Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Mimi ni mwanamke, miaka 32, watoto wawili. Baba wa watoto tumeachana muda kidogo, sijakata tamaa wala, nayapenda Maisha kweeli. Nimeajiriwa. Natamani nipate mwanaune ambae ni HIV Positive kama...
56 Reactions
368 Replies
20K Views
Hello everyone, Natafute mtu wa kufunga nae pingu za maisha. sifa zangu, umri miaka 24, kabila mnyambo, dini mkristo, rangi yangu chocolate naishi Dsm Tabata, elimu yangu ni chuo, kwa sasa...
25 Reactions
110 Replies
18K Views
Mambo yasiwe mengi, kuna cousin brother wangu anahitaji kuongeza mke wa pili. Vigezo: Awe mrembo wa sura na umbo pia Elimu kidogo angalau form six au certifcate Umri miaka kuanzia 25 mpaka 32...
2 Reactions
23 Replies
1K Views
Umri wangu ni miaka 45, Hali yangu ya kindoa ni mtalaka, watoto wanne, Kila mmoja na mama yake, na watoto wote wako kwa mama zao. Kazi nafanya, Hela napata, pombe nakunywa. Mambo ya mabebzi labda...
36 Reactions
99 Replies
2K Views
Rafiki yangu anahitaji mume. SIFA ZA ANAYEMHITAJI; Awe mkristo Awe na Umri kuanzia miaka 43 na kuendelea. Asiwe mlevi. Awe na kazi kuajiriwa/ kujiajiri Asiwe na zaidi ya watoto 2. Mwenye uelewa...
4 Reactions
12 Replies
619 Views
Mimi ni kijana wa umri miaka 28 mkazi wa Dar es salaam natafuta mchumba ambae ntafunga nae ndoa
7 Reactions
63 Replies
939 Views
Wakuu habari, anahitajika binti umri miaka 18 Hadi 25, awe sunni, ibada Sala Tano ikiambatana na stara ya kisheria.. muoaji ni muajiriwa serikalini umri wake 28. #0762922336
3 Reactions
9 Replies
242 Views
Ndugu zangu natafuta mke wakuoa sifa awe muislam elim yoyote awe mikoa jiran na arusha.umri kuanzia 21 mpaka 30.mim sifa zangu ni muislam umri 33 ninaish arusha nimejiajiri.aliyetayar karibu pm
1 Reactions
6 Replies
299 Views
.
8 Reactions
179 Replies
2K Views
Habari zenu... Mimi ni kijana wa miaka 30 nina bachelor degree, Ni muajiriwa Serikalini, Pia mfanyabiashara, Ni mweusi 5.7 feet tall, Ni mweusi wa wastani. Natafuta mke wa kuoa Awe na umri wa...
4 Reactions
36 Replies
942 Views
Nimekuwa msomaji mzuri sana wa JF hasa nikivutiwa na watu kadhaa wa humu ndani kama akina Sky Eclat , GuDume , Nucky Thompson , Salary Slip, Da'Vinci e.t.c Hawa ni watu ambao nimekuwa kwa...
26 Reactions
196 Replies
31K Views
Tafadhali naomba nijielezee kwanza: Jina langu naitwa mosses, dini yangu mkristo, mwili wangu wa kawaida wa kimazoezi na nina six pack, urefu wangu kawaida, rangi yangu maji ya kunde, uvaaji...
0 Reactions
2 Replies
143 Views
Umri wangu miaka 45, Muislamu naishi Dodoma. Natafuta mchumba sifa awe mweupe, mzuri, asiwe bonge nyanya au mwenye maziwa mengi. Awe angalau na kidato cha nne, awe tayari Kuishi Dodoma nilipo...
7 Reactions
41 Replies
1K Views
Dear jf members kheri ya mwaka mpya 2024 ... Huu ni mwaka wa kihistoria katika maisha yangu ya hapa duniani ni mwaka ambao natarajia kufanya maamuzi magumu ya kufunga ndoa tukio ambalo nimeliwaza...
13 Reactions
87 Replies
3K Views
Nina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na kwa mama yao. Nahitaji mpenzi wa kike tupendane. Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
13 Reactions
103 Replies
2K Views
Nahitaji mtu mke atayekuwa mwenza wa maisha. Sifa zake 1. Asiwe mpenda kujipodoa sana. Tafiti zinaonesha wanaojipodoa san asilimia kubwa ni wachepukaji. 2. Umri uwe kati ya miaka 23 na 28 3...
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Waungwana kama kichwa cha somo kinavuojieleza hapo. Mimi ni nipo Dodoma nahitaji mchumba umri 22-25. Kwa aliye tayari karibu inbox tuyajenge zaidi.kipaumbele kwa walioko Dodoma sichaguwi dini...
2 Reactions
13 Replies
591 Views
Hapa nakuja kwenu ndugu zangu najua hapa ni platform nzuri kuweza kupata mke serious hakika naimani hapa nitapata namna nahitaji mwenye mapenzi ya kweli SIFA ZANGU Miaka 36 now Sina mtoto Rangi...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
Mwanaume Naishi Dodoma kikazi. Umri wangu 39.5 Watoto 2mapacha , mama yao alkwshaorewa Dini:mkristo Kazi:nmeajiriwa na serikali Mweusi mimi sio sana Nahitaji mke Umri 25-35 Awe mweusi kidogo...
2 Reactions
1 Replies
188 Views
Mimi nipo Dar na nahitaji mke aliye mnene na mkweli pamoja na mapenzi ya kweli. Nipo Dar na umri wangu miaka 54 na umri wa mke usiZidi miaka 50 sina tatizo la dini wàla kabila. Tuwasiliane kwa...
10 Reactions
118 Replies
3K Views
Back
Top Bottom