Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

Ferre gola ana nyimbo nzuri ila hamfikii hata kidogo huyu legend
Hawezi kumfikia mwalimu wake,
Koffi kaanza kuimba Pappa Wemba evoloko huyo Ferre hajazaliwa.
Kizazi kipya hawa wanagonga mziki wa kisasa zaidi.
Na Ferre huwa anaimba nyimbo zote za zamani Franco,Tabu ley,Sam Mangwana,Pappa Wemba,
Hapo akianza za bcbg na maison mere utachoka.
Bado zake mpya
 
Kwangu mimi wimbo wa Koffi Olomide unaoitwa ANDRADA ndio wimbo mzuri zaidi ukifuatiwa na SKOL LONGITIMA na Klkisha EFRAKATA. Hizi nyimbo huwa sichoki kusikiliza.

Pamoja na yote kwa muziki wa Rhumba hakuna kama Ferre Gola dunia hii.
 
Back
Top Bottom