Natafuta mpenzi wa kike mtu mzima

Sasa jamani ID yako tu ni sweet 16,halafu u nataka kupambana na sie shangazi zako,tuachie bwana sie wenzio soko letu lipo complicated kidogo😁
Hiyo ni ID tu haina ukweli wowote tafadhi ipuuze😀 na isitoshe kiziwanda changu ndo kilinishawishi kujoin jf na jina kakanichagulia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom