Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 12,338
- 23,273
Wanaelewa kwanza...Kuna mfungo ujue...
ππππππ Hao watoto wa dasalamu
Wanaelewa kwanza...Kuna mfungo ujue...
Sema tatizo tutabanjuka mpaka na watoto wake.Sio mbaya, mtatumia joto lako. Mfanyie wepesi huyo Mshua.
Hawaelewi hawa, wanatafuta balaaWanaelewa kwanza...
ππππππ Hao watoto wa dasalamu
Kombinesheni ya hatari sana kilinge kikutane na majiniUyu wana pendana na Mshana Jr ila wana tu actia humu
Asee astaghfirullahKuna mfungo ujue...
Mpaka waote mikiaHawaelewi hawa, wanatafuta balaa
Wewe Non luminous flame inakuhusu kule mbinguni ππππAsee astaghfirullah
Dingiii shkamooNina miaka 55, mfupi 5 7, mfanyabiashara, naishi Dar, Nina watoto wakubwa, wanaishi kivyao na Kwa mama yao.
Nahitaji mpenzi wa kike tupendane.
Maswali zaidi uliza inbox tafadhali
vijana tupo unakubaliaje wazee?Karibu Pm tuyajenge.
Me Mzee.vijana tupo unakubaliaje wazee?
Duuuh basi sawa shangazi mwenza,tukashindane vigezo huko PMππHiyo ni ID tu haina ukweli wowote tafadhi ipuuzeπ na isitoshe kiziwanda changu ndo kilinishawishi kujoin jf na jina kakanichagulia
ππππUmenikumbusha Kuna dalali insta anatangaza nyumba zake Goba huko,utasikia jamani mashangazi ki master hicho Cha kufichia kibenten chako....Hivi vinawapaga Hela hivyo vitoto au wewe ndio unakipa?Mie nimezoea mchakamchaka wa vitoto vya 2000's, vinapeleka moto hatari.
Nina marioo wangu huyo wa 2003, kmmke, natarajia kumpangia chumba shangazi yako mieee.
Ananikamua, kunianika na kunikunja kwa pamoja.
πππ
ππMimi Niko on que huko PM tukayajenge Kama tutawezana
ππππJoto hawezi kosa kikubwa anapumua,mi nilichompendea ukijumlisha hapo kwenye sikukuu pia 55 ndio age ya kustaafu....so NSSF ikisoma nitamsindikiza Tanzania postal Bank ya wastaafu kuzishughulikiaAbeeeee shangazi mwenzangu.
Huyu ni saizi yetu kabisa....afu Mungu hamtupi mja wake, kaja wakati mzuri sana.
Wiki hii Pasaka, keshokuwa Iddi.
Sema miaka 55,ana joto kweli huyu?
Coca sio ligi yake yake hii,hii ni maveteranMuite na dada angu coca..
ππππ
Ndoa tunayo,tuanze kunywa green tea kutoa wrinkles na kitambi ππ₯²Kwaivo ndoa tunapata au hatupati?
Msaidieni mwenzenu.....ana uhitaji πππMimi Niko on que huko PM tukayajenge Kama tutawezana
Mdogo wangu,sisi mashangazi tunamuhitaji zaidi ya yeye kuliko yeye anavyotuhitaji sisi,Age go, famchezo atokee mchumba kama yeyeπππMsaidieni mwenzenu.....ana uhitaji π