Natamani Tanzania yenye vitu hivi vitatu vifuatavyo:

MAKA Jr

JF-Expert Member
Nov 17, 2016
256
185
1. Elimu Bora ya Uraia. Hapa Somo lote la Uraia/Civics lifumuliwe na watoto waanze kujifunza haki zao za kikatiba tangu ngazi za chini.
2. Katiba Ya Wananchi. Hii ni katiba itakayojumuisha zaidi ya asilimia 80% ya matakwa ya wananchi tu.
3. Viwepo vitu vya kuwafanyia wananchi ili wajenge mioyo ya uzalendo.
 
Back
Top Bottom