Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Jina: John Kazi: religious Makazi: Dar na Zanzibar Umri: 34 Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano akiwa na maisha yake itapendeza zaidi. Sijachagui dini, kabila, Wala rangi cha...
1 Reactions
3 Replies
244 Views
Natafuta mke mkristo, umri rejea kichwa cha habari hapo juu. Awe ameajiriwa au kujiajiri. Mcha Mungu anayeamini katika maisha ya upendo baina ya mke na mume. Mimi nina Elimu ya chuo kikuu na ni...
3 Reactions
9 Replies
437 Views
Habari Za Leo Ndugu Zangu. Mimi ni Mwanaume Natafuta MCHUMBA Ambaye baadaye Tunaweza Kuwa Mume na Mke. SIFA ZANGU. 1. Elimu Chuo 2. Umri Miaka 28 3. Nimeajiriwa SIFA ZA MCHUMBA 1. Awe...
1 Reactions
4 Replies
447 Views
Natafuta dada au mama mtumzima chini ya miaka 35. Aliejiajiri au kuajiriwa. Mwenye Elimu yoyote kuanzia la saba. Awe na mtoto au asiwe naye. Awe serious na maisha. Mimi na miaka 40. Ni mkristo...
2 Reactions
17 Replies
695 Views
Natafuta mchumba wa kike chini ya Miaka 28 Npo Dar Awe dini yeyote awe na kazi ya kujiingizia kipato Ili tusaidiane kimaisha Mimi Nina miaka 30..
5 Reactions
14 Replies
489 Views
Hello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu 1. Nina miaka 31 2. Mnene kiasi 3. Nina elimu ya degree niko idara ya elimu 4. Sina mtoto 5. Mweusi sio mrefu...
25 Reactions
117 Replies
4K Views
Natafuta dada au mama yeyote awe na watoto au la. Awe anajiheshimu na kujua majukumu ya kumtunza mme. Umri wowote mpaka miaka 35. Awe anajiweza kiuchumi sitaki wakuja kulialia bila kuchangia...
0 Reactions
7 Replies
344 Views
Yaani tangu nihamie Dodoma 2019 nimekuwa mpweke sana, kama sio Madame B yule niliyejizoea wakati niko Dar 😔 Nikiamka asubuhi na kwenda kazini. Nikisharudi, kampani yangu ni Tv na games au simu...
56 Reactions
317 Replies
8K Views
Mimi ni kijana wa miaka 33 Naishi Mwanza ni mfanyabiashara wa kujitegemea, nipo hapa mbele yenu wanaJamii natafuta Mwanamke wa kuoa Kwa Mkataba. Mimi ni mfanyabiashara, na nimejiunga na Chama...
0 Reactions
15 Replies
523 Views
Mimi natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mke wangu . Sifa zake. 1. Asiwe na tatizo la kiafya la kudumu. 2. Awe amemaliza la Saba au sekondari au chuo au chuo kikuu. 3. Awe amejiajiri mwenyewe...
2 Reactions
19 Replies
600 Views
Nahitaji Mke aliye serious kuolewa. Mimi nina miaka 36 Mkiristo. Nahitaji mwanamke mwenye akili ya maisha sana, asiwe na Kiburi, mke muunganisha familia yani ajue kwamba mimi sipo peke yangu...
4 Reactions
66 Replies
1K Views
Natafuta mke, umri miaka 30 Hadi 40 Mkisto, mjasiriamali wa kati. Awe anaishi Dar. Mimi ni mfanyabiashara naishi Dar. Umri wangu ni miaka 45. Nahitaji mwenye Elimu ya sekondari hadi chuo kikuu...
5 Reactions
17 Replies
467 Views
Mimi ni binti wa miaka 30, muislamu, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi na ni mama wa mtoto mmoja nipo single nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja. Sifa za mwenzi...
11 Reactions
67 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha tangazo langu kisemavyo,nahitaji mume mkristo mwenye hofu ya Mungu.Awe na umri kuanzia miaka 34 na kuendelea,mkweli,muwazi na awe na shughuli halali kumpatia...
12 Reactions
58 Replies
2K Views
Mi ni mwanamke mrembo mwenye Utu sana,Msikivu,Mwenye Upendo,Mwanamke ambae nathamini sana Familia, mwanamke ninaependa Maendeleo, Mama wa mtoto mmoja Miaka 34 Mfanyabiashara Mkristo Nina...
19 Reactions
51 Replies
3K Views
Hello I am mom of 3 kids aged 33, Human Resource officer in a government entity Looking for a divorced, widowed, or single man with age of 45-60 to build our family and enjoy our lifetime...
17 Reactions
65 Replies
4K Views
Wasalam, Habari hum,natafuta mke wakuishi naye sichagui sibagui yoyote sawa kigezo:uwe umeajiliwa(mimi bado nasoma) umri:wowote(mimi 22) Ntakupenda na kukulinda kama mboni ya jicho langu mwaaah!
2 Reactions
7 Replies
246 Views
A life of a "really man" is incomplete without a really "woman" who has merits of being a "wife". Not every man has a merits of being husband, similarly not every woman has a merits to become a...
2 Reactions
18 Replies
683 Views
Habari, Natafuta mke wa kumpenda na kuishi naye maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani. Mimi ni mkristo, miaka 35, nafanya biashara (machinga), naishi Dar es Salaam. Natafuta mwanamke miaka...
0 Reactions
1 Replies
318 Views
Habari, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji rafiki mtu mzima, kutoka upande wowote wa dunia umri kuanzia miaka 35 , ambaye amepitia changamoto tofauti za kimaisha bila kukata tamaa...
10 Reactions
122 Replies
5K Views
Back
Top Bottom