Popote mlipo, vyombo vya Habari na waandishi wote wa Habari nchini hamjatumia weledi katika kuripoti Habari ya Mandonga. Hamjatusaidia na wala hamjatupa elimu ya kutosha katika hili. Mmekuwa kama kasuku. Lakini ni kawaida yenu. Imefika hatua sasa, kila mtu anataka kuwa hodari wa kuelezea jinsi...
Picha. Chanzo: The Citizen (12/08/2022)
UTANGULIZI
Je, hatuwezi kutumia barua, insha, makala, hadithi, mashairi, tamthiliya, na riwaya za Watanzania katika kufanya utafiti wa masuala kadhaa yenye mustakabali muhimu kwa Taifa letu? Je, mtoto mdogo wa Shule ya Msingi au Sekondari hawezi kutoa...
Picha. Chanzo: Mwananchi (12/08/2022)
UTANGULIZI
Nchi masikini na zinazoendelea zina changamoto nyingi kama vile; changamoto za umasikini, utandawazi, na kielimu. Changamoto za upatikanaji wa elimu bora ndio kubwa zaidi. Tanzania kama moja ya nchi zinazoendelea pia ina changamoto kadhaa...
Suala la Mandonga kupigwa na Shaban Kaoneka, lakini anaendelea kupata dili za pesa, ni mwendelezo wa kile tulichorithi na mtindo wetu wa maisha. Shaban Kaoneka hana haja ya kulalamika.
Inauma, lakini anatakiwa aelewe pia kuwa Tanzania hatuangalii vyeti, mikanda, wala Ufaulu. Tanzania tunaishi...
Historia ndio Uti wa mgongo wa kila Taifa. Bila kujua historia ya Taifa husika ni sawa na kutojua ulikotoka na hujui unakokwenda.
Anayejua historia vizuri, pia anajua jana ilikuwaje, anajua leo inatakiwa iweje, na pia anajua ni jinsi gani kesho inatakiwa kuwa.
Tusome historia. Ni muhimu sana...
UTANGULIZI
Hali ya kuwa watu wa visingizio siyo ya kubeza. Ina athari na inarudisha maendeleo yetu nyuma. Visingizio hivi sio mtindo bora wa maisha. Ni mtindo wa kurudi nyuma.
Katika Sehemu hii ya Pili, visingizio hivi vimepewa namba 11 hadi 20, lakini sio lazima usome kuanzia 11 hadi 20 kwa...
UTANGULIZI
Watanzania tunasifika kwa upole na ukarimu. Hizi sifa na nyinginezo hazikuja bure. Waasisi wa Taifa hili walitumia mbinu nyingi kutujengea sifa hizi za kiungwana. Moja ya mbinu hizo ni kuhimiza matumizi ya lugha ya Kiswahili ambayo imetujengea utamaduni huo hadi leo.
Hata hivyo...
MAONI: Tanzania ni Nchi pekee ambayo kila Waziri wa Elimu ana Elimu yake, yaani anakuja na MFUMO wake wa Elimu.
SWALI: Huu mfumo utakoma lini au Wakubwa walishagundua hii ina manufaa kwao?
Nasema hivi kwa kuwa ni Wana-Yanga pekee, kwa kuwa yuko kwo, ndio wanaweza kufanya hivyo.
LAKINI, HAJI MANARA HAYUKO SAHIHI. Endelea kumuonea huruma ya kishabiki.
NAOMBA MSAADA KWA ANAYEJUA NAMNA YA KUWAPATA. Nahitaji sana huduma yao.
Nimefungua Akaunti ya Ajira Portal, na nimetumiwa email na link ya ku-activate account yangu lakini kila niki-click ile link kwenye email yangu, link haifunguki. Nimeawaandikia email lakini hawajajibu. Nimewapigia simu...
Mifumo yetu ya ajira bado ina changamoto kubwa sana. Mchakato wa kuomba ajira za uandikishaji wa sensa 2022 umedhihirisha hivyo. Kwanza lazima Serikali ipongezwe kwa kuajiri vijana wengi ambao hawana ajira, lakini mfumo mzima wa ajira umeonyesha mapungufu kadhaa kama vile:
(1) Kusahaulika kwa...
Kama kweli Watanzania hatupendi kusoma vitabu, ina maana tunapenda kusomewa. Je, ni kweli? Na sisi tunakubali tuwe tunasomewa?
Hakika, ndio maana tunapewa sana 'matango pori' na wale watu wanaotusomea. Kwa kweli, hii tabia sio nzuri. Jamani, na sisi tuanze kusoma ili tusile 'matango' pori kila...
Hili ni swali kwa wabobezi wote wa siasa za kimataifa.
Vita vya Russia-Ukraine: Je, ni muhimu kuchagua upande kama nchi? Kwa sisi wananchi, tunaona ni rahisi kuchagua upande. Kwa mfano kuna wananchi mitaani wanasema ndio ni bora Urusi awabe adhabu watu wa Ukraine na washirika wake, na wengine...
Mbunge wa Geita vijijini, Joseph Kasheku maarufu Musukuma (CCM), ameitaka serikali irudishe kazini watumishi wa darasa la saba iliowafukuza vinginevyo wabunge wenye elimu ya darasa la saba pia waondolewe bungeni.
Musukuma amesema hayo bungeni Mjini Dodoma leo Ijumaa Aprili 6, alipokuwa...
1. Elimu Bora ya Uraia. Hapa Somo lote la Uraia/Civics lifumuliwe na watoto waanze kujifunza haki zao za kikatiba tangu ngazi za chini.
2. Katiba Ya Wananchi. Hii ni katiba itakayojumuisha zaidi ya asilimia 80% ya matakwa ya wananchi tu.
3. Viwepo vitu vya kuwafanyia wananchi ili wajenge mioyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.