Pamoja na yanga kufanyiwa mtimanyongo kwenye goli la Aziz Ki,
Lazima tukubali kuwa timu zetu za Tanzania zina udhaifu mkubwa kwenye upigaji penati.
Inafika hatua, tukifika kwenye mikwaju ya penati tunahesabu kuwa tumeshatolewa tayari na mara nyingi tunashinda pale ambapo kipa atasave mikwaju...
Habarini wanajamvi, nina simu BASIO KYV43 ambayo nilikuwa nahitaji kuiflash.
Kwa bahati mbaya nimeenda kwa mafundi wawili wamehangaika mwisho wakashindwa.
Kama kuna fundi (Dar es Salaam) anaweza kuflash simu hii basi anipm ili tufanye kazi.
Pesa ipo mfuko wa shati
Habarini za weekend wakuu, leo nimepitia nyuzi mbalimbali zinazohusu forever living products, nikaamua na Mimi niweze kushare kitu kuhusu hii kampuni.
Kwanza nakiri kuwa niliwahi kujiunga na biashara hii na nikadumu kwa miaka miwili tu Kisha nikaacha. Yafuatayo ni miongoni mwa niliyoyapata...
Habarini za jioni wanajukwaa
Leo nimeangusha laptop yangu, baada ya kuiwasha ikawa inawaka lakini mwanga umekuwa hafifu mno kana kwamba nimepunguza Hadi level ya mwisho
Nimejaribu kuichunguza hakuna wino, pia maandishi + folders na vitu vyote vinaonekana ila kwa brightness ndogo mno...
Habarini za Nanenane wana JamiiForums, moja kwa moja niende kwenye mada.
Binafsi kabla ya kuoa nilikuwa nina matarajio makubwa sana katika ndoa; ndoa yangu itakuwa yenye amani, upendo na furaha.
Nilikuwa nawaza vitu vingi ambavyo ni vya furaha katika ndoa, jambo ambalo lilinipa hamasa ya...
Habarini wadau, kwa muda mrefu kumekuwa na uongo na propaganda kuhusu ualimu.
Watu wengi husema kwamba ualimu huenda watu waliofeli katika mitihani yao ya kidato cha nne au sita
Binafsi nimejaribu kufuatilia hili kwa muda mrefu, na nimekuwa nikisoma guide books za kila mwaka.
Ninachoona ni...
Habarini wakuu,
Hongereni kwa mliochaguliwa kujiunga na kidatChcha tano, kikubwa tusiishi na historia, Kama ulipata division one O - level jipange upya ukatafute one nyingine ila hakuna uhusiano kati I ya performance ya O level na advance, unaweza ukakuta aliyepata three O level akawa...
Wasalaam wakuu!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, natafuta mwanamke ambaye atakuja kuwa mke wangu
Wasifu wangu
*Umri -26
*Elimu -Bachelor degree
* Dini - muislam
*Rangi- Mweusi(pure)
*Urefu-Wastani
*Makazi- DSM
NB
Kama kuna kitu cha ziada nitaweka nikikumbushwa (Nikiulizwa)
SIFA ZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.