Ndugu habari za muda huu, naomba kuuliza kwa wadau mbali mbali na hata serikalini kama inawezekana tupewe majibu kabla sijatoa ya moyoni.
Kuna tetesi huko huko duniani nazisikia naomba uthibisho wake maana kuuliza si ujinga.
Je, ni kweli mswahili wa msoga aliyepata kuwa Rais wa Tanzania kwa...
Be the first to know... muda wowote kuanzia sasa Rais Samia atauzima rasmi mjadala unaochukua sura mpya kila siku nao si mwingine bali ni DP World!
Vyanzo vyangu toka ndani ya Chama na Serikali vinabainisha joto la mjadala linaelekea pabaya hivyo busara imetumika kufunika kombe mwanaharamu...
Nimemsikiliza Lissu tangu juzi akiwa kariakoo na pale Kibamba leo kwa hakika ujumbe anaotema ni mzito sana sidhani kama Samia ana kifua cha kuuhimili.
Kama Magufuli aliyejiita chuma, Jiwe, Kamongo hakuweza furukuta mbele ya makombora ya Lissu nimewaza sana kuhusu Samia.
Japo taarifa za ndani...
Nikiri hupenda sana kumsikiliza Tundu Lissu akiwa kwenye operation 255 za CHADEMA zinazoendeleq mikoani...
Si mara moja au mbili Lissu amesikika akisema Chato Airport haina ndege wakazi wake wanaanikia mpunga...
Jana akiwa Katavi kasema stand ya mabasi chato watu wanaanikia mpunga...
Je hizi...
Hello members,
Nimestushwa sana na hii trend ya kutafuta wahadhiri kwa kurudia rudia matangazo kila siku.
Nilikua na mzee mwenzangu leo akanionesha tangazo la kazi za wanataaluma kutoka UDSM zaidi ya wanataaluma 300 huko lakini chakushangaza tangazo linarudiwa!!
Shida ni nini na wasomi wa...
Muktasari:
Chama cha Taifa cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kimetoa taarifa ya video iliyosambaa mitandaoni ikionyesha malumbano kati ya muuguzi na mteknolojia wa maabara katika Zahanati ya Ishilimuya wilayani Uyui Mkoa wa Tabora, kikisema hakukuwa na vitendanishi vilivyoisha muda wake kama...
Nimeangalia wimbo wa PITA HUKU wa Dula Makabila nimeshangazwa na kipande cha mchungaji akipapasa wamama kisha akaamriwa apite motoni.
Yaani mchungaji kawekwa kundi moja na Shoga Aggrey na tomboy na mchawi.
Katika wimbo ule hakukuwapo kabisa kipande cha Sheikh akipita mbele ya hukumu wala...
Kwako mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu Hassan tunakuomba sasa ufufue ule mjadala wa nchi kujiunga kwa mkataba wa EPA.
Binafsi naona hakukua na mjadala mpana na wenye tija juu ya nchi kuridhia au kutoridhia zaidi sana naona tuliongozwa na ushabiki kuliko facts.
Ni vizuri sasa tufanye review ya...
Be the first to know... hii ndo imekua kanuni kuu ya JF.
Nimepenyezewa taarifa kuwa soon nchi itarudi kwenye mikataba ya umeme wa mafuta mazito.
Kwa sasa scarcity ya umeme inatengenezwa ili kujaladia hoja ya kuirudisha nchi kwenye saga za IPTL.
Fisi kaachiwa bucha, mbwa mwitu wanakanyagana.
Nimeisikiliza hotuba ya Rais Mwinyi imenishangaza sana.
Nimejiuliza na kutafakari sana kuwa kama viongozi hawa waliopewa kila aina ya nyenzo ili ziwawezeshe kufanya kazi wanalalama je, wananchi wa kawaida wafanye nini? Wapeleke wapi kero na malalamiko yao? Kama Rais anaweza kuuona ufisadi wa...
Habari za jumapili wana JF, nimetoka unyamwezini na kuwa Kenya tangu kampeni hadi Uchaguzi jana nikaamua kuja nyumbani kutokea Namanga Arusha Moshi kisha Dar es salaam.
Kwakweli niseme wazi idadi ya trafiki na kero zao imepungua mnoo.
Nilishangaa Arusha mjini kupita vituo vingi bila trafiki...
Hatimaye mwanasiasa wa ngazi ya juu wa marekani ameondoka Taiwan mchana huu.
Ziara ya Pelosi ilileta gumzo duniani kote na kufuatiliwa na mamilioni ya watu ulimwenguni kote.
China imeachwa na kitendawili nini cha kufanya baada ya mwanasiasa huyo kutua salama salimini licha ya vitisho vyote vya...
Ikiwa leo ni siku ya wanawake kipekee napenda kuwajadili kiundani wanawake wa shoka walioshiriki katika ule mtandao wa boys2men kuelekea magogoni kupitia CCM mwaka 2005.
Mtandao wa JK na Lowassa kuelekea ikulu ulikua kama kokoro lililobeba waliohitajika na wasiohitajika, ni kokoro hili...
Jana nimeangalia event ya uzinduzi wa galaxy S22 kiukweli hakuna cha maana sana cha kumfanya mtu atoke S21 ultra kwenda S22 ultra.
Kama ilivyokua kwa iphone 12 pro vs 13 pro kwa hii model ya mwaka huu samsung hajaleta major changes kutufanya tu move kutoka S21 ultra.
Tusubiri kwa mwakani labda.
Haya leo baada ya hotuba nzito na makini kutoka kwa Genius Tundu Lissu hatimaye tutakua na kipoozeo kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Naamini itakua hotuba ya kufukia mashimo baada ya ile ya mheshimiwa wa ubelgiji.
Stay tuned.
Nimemsikiliza Dr. Kasheku Musukuma kupitia hii video nimejifunza mengi sana.
1. Kumbe ukiwa na PhD unapata visa ya kuzunguka duniani kote. Na usomi wangu wote sikuwahi sikia hili.
2. Kumbe honoris causa inakupa fursa kubwa kuliko PhD ya kukaa darasani
3. Nimejifunza waafrika wengi tuna haiba...
Wale wazee wa flagship kama bado unajishauri naomba nikushauri ipi ya kuchukua kati ya hizi mbili bora uende Samsung.
Nilinunua S21 ultra february nikachukua iphone 13 pro niliipata tarehe 5 october baada ya matumizi na reviews mbalimbali Samsung S21 ultra imeonekana better than iphone 13 pro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.