Simba SC itashinda mechi ya Leo

Sisi Yanga tutakuja kujifunza jinsi ya kucheza mechi kubwa.
Gamondi atuachie team yetu.
Tangu 2019 Yanga imeshafukuzisha Makocha wa Mbumbumbu SC watano
JamiiForums-31645776.jpg
JamiiForums-312072181.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nina wasiwasi sana na mapenzi ya Cadena kwa Ayoub mdaka panzi na Saidoo. Hao jamaa wakianza Simba watakuwa na wakati mgumu sana uwanjani kwenye mchezo wa leo. Simba ijifunze kwa waarabu waliowafunga Yanga jana kwani wana mchezaji ana miaka zaidi ya 38 anaitwa Gurdiola pamoja na uzoefu na ubora wake lakini kapewa dakika 15 tu mchezoni.
 
Guardiola huyu alikuwa akicheza Serie A ?
 
Back
Top Bottom