Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. N atamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata...
3 Reactions
24 Replies
847 Views
Kahama wanavuna mpunga mwezi gani Naomba connection kwa anayeishi Kahama au mkulima wa mpunga
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Hii kozi ninaoina kama miyeyusho fulani ivi maana nikiangalia maprof, Dr na PHD zao wote wameishia kuwa waalimu tu yaani malecturer tu, hakuna aliefungua mradi wake ata wa kufuga sato...
6 Reactions
17 Replies
895 Views
Tuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika. Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha Pm...
4 Reactions
12 Replies
536 Views
Wadau mbalimbali wa kilimo na ufugaji, ninaomba muongozo wa namna bora ya kutumia Samadi ya asili shambani. Kwa kuanzia, nilitaka kufahamu, Samadi ipi ya asili inafaa shambani kwa kilimo cha mboga...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
FURSA: Kampuni ya Ranchi za Taifa Limited ( NARCO LTD) ni Kampuni ya Serikali inayofanya ufugajina uuzaji wa Ng’ombe wa nyama, uchinjaji, uchakataji pamoja na uuzaji wa nyama ( Kongwa beef). Mwaka...
2 Reactions
4 Replies
384 Views
Habari Wadau kwa yeyote mwenye stock ya Dawa ya actelic 50 EC naomba tuwasiliane.
0 Reactions
2 Replies
193 Views
HATUA KWA HATUA UFUGAJI WA KUKU BORA WA NYAMA (BROILER) Lengo la makala hii ni kukuwezesha wewe mkulima kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi kukuwezesha wewe kupata faida. Hivyo basi wewe kama...
14 Reactions
40 Replies
59K Views
Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu...
3 Reactions
12 Replies
204 Views
Niko mwanza napenda kupanda miti. Tupeane Location na hii bidhaa ya miti 1.Miche ya Bure✅ 2.Miche ya ofa✅ 3.Miche ya hela⚠️✅ Nimeanza na mti mmoja wa maembe. Mwenze miche anipee basi nikapande
1 Reactions
15 Replies
448 Views
Pwani, Bagamoyo na Morogoro wapi naweza ng’ombe wa maziwa wakuuza? Wengi naona ni janda za juu na kaskazini. Nipe location au contacts kwa anaejua please!
0 Reactions
12 Replies
466 Views
Nini maana ya Incubator ya mayai? Eggs incubator? Ni jinsi gani ya kuitumia Incubator kuyapa joto mayai? Ni kitu gani nifanye kabla ya kuweka mayai ndani ya incubator? Nini kitatokea nisipogeuza...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Waungwana naombeni msaada tafadha sina utaalama sana, jamaangu ameniazima mashine n tayari nimeshaweka mayai ila naombeni msaada kwe hayo mawili tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Habari ndugu zangu, Mimi ni kijana niliyeamua kujiajiri rasmi kwenye ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara kwa asilimia 100, nimeanza kwanza utafiti kwa kujarbu kusikiliza maoni ya watu ambao...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wapendwa, nimeanza ufugaji wa Kasuku toka mwaka juzi na inakwenda vizuri ningependa kupata wadau wenzangu wa Kasuku.
1 Reactions
16 Replies
6K Views
Mimi ni mtaalamu katika sekta ya ufugaji nyuki, kama kuna kitu unahitaji kujua kuhusu Nyuki na Asali niulize nitajibu kadri ya uelewa wangu. Karibuni. "Without bees man will have only 4 years to...
5 Reactions
161 Replies
22K Views
Habari wanajamii? Mimi ninafuga Sungura na Njiwa kwa kuwa nawapenda sana ila nafahamu kwamba nikipata elimu ya namna ya kuwafuga kitaalamu au kwa mtu mwenye uzoefu nao naomba anielekeze namna...
4 Reactions
158 Replies
81K Views
Ni mwaka Jana ndiyo nilifahamu kwa mara ya kwanza juu ya uwepo wa tunda liitwalo dragon. Dragon ni kama jina la "utani" Jina lake halisi, kama sikosei, ni PITAYA au MSHOKISHOKI. Uchunguzi wangu...
2 Reactions
28 Replies
838 Views
  • Redirect
HERENI ZA WANYAMA Hereni kwaaji ya wanyama wote zinapatikana kwetu kwa bei chee. Zipo kwaajili ya; *️⃣Mbuzi *️⃣Ng'ombe *️⃣ Nguruwe *️⃣Kondoo nk. Ziponumla reja reja 📍 Tupo DSM, popote mzigo...
0 Reactions
Replies
Views
Kama habari inavyoeleza hapo juu, Mimi ni mkulima mzuri wa nyanya, nimelima zao hili kwa zaidi ya miaka kadhaa kutokana na changamoto za hapa na pale zilinifanya kuwa mzoefu na mtaalamu sana wa...
10 Reactions
117 Replies
7K Views
Back
Top Bottom