangazo huko huenda ukurasa huo ungekuwepo ungesaidia wengi hapa
Back
Top Bottom