MAKA Jr
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 256
- 185
Hili ni swali kwa wabobezi wote wa siasa za kimataifa.
Vita vya Russia-Ukraine: Je, ni muhimu kuchagua upande kama nchi? Kwa sisi wananchi, tunaona ni rahisi kuchagua upande. Kwa mfano kuna wananchi mitaani wanasema ndio ni bora Urusi awabe adhabu watu wa Ukraine na washirika wake, na wengine wanaona Russia ni mkorofi huku wakiitetea Ukraine pamoja na washirika wake.
Swali ni: Je, sisi kama nchi ni lazima kuchagua upande? Na tukikaa kimya ni sahihi?