Licha ya Cristiano Ronaldo (39) kuelekea mwishoni mwa maisha yake ya kucheza soka lakini bado katika suala la malipo yupo juu, anaongoza kwa kulipwa kuliko wanamichezo wengine wote ndani ya miezi 12 iliyopita akiwa anaichezea Al-Nassr ya Saudi Arabia aliyojiunga nayo Januari 2023
Analipwa Dola...
Kabla ya kusoma maoni yangu tazama hizi takwimu na maelezo ya Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari:
BAJETI YA MWAKA WA FEDHA 2023/24
Katika Mwaka wa Fedha 2023/24 Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliidhinishiwa kutumia kiasi cha Shilingi bilioni...
Kwa muda wa mwezi mmoja jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari wapatao 194 wamebainika kupewa mimba na kukatishwa masomo yao katika wilaya ya Momba Mkoani Songwe.
Hayo yamebainishwa na Mkuu wa mkoa wa Songwe, Daniel Chongolo, wakati akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Chiwanda...
Carlo Ancelotti raia wa Italia ana rekodi kubwa ya kuwa kocha aliyefika Fainali 5 na kubeba mataji manne ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), mara 2 akiwa AC Milan na mara 2 akiwa Real Madrid
Msimu huu 2023/24 amefika Fainali akiwa na Real Madrid ambapo anatarajiwa kucheza dhidi...
UBINGWA WA PREMIER LEAGUE 2023/24 UTATUA KWA ARSENAL AU MAN CITY?
1. Manchester City
Pointi 88
GD 60
Mechi iliyosalia: Mei 19: West Ham
Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2023
2. Arsenal
Pointi 86
GD 61
Mechi iliyosalia: Mei 19 vs Everton
Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2004
Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa.
Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
[Verse 1 – Professor Jay]
Naahidi kuwa makini mpaka siku nafukiwa chini
Na Mungu aliye hai bado yu pamoja na mimi
Emcee shika vizuri karibu tawi linakatika
Na kwa wote mliopo juu na chini sauti itafika
Kazi na dawa ndani ya uswazi kazi ni kazi
Na nipo radhi kutoa tathmini ngazi kwa ngazi
Rap si...
Wazazi wenye Wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Sekondari Kaliwaoa iliyoko Kata ya Ilembo, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamechukizwa na kitendo cha mwalimu ajulikanaye kwa jina la Ndikulio Matenga shuleni hapo kutoa adhabu kwa Wanafunzi wakiume wa Kidato cha Kwanza kuzibua choo kwa kutumia...
Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoani Katavi, Mhandisi Martin Mwakabende ameifungua barabara hiyo baada ya kufanyiwa ukaguzi na ukarabati wa Daraja la Stalike kuelekea Mkoani Rukwa.
Barabara hiyo ilifungwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko baada ya kujaa maji...
Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo na kaka yake
Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime, Mark Njera amesema “Binti huyo mwenye...
Wakati msimu wa 2023/24 ukielekea ukingoni, inadaiwa kuwa Klabu ya Barcelona ina mpango wa kumuuza mshambuliaji wake, Robert Lewandowski mwishoni mwa msimu huu na nafasi yake kuchukuliwa na straika wa Liverpool, Darwin Nunez.
Uamuzi huo umekuja baada ya Barcelona kushuhudia wapinzani wao wa...
Dar es Salaam, 04 Mei 2024 saa 12:00 Asubuhi:
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) inaendelea kutoa taarifa ya mwenendo wa kimbunga “HIDAYA” kilichopo karibu na maeneo ya pwani ya nchi yetu.
Hadi kufikia saa 9 usiku wa kuamkia leo, Kimbunga “HIDAYA” kilikuwa katika eneo la bahari takriban...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Mkoa wa Mbeya, Tamimu Kambona amegoma kupunguza gharama za kuhifadhia maiti 'mochwari' katika Vituo vya Afya vilivyopo wilayani humo kutoka Sh. 40,000 kwa siku mpaka Sh 20,000, baada ya maombi kadha kutoka kwa Wananchi ambao wamekuwa wakidai kiwango...
Mamlaka inayosimamia Huduma ya Umeme Nchini Kenya (The Kenya Power and Lighting Company PLC-Kenya Power) imetangaza tatizo la kukosekana kwa umeme katika maeneo mengi ya Nchi hiyo ambalo limesababishwa na hitilafu za Kiufundi.
Kenya Power imeeleza kuwa hitilafu hiyo imetokea katika Mfumo wa...
Ramani hii inaonesha jinsi Mchezaji wa Real Madrid alivyofunga goli la ushindi katika Fainali ya Copa del Rey 2014 dhidi ya Barcelona, mechi hiyo inayofahamika kwa jina la El Clásico ilimalizika kwa Madria kushinda magoli 2-1.
Umemtambua mchezaji husika ambaye mikimbio yake alikimbia akatoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.