UZUSHI Threads

  • Article
Nimeona picha inasambaa mtandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa Tume Huru ya uchaguzi na Mipaka ya kenya, Wafula Chebukati akiwa anaumwa, na maelezo mengine yanadai amesafirishwa kwenda Ujerumani...
0 Reactions
3 Replies
353 Views
  • Article
Leo nimeona video ambao imewekewa sauti ya mtu akisema wametumiwa video hiyo kwenye group la shule ya Themihill, video hiyo inaonesha mtu akifungua kitu kinachoonekana kama pen (kalamu) ambacho...
7 Reactions
91 Replies
4K Views
  • Article
Habari JamiiCheck, Mimi ni mjamzito, nimekuwa nasikia kuwa ulaji wa pilipili wakati wa Ujauzito kunafanya mtoto kuzaliwa na macho mekundu. Nisaidieni kuhakiki hii maana napenda sana kula...
0 Reactions
1 Replies
498 Views
  • Article
Kumekuwepo na madai yanayosambaa mtandaoni kuwa makasha ya dawa za meno huwa na rangi (code) za aina mbalimbali zinazofafanua aina ya kemikali zilizotumika kutengenezea dawa hiyo. Aidha, madai...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
  • Article
Habari, Ninanukuu kutoka kwenye meseji iiyotummwa kwenye kundi moja la Telegram ambalo mimi pia nimo. Huku mitaani kuna taarifa kuwa kuwa uvunaji wa damu unaifanyika maeneo mbalimbali nchi huwa...
0 Reactions
1 Replies
273 Views
  • Article
Nimeona Mwamba wa Lusaka amewaaga mashabiki wa Simba kuwa anaondoka. Nimesikitika sana, kwaheri Clatous Chama.
0 Reactions
0 Replies
193 Views
  • Article
Hii nimekutana nayo kwenye mitandao ya kijamii kuwa Serikali nchini Senegal inaachana na lugha ya Kifaransa ambayo ilikuwa lugha rasmi na sasa itatumia Kiarabu kama lugha rasmi ya shughuli za...
0 Reactions
0 Replies
402 Views
  • Article
Alhamisi ya pili ya Mwezi Machi kila mwaka, Dunia huadhimisha Siku ya Figo Duniani ili kutoa ufahamu na kuelimisha umma kuhusu umuhimu wa afya ya figo na magonjwa yanayohusiana na figo. Kupitia...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
  • Article
Salaam, Nimesikia mtaani wanawake wanaambiana kuwa Kunywa maji ya Baridi wakati wa Ujauzito husababisha kupata mtoto mwenye matatizo ya kifua. Nimeogopa kidogo maana mdogo wangu ana mimba na...
0 Reactions
3 Replies
478 Views
  • Article
Wakuu, Nimekutana na Picha inayosambaa Mtandaoni imeniogopesha sana. Ni mawingu yenye mwonekano wa Yesu, ama kweli siku za mwisho zimefika.
2 Reactions
14 Replies
1K Views
  • Article
Habari Jamiichek Kwa muda sasa katika Jamii yetu ya Kiswahili kumekuwa na hii nadharia kwamba mwanaume akitumia pombe Kali Aina ya konyagi au k vant halafu akaenda kufanya mapenzi, hutumia muda...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
  • Article
Tujihadhari na Vidonge feki vinavyotoka nje ya nchi.
0 Reactions
3 Replies
694 Views
  • Article
Mzee Mwinyi alijiuzulu Uwaziri Mambo ya Ndani mwaka 1977 na Nafasi yake kuchukuliwa na Mzee Natepe. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri Mzee Mwinyi kutoka katika nyumba ya Waziri arudi...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
  • Article
Habari wakuu naomba uthibitisho wa hii barua kwa mwenye dondoo za kampuni ya pepsi maana imekaa kaa kitapeli.
3 Reactions
9 Replies
763 Views
  • Article
Zipo imani na madai ya mbalimbali ya kijamii yanayobainisha namna ambavyo mama anaweza kumdhoofisha (kumbemenda) mtoto wake baadhi ya madai hayo ni: 1. Baba na Mama hawapaswi kujamiiana wakati...
9 Reactions
65 Replies
19K Views
  • Article
Wakuu mko salama? Nimekuwa nikisia stori nyingi kuhusu nanasi, kuwa ukila unafanya uke kuwa na harufu nzuri, wengine wanasema unaongeza "ladha", yaani ute/maji maji yanakuwa na utamu kama vile...
0 Reactions
0 Replies
731 Views
  • Article
Wakuu, Nimekutana na taarifa imepostiwa na Times FM ikiwa na maneno yanayodaiwa kutamkwa na Kiongozi Mkuu wa Korea Kaskazini Kim kuwa anashangaa jinsi wazungu walivyofaulu kuwaaminisha Waafrika...
1 Reactions
1 Replies
740 Views
  • Article
Kumekuwa na dhana ya kwamba ukijikata na jeraha kuanza kutoka damu basi ukipulizia Pafyumu damu inakataa na kidonda kukauka. Je, kuna uhalisia wowote? Na kwa upande mwengine kuna madhara yeyote...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
  • Article
CAF wamethibitisha kuwa kwenye michuano ya AFRICAN FOOTBALL LEAGUE hakuna kanuni ya goli la ugenini (away goal rule) hivyo mechi ya Simba na Al Ahly ni mpya kabisa kule Cairo, yani lazima timu...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Back
Top Bottom