Wapenda kupamba miche ya miti Mwanza tujuane

Xi jiping

JF-Expert Member
May 7, 2021
415
536
Niko mwanza napenda kupanda miti.
Tupeane Location na hii bidhaa ya miti
1.Miche ya Bure✅
2.Miche ya ofa✅
3.Miche ya hela⚠️✅


Nimeanza na mti mmoja wa maembe.
Mwenze miche anipee basi nikapande
 
Niko mwanza napenda kupanda miti.
Tupeane Location na hii bidhaa ya miti
1.Miche ya Bure✅
2.Miche ya ofa✅
3.Miche ya hela⚠️✅


Nimeanza na mti mmoja wa maembe.
Mwenze miche anipee basi nikapande
Sijawahi kumuona Xi Jinping anayependa vya bure na ofa
 
Back
Top Bottom