Love Doctor
JF-Expert Member
- Jun 28, 2016
- 728
- 787
Kahama wanavuna mpunga mwezi gani
Naomba connection kwa anayeishi Kahama au mkulima wa mpunga
Naomba connection kwa anayeishi Kahama au mkulima wa mpunga
Wakulima watakujibuMe ni mwabafunzi wa chuo nina ndoto ya kua mkulima mkubwa wa mpunga lakin sifaham inahitajik mtaji kias gani tafadhar naomb nisaidiwe
Kwa kweli Msukuma ataendelea kuwa bora kwa ujengaji hoja bungeni, yaani a graduate to be unauliza swali ambalo linakuhitaji ufanye simple research?Me ni mwabafunzi wa chuo nina ndoto ya kua mkulima mkubwa wa mpunga lakin sifaham inahitajik mtaji kias gani tafadhar naomb nisaidiwe
Naweza nikajibu kama ifuatavyo kulingana na eneo la bonde la Usangu kuanzia Ilongo mpaka Igawa ( kusahihishwa ni ruksa).Me ni mwabafunzi wa chuo nina ndoto ya kua mkulima mkubwa wa mpunga lakin sifaham inahitajik mtaji kias gani tafadhar naomb nisaidiwe
Umempa hesabu zakufikirika sana, nmechelewa kuona huu Uzi ila nijibu tu kwa yyte atakayekuja kutafuta ataona jibu, gharama za mpunga wa usangu hizi gharamaulizooanisha ni kama nusu yake na nyingine ni robo yake,ili utusue kwenye kulima walau ekari Moja tu,hakikisha una 2.4M hapo chini, hyo nihesabu ya ekari Moja, kumbuka kukod tu shamba usangu ni 495000/=Naweza nikajibu kama ifuatavyo kulingana na eneo la bonde la Usangu kuanzia Ilongo mpaka Igawa ( kusahihishwa ni ruksa).
Kulima kwa powertiller- Tsh 50000
Kuvuruga (kuchanganya tope)- Tsh 50000
Mbegu inategemeana na msimu- mfano mwaka huu ilikuwa ni Tsh 36000, kwa wastani wa debe za mpunga kwa heka kama unapanda randomly bila kamba na kama unapanda kwa kutumia kamba ni kiasi kama cha nusu debe tu (10 litres).
Kupanda ilikuwa inaanzia Tsh 80000-Tsh 12000 inategemeana na muda wa kupanda kama ni mwezi wa 12, 1, 2 au wa tatu.
Mbolea kwa DAP ni Tsh 70000( kwa bei ya ruzuku) na kawaida ilikuwa Tsh 110000 hivi.
Kujazia matuta ya kukinga maji ni Tsh 20000 kwa heka kama matuta yalikuwapo, ila kama hayakuwepo ni kuyapanga upya ni Tsh 40000.
Kusawazisha heka ni Tsh 20000 kama mvurugaji alivuruga vibaya, ila inaweza kushuka au kupanda kutegemeana na mvurugaji.
Dawa ya kuua magugu andaa kama Tsh 35000 hivi.
Palizi andaa kuanzia Tsh 30000, inategemeana na magugu kama yalikufa kwa kiwango kikubwa ila haiwezi kupungua hiyo bei na inaweza kuongezeka.
Dawa ya wadudu na mpigaji andaa Tsh 20000.
Kuvuna kwa kombaini andaa Tsh 150000 kwa heka.
Mifuko ya kuvunia andaa kama Tsh 30000 .
Wakukusanya vipeto andaa kama 30000 ya makuli, ila inaweza kupungua na pia kupanda kutegemeana na uwepo wa maji shambani.
Kuanika andaa kama 6000 .
Kushona na kuchekecha ni kama andaa 18000+ 30000 ya mifuko.
Usafiri kutoka shambani mpaka mbeya mjini Sido andaa kama 2500-3500 kwa njia ya ilongo na kutoka igawa huko ubaruku andaa kama 4000-5000 kwa kiroba kimoja.
Pakia shusha 1200 kwa kila kiroba.
Zingatia ; bei hizo za baaada ya uvunaji hutegemea na mavuno yapo kiasi gani uliypopata. Na hii ni eneo tajwa la bonde la Usangu.
Naruhusu marekebisho
Umempa hesabu zakufikirika sana, nmechelewa kuona huu Uzi ila nijibu tu kwa yyte atakayekuja kutafuta ataona jibu, gharama za mpunga wa usangu hizi gharamaulizooanisha ni kama nusu yake na nyingine ni robo yake,ili utusue kwenye kulima walau ekari Moja tu,hakikisha una 2.4M hapo chini, hyo nihesabu ya ekari Moja, kumbuka kukod tu shamba usangu ni 495000/=
Gunia 30, ukitumza vizur na kufata Kila inavotakiwa gunia 35-40Na huko usangu kwenye heka unapata gunia ngapi?
Gunia 30, ukitumza vizur na kufata Kila inavotakiwa gunia 35-40
Mpendwa sehemu niliyopo shamba kukodi ni kuanzia 200k mpaka 250k.Umempa hesabu zakufikirika sana, nmechelewa kuona huu Uzi ila nijibu tu kwa yyte atakayekuja kutafuta ataona jibu, gharama za mpunga wa usangu hizi gharamaulizooanisha ni kama nusu yake na nyingine ni robo yake,ili utusue kwenye kulima walau ekari Moja tu,hakikisha una 2.4M hapo chini, hyo nihesabu ya ekari Moja, kumbuka kukod tu shamba usangu ni 495000/=
Naweza nikajibu kama ifuatavyo kulingana na eneo la bonde la Usangu kuanzia Ilongo mpaka Igawa ( kusahihishwa ni ruksa).
Kulima kwa powertiller- Tsh 50000
Kuvuruga (kuchanganya tope)- Tsh 50000
Mbegu inategemeana na msimu- mfano mwaka huu ilikuwa ni Tsh 36000, kwa wastani wa debe za mpunga kwa heka kama unapanda randomly bila kamba na kama unapanda kwa kutumia kamba ni kiasi kama cha nusu debe tu (10 litres).
Kupanda ilikuwa inaanzia Tsh 80000-Tsh 12000 inategemeana na muda wa kupanda kama ni mwezi wa 12, 1, 2 au wa tatu.
Mbolea kwa DAP ni Tsh 70000( kwa bei ya ruzuku) na kawaida ilikuwa Tsh 110000 hivi.
Kujazia matuta ya kukinga maji ni Tsh 20000 kwa heka kama matuta yalikuwapo, ila kama hayakuwepo ni kuyapanga upya ni Tsh 40000.
Kusawazisha heka ni Tsh 20000 kama mvurugaji alivuruga vibaya, ila inaweza kushuka au kupanda kutegemeana na mvurugaji.
Dawa ya kuua magugu andaa kama Tsh 35000 hivi.
Palizi andaa kuanzia Tsh 30000, inategemeana na magugu kama yalikufa kwa kiwango kikubwa ila haiwezi kupungua hiyo bei na inaweza kuongezeka.
Dawa ya wadudu na mpigaji andaa Tsh 20000.
Kuvuna kwa kombaini andaa Tsh 150000 kwa heka.
Mifuko ya kuvunia andaa kama Tsh 30000 .
Wakukusanya vipeto andaa kama 30000 ya makuli, ila inaweza kupungua na pia kupanda kutegemeana na uwepo wa maji shambani.
Kuanika andaa kama 6000 .
Kushona na kuchekecha ni kama andaa 18000+ 30000 ya mifuko.
Usafiri kutoka shambani mpaka mbeya mjini Sido andaa kama 2500-3500 kwa njia ya ilongo na kutoka igawa huko ubaruku andaa kama 4000-5000 kwa kiroba kimoja.
Pakia shusha 1200 kwa kila kiroba.
Zingatia ; bei hizo za baaada ya uvunaji hutegemea na mavuno yapo kiasi gani uliypopata. Na hii ni eneo tajwa la bonde la Usangu.
Naruhusu marekebisho
Ila michele ya Moshi ilishanishindaga .radha yake sikuielewa kabisaMchele moshi ni bei chee kwa sasa 1900 hadi 2000 supa 2100 mpka 2200
Natafuta ya kahamaIla michele ya Moshi ilishanishindaga .radha yake sikuielewa kabisa
Shinyanga Sasa hivi gunia 65,000 ila ukizama ndan 55,000 pengine ikashuka mwez wa 5 nlikuwa huko bushNatafuta ya kahama
Afu kuvuna mwaka huu kunatofautiana kiaina sbb mwez wa pil na wa 3 hakukuwa na mvua ya kutosha. Wewe unataka Mpunga au unataka mchele. Maana wanavuna Sana Sasa hivi Kagongwa naweza kuulizia bei Kama haunaNatafuta ya kahama