Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 32,353
- 34,114
Kwa anaye lielewa hili jambo kwa kina anisaidie nami kulielewa.
Tunasema Mungu aliumba mbingu, nchi na vilivyomo kwa siku sita na siku ya saba akapumzika, hiyo siku ya saba ni Jumamosi ambayo Wasabato kupumzika. Lakini siku hiyo ya saba iko termed ni Jumamosi kwa maana ni siku ya kwanza kutokana na neno mosi kumaanisha moja.
Siku moja nilimsikia Sheikh akisema siku sahihi ya kupumzika kwa mujibu wa maandiko ni Ijumaa ambayo ni siku ya saba katika wiki.
Ukija upande huu mwingine tunasali Jumapili tukisema ndiyo siku ya mapumziko. Swali ni kwamba ni nani alirekodi hizo siku na kuja na siku hizo mtofautiano wa mapumziko ya Mungu? Nini siri iliyopo nyuma ya mtofautiano huo?
Natanguliza shukurani kwa wachangiaji chanya wote