arsenal

An arsenal is a place where arms and ammunition are made, maintained and repaired, stored, or issued, in any combination, whether privately or publicly owned. Arsenal and armoury (British English) or armory (American English) are mostly regarded as synonyms, although subtle differences in usage exist.
A sub-armory is a place of temporary storage or carrying of weapons and ammunition, such as any temporary post or patrol vehicle that is only operational in certain times of the day.

View More On Wikipedia.org
  1. Robbyraitony

    Tetesi: arsenal at the 😅😅

    GAMEWEEK 38 ©️ Manchester City vs West Ham Commentator 🗣️ Welcome to final game of the season, the match that decides who wins the premier league 🏆 and the match is about to start let's go 📌 13' 🗣️Oh my goodness what a volley from Michael Antonio and it's 0-1 Guardiola on the floor, and the...
  2. JanguKamaJangu

    Ubingwa wa Premier League 2023/24 utatua kwa Arsenal au Man City?

    UBINGWA WA PREMIER LEAGUE 2023/24 UTATUA KWA ARSENAL AU MAN CITY? 1. Manchester City Pointi 88 GD 60 Mechi iliyosalia: Mei 19: West Ham Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2023 2. Arsenal Pointi 86 GD 61 Mechi iliyosalia: Mei 19 vs Everton Mara ya Mwisho kuwa Bingwa: 2004
  3. The Stress Challengerr

    Leo na kesho ubingwa utaota mabawa kwa Mancity na Arsenal

    Inakuwaje wanajamvi! Naombeni mniamini Fulham watashinda leo goli 1-0 dhidi ya Man City. Na kesho wabahatishaji Arsenal watagongwa 2-0 na Manchester United. Jumanne ManCity watafungwa 2-0 na Tottenham na mechi yao ya mwisho dhidi ya Westham watashindiliwa na nyundo 1-0 na Westham united...
  4. Christopher Wallace

    Arsenal anatolewa na Bayern Munich leo

    Katika uwanja wa Allianz Arena, jijini Munich nchini Ujerumani kuna mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya UCL. Baada ya droo ya 2-2 wiki iliyopita, leo Bayern Munich wanawakaribisha Arsenal. Hili ndio taji pekee ambalo Bayern kabakisha na nina uhakika watataka wafike mbali zaidi baada ya...
  5. Teko Modise

    FT: UCL Mechi za Robo Fainali | Arsenal 2-2 Bayern Munich, Real Madrid 3-3 Man City | 09/04/2024

    Muda mchache ujao kutapigwa mechi za robo fainali katika Uefa Champions League. Arsenal Vs Bayern Munich Real Madrid Vs Man City Karata yako unatupia kwa nani?
  6. JanguKamaJangu

    Premier League: Man City 0-0 Arsenal ni kivumbi, Machi 31, 2024

    Mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya England ‘Premier League’ 2023/24 zinazidi kushika kasi, Manchester City itakipiga dhidi ya Arsenal kwenye Uwanja wa Etihad, leo Machi 31, 2024. Msimamo wa Timu Tatu za juu, Arsenal pointi 64, Liverpool (64) na Man City (63), hivyo atakayeshinda leo anaweza...
  7. Teko Modise

    Mtazamo wangu: Arsenal atamaliza bila taji msimu wa 2023/24

    Leo ratiba ya UCL imetoka na Arsenal amepangwa na Bayern Munich. Baada ya kuona ratiba hii, nikawaonea huruma mashabiki wa Arsenal kwani wanaenda kumaliza msimu tena bila taji lolote. Arsenal ataanzia nyumbani Emirates kisha kwenda Allianz Arena ambapo huko atakufa nyingi si mnajua Harry Kane...
  8. Teko Modise

    Arsenal Vs Porto | Uefa Champions League | Round of 16 - Second Leg | Emirates Stadium

    Ni bonge la mechi pale London. Arsenal (tembo) atashuka dimbani katika mchezo wa pili wa raundi ya 16 bora akijaribu kusaka matokeo dhidi ya Porto. Mchezo wa kwanza Arsenal alipigwa 1-0 pale Estadio Dragao. Je, Arsenal atapindua meza? Tukutane saa 5:00 usiku kwa live updates…
  9. JanguKamaJangu

    Matokeo ya 1-1 Liverpool na Man City yaipa faida Arsenal kwenye EPL

    Mchezo kati ya Liverpool dhidi ya Manchester City umemalizika kwa sare ya 1-1 kwenye Uwanja wa Anfield, matokeo ambayo yanaipa faifa Arsenal kubaki kileleni katika Premier League kwa faida ya magoli mengi ya kufunga Magoli yaliyoamua mechi ya leo Machi 10, 2024 yamefungwa na John Stones kwa...
  10. Mchochezi

    EPL: Arsenal yashinda 6-0 dhidi ya West Ham

    Klabu ya Arsenal imeibugiza West Ham kwa mabao 6-0 katika mchezo wa ligi kuu england maarufu kama EPL. Mpaka mapumziko Arsenal ilikuwa mbele kwa mabao manne kwa nunge, huku mabao hayo yakifungwa na Saliba dakika 32, Saka dakika ya41 kwq penati, Gabriel 43 na Trossard dakika 45+2. Kipindi cha...
  11. Erythrocyte

    2023 /2024 Arsenal hatoambulia kikombe chochote tena , Mashabiki wake jiandaeni kisaikolojia

    Hii ndio taarifa ya upendo ya leo ambayo tumeona ni vema tusiwafiche washabiki wake ili visukari visije kuwapanda hapo baadaye . Arsenal 0-2 Westharm
  12. JanguKamaJangu

    Arsenal yashika usikani wa EPL kwa kuifunga Brighton, leo Desemba 17, 2023

    Arsenal imefanikiwa kuwa namba moja katika Premier League baada ya ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Brighton huku Aston Villa ambayo nayo imekuwa na msimu mzuri ikishika nafasi ya pili kwa kuifunga Brentford magoli 2-1. Arsenal imefikisha pointi 39, Aston Villa ikiwa na 38, zote zikiwa zimecheza...
  13. JanguKamaJangu

    Ndugu zangu Arsenal mpooo? Aston Villa wameshafanya yao EPL

    Timu ya Aston Villa imeendelea kuonesha kuwa msimu huu haina utani kwenye Premier League, hiyo ni baada ya kuichapa Arsenal goli 1-0 kwenye Uwanja wa Villa Park. Matokeo hayo yanaifanya Villa kubaki nafasi ya tatu ikiwa na pointi 35 wakati Arsenala ambayo huo ni mchezo wao wa pili kupoteza...
  14. yvee

    UZUSHI Manchester United imewahi kufungwa 39-0 na Arsenal mwaka 1920

    Arsenal inashikilia rekodi ya kuichapa Man U kichapo kikubwa zaidi kwenye ligi ya Uingereza cha Magoli 39-0 mwaka 1920. Habari hii inasambaa sana mtandaoni, JamiiCheck tunaomba mtusaidie kuifuatilia.
  15. Gang Chomba

    Chelsea 2-3 Kanu: Siku ambayo Kanu alianza rasmi kudeka klabuni Arsenal

    ZIKIWA zimesalia dakika 15 tu mchezo kumalizika, huku washabiki wa Arsenal wakiachia viti walivyokuwa wameketi juu yake na kuanza kutafuta ilipo milango ya kutoka nje ya Dimba la Stamford Bridge lililopo magharibi mwa London hatimae anaibuka shujaa asiefikiriwa wala kuimbwa, kisha anawarudisha...
  16. Replica

    Wauana kibandaumiza kisa VAR ya Arsenal V Man U

    Shabiki wa Arsenal ameaga dunia baada ya kuchomwa na kitu chenye ncha kali na shabiki wa Man U kwenye banda la video. Wawili hao walianza kwa kurushiana maneno na kufikia ugomvi baada ya VAR kukataa goli la Man U. Ugomvi huo ukapelekea kifo cha Jackson Aineruhanga eneo la Sheema, kaskazini mwa...
  17. Teko Modise

    Kumbukumbu: Miaka 12 iliyopita siku kama ya leo - Man Utd 8-2 Arsenal

    Hakika Sir Alex alikuwa mwalimu wa mpira. Siku kama ya leo, miaka 12 iliyopita, Sir Alex Ferguson aliiongoza Man Utd kuinyoa Arsenal 8-2. Ni pambano la kukumbukwa sana. Arsenal ilikuwa chini ya Profesa Arsene Wenger. Hii mechi uliicheki ukiwa wapi?
  18. JanguKamaJangu

    EPL: Man. United yashinda kibabe Od Trafford, Arsenal yashikwa na Fulham

    Dakika 4 za awali, Manchester United ilikuwa nyuma kwa magoli 2-0 dhidi ya NottinghamForest wakati Arsenal ilikuwa nyuma kwa goli 1-0 dhidi ya Fulham. Hadi filimbi ya mwisho ya michezo hiyo ya Premier League, Man United imepata ushindi wa magoli 3-2 ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Old Trafford...
  19. JanguKamaJangu

    Mason Mount apata majeraha, ataikosa mechi dhidi ya Arsenal

    Kiungo huyo wa Manchester United, Mason Mount anatarajiwa kuwa nje ya Uwanja kwa muda wa Mwezi mmoja baada ya kuumia katika mchezo uliopita dhidi ya Tottenham. Mount ambaye alisajiliwa kwa Pauni Milioni 60 pia atakosa mechi za timu ya Taifa ya England dhidi ya Ukraine na Scotland. Majeraha...
Back
Top Bottom