Msaada: Mashamba ya kulima mpunga yanayokodishwa au kuuzwa

Jaes

Member
Mar 15, 2023
6
7
Naomba kuuliza wana JamiiForums,

Hivi ni maeneo gani mpaka sasa kwa mikoa inayolima Mpunga kwa mfano Songea ni Maeneo yapi mashamba ya mpunga bado yanakodishwa au kuuzwa kwa bei ya chini?
 
Unahtaj hekar ngap, na yawe na sifa zpi kiongoz nko songea
 
Nahtaji mashamba ya Mpunga yenye rutuba nzuri na ambayo yapo kweny ukanda unaotegemea mvua sio umwagiliaji na yawe na bei nzuri
 
Kuna mapor mazur songea vjjn njoo kagua ukipendezwa lipa ufanye kaz Bei ni 60000 kwa heka.
 
Siku zote project kama hii unafanya pilot project kwanza. Anza hata na heka moja u-test hali kwanza.
Brother mimi ni muumini sana wa kujilipua kuna wakati nilieñda ngumbu kulima ufuta wengi walinishauri nilime heka chache kama 4 ili nijifunze kwakuwa ni mgeni kulima hilo zao, nikawaambia hapana nalima heka 50 kama hasara nipate yakunifilisi na kama faida nipate yakunitajirisha na kweli niliuupiga sana ufuta bei tu ndio ilikuwa ndogo ule mwaka ila laiti ingekuwa bei imefika hata 2000 kwakilo nilikuwa nanunua fuso mwaka ule
 
Sasa mbona hukurudia kulima tena?
 
Kuna mapor mazur songea vjjn njoo kagua ukipendezwa lipa ufanye kaz Bei ni 60000 kwa heka.
Kiswahili ni lugha rahisi kuisikia lakini ni ngumu kuisikiliza.
Mleta mada anatafuta shamba (ambalo lipo tayari kwa kulima). Hajasema kwamba anatafuta pori ili asafishe ndipo alime.
 
Sasa mbona hukurudia kulima tena?
Kulikuwa na vitu vingi vilivyochangia nisiende kulima ufuta pamoja na kulikuwa migogoro ya ardhi na watu wa hifadhi ila kubwa zaidi nilikuwa nayatengeneza mashamba yangu ya mikorosho kwasababu ndilo zao ninaloliamini kuliko yote hapa Tanzania kwahiyo hata hiyo pesa niliyokaipata nilienda kununua mashamba ya mikorosho tandahimba
 
Brother mimi ni muumini sana wa kujilipua kuna wakati nilieñda ngumbu kulima ufuta wengi walinishauri nilime heka chache kama 4 ili nijifunze kwakuwa ni mgeni kulima hilo zao, nikawaambia hapana nalima heka 50 kama hasara nipate yakunifilisi na kama faida nipate yakunitajirisha na kweli niliuupiga sana ufuta bei tu ndio ilikuwa ndogo ule mwaka ila laiti ingekuwa bei imefika hata 2000 kwakilo nilikuwa nanunua fuso mwaka ule

Mkuu una uzoefu wa kulima mpunga ?? Mimi naona mpunga una kazi kulima kuliko mazao mengine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom