Habari wakuu,
Tangia nianze kuishiriki hii kitu huu ni mwaka wa tatu nilikuwa naenda nayo vizuri kwa mwaka na nusu ya mwanzo nilikuwa naweza kui control vizuri lakini hivi sasa nimekuwa mraibu wa huyu jini energy drink nikiikosa mwili unakosa nguvu, kichwa kinaniuma hivyo bhasi baada ya kuona...
Habari za wikiendi na skukuu ya Baba wa Taifa. Bila kuchelewa ngoja niende kwenye mada husika.
Usiku wa jana kuamkia leo nileota ndoto ya ajabu mpaka hivi sasa cjajua inamaana gani.
Nimeota Al Ahly ya Misri ikishinda magoli 4-0 huku wapinzani wao sikuweza kuwaona ni timu gani.
Mwenye ujuzi wa...
ELIMU YA UUAMBAJI BINADAMU BILA KUJAMIIANA (CLONING)
Mchakato wa uumbaji wa binadamu bila kujaamiana (Cloning) ulianza mwaka 1938 na wanajeshi wa Nazi chini ya kamanda Hitler. Ian Wilmut muasisi wa uuambaji wa kondoo aitwaye Dolly, raia wa London nchini Uingereza alipata upinzani mkali baada ya...
Kama uzi unavyosema, kwa wale wanaume masingle namaanisha hana mke na yupo katika kutafuta ubavu wake wa kushoto na wale wanaume waliotunza heshima kwa ajili ya mke mtarajiwa (bikra wa kiume)
Tungependa mtugee mrejesho wa yale mnayopitia; namaanisha raha za kuwa katika mahusiano na changamoto...
Habari wana jamvi
Kutokana na pirika za wiki nzima na msongo wa mawazo ningependa kujuzwa vidonge vipi mtu akila huweza kupata usingizi mzito na kulala kwa muda mrefu
Nb. Wapo walonishauri ninywe pombe lakini mimi si mpenzi wa hvyo vinywaji
INASIKITISHA SANA TENA SANA 😭
WALIOOKOLEWA WAKANA KUSAIDIWA NA MAJALIWA, WADAI WALITUMIA JUHUDI ZAO KUJIOKOA.
Furaha ya Majaliwa Shujaa aliyeokoa watu kwe ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea Bukoba mkoani Kagera huenda ikageuka huzuni baada ya abiria waliookolewa kwenye ajali hiyo kudai...
Inasikitisha sana yale yaliyotokea kipindi MV Bukoba inazama leo hii ndiyo yale yale yaliyoikuta ndege yetu na kusababisha vifo visivyotarajiwa.
Sina uzoefu na ndege ila siku ya tukio sikuwa mbali na eneo husika, baada ya ndege kupata ajali eneo la mbele la ndege liliingia ndani ya maji na...
Huyu mwana dada ananikosha sana kwa enzi zangu huyu ndo staring wa kike ninaye mkubali ni staring yupi unaye mkubali kpnd cha vhs Angalizo kwa wale vijana walozaliwa kipindi cha cd wasikoment ntawaandalia uzi wao asanteni
Habari wana jf kama nilivotanguliza hapo juu mimi ni kijana wa miaka 29 najishughulisha na biashara kariakoo dsm natafuta mwanamke wa kuanza naye maisha kuhusu umri kuanzia miaka 27+ chini ya hapo hapana mara nyingi hawapo sirias na maisha kuhusu dini kwangu sio tatzo cha umuhimu awe na hofu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.