Ni lazima Mikel Arteta atimuliwe ili Arsenal isishuke daraja

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,367
219,738
Huu ndio ushauri ninaoupeleka kwa Bodi ya wakurugenzi ya Arsenal, Washabiki na wapenzi wao.

Arteta hana uwezo wowote wa kufundisha timu kubwa kama Arsenal, hana kitu na wala uwezo wake hauna tofauti na Kuku kishingo, bila kumuondosha huyu kocha Arsenal itashuka daraja, kama mnabisha subirini.
 
Mfukuzeni lakini mkumbuke Arsenal yenyewe ni Sawa na Safari ya Mwendawazimu haina Matumaini!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom