An arsenal is a place where arms and ammunition are made, maintained and repaired, stored, or issued, in any combination, whether privately or publicly owned. Arsenal and armoury (British English) or armory (American English) are mostly regarded as synonyms, although subtle differences in usage exist.
A sub-armory is a place of temporary storage or carrying of weapons and ammunition, such as any temporary post or patrol vehicle that is only operational in certain times of the day.
C&P From mwanaspoti
REJEA kichwa cha habari juu baba. Mimi mja wako naomba unipatie ujasiri mkubwa. Wa kuachana na ushabiki wa hizi timu baba. Wewe mwenyewe unazijua vyema baba.
Moja ipo hapo Kariakoo nyingine huko kwa Mabeberu. Zinanipa majaribu makubwa baba.
Nashindwa kuelewa ni ibilisi gani...
Wanahamu na ubingwa hawa sema tu wabahili
•Man United watakuwa na kikosi kizuri lakini hawana kocha wa makombe😂
•Man City Target yao kubwa kuchukua ubingwa wa UEFA.
•Liverpool kocha atafukuzwa kwa maslai mapana ya klabu.
•Chelsea wataonyesha ushindani top 4.
•Tottenham top six
•Arsenal ni...
CEO na Mmiliki wa mtandao wa uuzaji wa nyimbo online (spotify) DANIEL EK anajiandaa kupeleka ofa nyingine ya kuinunua gunners ambayo inakadiriwa kufikia £2bn, ikumbukwe awali alipeleka ofa inayokadiriwa kufika £1.8bn kwa mmiliki wa washika mitutu hao wa london kroenke lakini ofa hiyo ilikataliwa...
Michezo miwili ya nusu fainali ya Europa kurindima hii leo majira ya saa 4:00 usiku katika viwanja viwili tofauti ,ambapo Roma itakuwa nyumbani kuialika Manchester United huku Arsenal ikiikaribisha Villarreal
Ili Roma kutinga fainali inatakiwa kushinda goli 4-0
Kwingineko Arsenal inahitaji...
Mimi ni mpenzi wa hizo timu mbili, nikivaa jezi za timu hizo warembo wanakuja kunipa namba wenyewe, imenitokea mara nyingi sana. Halafu mimi kwa sasa nimeokoka sitaki kabisa dhambi, kuna siri gani jamani?
Gunners wenzangu, huu takribani msimu wa4 tumekua tunaikosa UEFA, ukiangalia kipindi cha Wenger hatukua tunakosa.
Match ya Jana dhidi ya liverpool ndo imekata tumaini kabisa. Tatizo ni wachezaji, bodi au vocha?!!!!
Takwimu zinaonesha Manchester United imeshinda mechi moja tu kati ya tisa za nyumbani walizocheza dhidi ya timu za Uhispania, wakishindwa kufunga katika mechi mbili.
Mechi moja waliyoshinda ilikuwa dhidi ya Real Sociedad katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Ulaya msimu wa 2013-14
Kwa...
Nauliza tu kwa Uzuri siyo kwa ubaya. Yuko wapi yule mwanajamvi aliyesema Mikel Arteta hafai kuwa kocha wa Arsenal? Ni vizuri kuweka akiba ya maneno.
'Mungu mbariki Arteta'
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Huu ndio ushauri ninaoupeleka kwa Bodi ya wakurugenzi ya Arsenal, Washabiki na wapenzi wao.
Arteta hana uwezo wowote wa kufundisha timu kubwa kama Arsenal, hana kitu na wala uwezo wake hauna tofauti na Kuku kishingo, bila kumuondosha huyu kocha Arsenal itashuka daraja, kama mnabisha subirini.
Washika Mitutu wa London, Arsenal the Gunners wameibuka na Ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mashetani wekundu, Manchester United
Goli lililofungwa na P. Aubameyang kwa mkwaju wa Penati kunako dakika ya 69 lilitosha kuiandikia Arsenal ubingwa katika Dimba la Old Trafford kwa mara ya kwanza ndani ya...
Klabu ya Paris Saint-Germain (PSG) kutoka Ufaransa, jana imefanikiwa kuingia fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Ulaya baada ya kuifunga Klabu ya RB Leipzig ya Ujerumani goli 3-0
Mchezaji wa PSG, Angel di Maria alikuwa nyota wa mchezo jana kwa kutoa pasi mbili za magoli na kufunga goli moja, na...
Bravo,Congrats ARSENAL for a well deserved and needed win -FA CUP. We,FANS and supporters kept Faith in you...going forward let's aim at much bigger things. WE CAN... !!!
paulkagame
Juni 17 ndio utachezwa mchezo wa kiporo City dhidi ya arsenal katika dimba la Etihad. Ikumbukwe huu ni mchezo wa kwanza wa Arsenal under Mikel Arteta . Pia ndio mchezo ambao utamkutanisha mtu na boss wake yaani Pep Guardiola vs Mikel Arteta. Je, arteta atafanikiwa kumfunga City?
Arsenal wameapa kumwadhibu vikali mshambuliaji wao matata Alexandre Lacazette baada ya kuibuka kwa ripoti kwamba nyota huyo mzawa wa Ufaransa alipatikana akivuta gesi ya Nitrous Oxide almaarufu 'Laughing Gas' iliyokuwa imejazwa ndani ya puto.
Gazeti la Daily Star nchini Uingereza lilichapisha...
Ni balaa kubwa jaamani nahisi wachezaji wa arsenal kibao watakuwa nao maana walisalimiana hata na yule owner wa olympiacos,duh balaa gani hili huku africa si waahirishe tu hayo mashindano ya CHAn huko cameroon na taifa stars inatakiwa kwenda Tunisia wizara ya afya inakenua meno tu wakati Tunisia...
Leo Arsenal imetolewa rasmi kwenye michuano ya kombe la Europa League baada ya kupigwa nyumbani kwake mabao 1-2, mechi ikienda hadi kwenye dakika za nyongeza na mwishowe tukishuhudia Arsenal ikitolewa kwa aggregate ya magoli (2-2)
Binafsi kama mpenzi wa soka la ulaya, yafuatayo ni machache kati...
Habari wana jamvi,
Msimu huu Arsenal tuna hali mbaya kuliko Misimu yote iliyopita, Emery alietegemewa kufanya makubwa na kikosi cha Arsenal akakibomoa kikosi kwa migogoro na wachezaji.
Alianza kwa mbwembwe za kufika fainali ya Europa hatimaye akala kipigo kitakatifu kutoka kwa timu iliyokuwa...
Kiungo wa Arsenal Mesut Ozil ameondoshwa kwenye mchezo wa video wa Pro Evolution Soccer (PES) 2020 toleo la Uchina baada ya kuikosoa nchi hiyo kwa kuwatesa jamii ya Waislamu ya Uighur.
Ozil, 31, ambaye ni Muislamu, amewaita Wauighur (Wachina wa asili ya Kiislamu) "mashujaa wanaokabiliana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.