Search results

  1. kalisheshe

    Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

    Hapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza. Kuna ngoma kali kuishinda hii? https://www.youtube.com/watch?v=ETzJwQlXTsE
  2. kalisheshe

    Ni muda wa Simba SC kumchukua kocha Florent Ibenge

    Kama ni kweli kocha Benchika anaondoka mwisho wa msimu, hakuna haja tena ya simba kutafuta kocha kutoka mbali au kocha mwenye rangi nyeupe. Ibenge ni mmoja kati ya makocha wenye CV kubwa barani Africa, kinachomuongezea faida ni ubora wake katika kuwajua wachezaji na kulijua vyema soka la africa...
  3. kalisheshe

    Tasnia ya Habari na vifo vya mapema, nini kipo nyuma ya pazia?

    Wanahabari, Isack Gamba, Ahmed Juma Baragaza, Fredwaa, Ephraim Kibonde, Agnes Almasy, Samadu Hassan, Gardner G Habash, Prince baina kamukulu na wengine wengi wameondoka wakiwa na umri mdogo. Inaweza ikawa ni kawaida au isiwe kawaida hasa tukifanya ulinganifu na tasnia nyingine ambazo ni siasa...
  4. kalisheshe

    Wenye exposure na uzoefu wa nchi yetu mje mnipe msaada hapa

    Nina kadogo kangu ka kike ambako hakajachaguliwa kwenda advance Nimejaribu kukachaulia kozi zitakazokafaa kama nilivoonesha hapo chini Je kwenye hizo kozi ipi ni useless niitoe?
  5. kalisheshe

    Tetesi: Pacome Zouzou ni mnyama

    Mimi sio mtume, nabii wala mtabiri, Ila Uwezekano wa niliemtaja kuingia kwenye kundi la kina Benard Morrison, Emmanuel Okwi, Beno Kakolanya, Juma Kaseja, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba, Athuman Idd Chuji n.k ni mkubwa. Tufahamu kuwa mikataba huvunjwa na kuna gharama hulipwa kama faini ya kukiuka...
  6. kalisheshe

    Ushauri kwa simba yangu

    Tumepoteza mechi ya jana na hivyo kupunguza matumaini ya kuchukua ubingwa wa NBC, hilo haliondoi ukweli kuwa sisi ni Simba na maisha inatakiwa yaendelee. Kuna ushauri ambao inatakiwa uzingatiwe hasa na viongozi walioko kwenye maamuzi ya timu, ushauri wenyewe ni kuwa KUNA WACHEZAJI WENGI SANA...
  7. kalisheshe

    Mzamiru Yassin ni kiungo mzuri kuliko Babacar Sarr

    Kwa macho ya kimpira naona Mzamiru ana vitu vingi kumzidi Babacar Sarr. Sarr ni mzito na ndiye anaeigharimu simba kwa kushindwa kukaa eneo lake na kukaba kwa wakati. Sijui kamati ya usajili ya Simba iliangalia nini kwake ambacho Mzamiru hana.
  8. kalisheshe

    Hakuna na hatatokea dancer mkali nchini Congo kumzidi Bouro Mpela

    Alikuwa bendi ya Quartier Latin chini ya Koffi Olomide. Wapenzi na mashabiki wa muziki nchini Congo walimbatiza jina kwa kumwita king of Domboro dance Kwa sasa sijui alipo wajuzi mnaweza kuongeza zaidi
  9. kalisheshe

    Yanga acheni kutengeneza propaganda na kutafuta visingizio

    Nimeona mitandaoni baadhi ya mashabiki wa yanga sc wakiongozwa na haji manara na wachambuzi uchwara wakieneza propaganda kuwa viongozi wa simba sc wanapanga kuwahonga wachezaji wao ili wacheze chini ya kiwango tar 20. Nachokiona ni propaganda na visingizio vinavyoandaliwa baada ya kichapo...
  10. kalisheshe

    Elvis rupia wa ihefu kawazidi mbali fred na jobe wa simba sc

    Huu ndio ukweli Fred na jobe wanaigharimu sana timu, Najiuliza tu Hivi wanaosajiri hawakumuona elvis rupia?
  11. kalisheshe

    Simba SC inamkosa mtu kama Rally Bwalya dimba la juu

    Simaanishi timu iko vizuri sana au vibaya ila inamkosa kiungo mwenye aina ya uchezaji kama wa Rally Bwalya. Nini kifanyike? Viongozi wa Simba SC dirisha kubwa la usajiri likifunguliwa hakikisheni mnamchukua Feisal Salum naamini ataleta tiba ya dimba la juu hapo Msimbazi. Fred na Jobe...
  12. kalisheshe

    Mambo 6 ambayo Yanga SC imeizidi Simba SC

    Huwa sifurahii kuona mafanikio ya Yanga kitu kilichofanya nisiwe naangalia michezo Yao. Kama bahati mbaya Jana nilikaa peke yangu mbele ya luninga kuangalia mechi ingawa niliumia ila hiki ndio nilichokiona Kwa yanga. 1. Uongozi mzuri unaowapa hamasa wachezaji na benchi la ufundi ndio...
  13. kalisheshe

    Kama USM Algers aliwachapa 2- 1 nyumbani mechi muhimu ya fainali, naamini Jumamosi mnakwenda kudhalilika tena

    Timu za Algeria huwa na kawaida ya kutotishika na mambo yoyote yanayofanyika nje ya uwanja. Wao wanachojua ni kutembeza boli na hii imezifanya timu zake nyingi kupata matokeo mazuri kwenye mechi zao ikiwemo na timu yao ya taifa. Yanga Wana mechi na CR BEROUZDAD ukiangalia maandalizi Yao mengi...
  14. kalisheshe

    Watanzania kuingia na mabango ya viongozi wa kisiasa AFCON

    Jana kwenye mechi kati ya Taifa stars na Zambia niliona watanzania wakishangilia huku wakiwa na bango kubwa lenye picha ya kiongozi mkuu. je? ni watanzania TU ndio wanaoingia uwanjani na mabango ya viongozi wa kisiasa au na Raia wa nchi nyingine wanafanya hivyo? Kama ni ndio je? Ni nchi gani...
  15. kalisheshe

    Wakristo wa leo wangekuepo wakati wa Yesu Kristo, bila Shaka wangekua mstari wa mbele kumsurubisha Yesu Kristo

    Hawa ni wakristo ambao wamekua wakiipinga waziwazi Kazi ya Yesu Kristo, hawana umoja kazi yao ni kunyoosheana vidole wakimponda mtumishi fulana au dhehebu fulani. Mfano mzuri ni wakristo walioamua kutumiwa na BBC kuuvuruga mwili wa Kristo. Wakristo mjiulize. Ni lini mliwaona au kuwasikia...
  16. kalisheshe

    Michuano ya mapinduzi imeipa faida nyingi Simba SC

    Tuachane na hoja za hao wengine wanaodai michuano haikuwa na faida kwao baada ya kutolewa. Hii michuano imekua muhimu sana Kwa Simba SC Kwa sababu imempa kocha Benchika. Nafasi ya kuwajua vyema wachezaji wote waliopo kikosini Simba SC. Ikumbukwe Benchika Hana muda mrefu tangu ajiunge na Simba...
  17. kalisheshe

    Ni ujinga kumiliki mke/mwanamke mlevi

    Hivi inawezekana vipi ukawa na Mwanamke mlevi? Haujui kuwa Kuna 100% za yeye kukusaliti akishalewa! Hata kama anakunywa chini ya uangalizi wako Kuna siku hautakuwepo atalewa na kuishia kukusaliti. Soma hiki kisa. Jana Jumamosi nikiwa zamu ya usiku kuamkia Leo Jumapili nilikuwa na workmate wa...
  18. kalisheshe

    Saidoo ndie mchezaji anayeikosesha Simba SC magoli

    Sielewi kwanini makocha, mashabiki na wachambuzi hawalioni hili, Tangu apewe kiatu uchwara alichomtapeli Fistoni Mayele amekua ni mchezaji wa hovyo sana Msimbazi. Kila anapokua na mpira analazimisha kushoot au kudribble mpaka mipira inachukuliwa na wapinzani mwisho wa siku movement nyingi...
  19. kalisheshe

    Simba SC itashinda mechi ya Leo

    Ujio wa kocha mpya utawafanya wachezaji watakaopata nafasi ya kucheza wapambane kufa na kupona Ili kujihakikishia nafasi kwenye kikosi Cha kwanza Cha kocha mpya. Matokeo yatakua ni 3-0 au 3-1.
  20. kalisheshe

    Mwizi na Kibaka hatari "lukuba"

    Alitamba miaka ya 2006 mpaka 2012 wilaya ya ilemela jijini mwanza. Nimeona nilete hiki kisa baada ya trend ya yule kibaka aliyeuawa jijini Arusha. Kilichofanya huyu jamaa akumbukwe mpaka Leo ni kufanya matukio hatari ya wizi akitumia Kwa pamoja ujuzi wa kimwili na kiroho. Matukio ya hatari...
Back
Top Bottom