Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Wasalaam dronedrake Natafuta mwanamke wa kuoa; Awe na umri kuanzia 18- 28 Awe mrefu, 5+ feet tall Awe amehitimu form six na kuendelea Awe anapenda kufanya kazi Awe Mwafrika, au mzungu...
9 Reactions
66 Replies
2K Views
Jamani naelekea kukata tamaa.. Hiivi ni kweli humu ndani hakuna HIV + hata mmoja mwanaume ambaye anahitaji familia??? Uko wapi mwenza tafadhali njoo tutengeneze maisha yetu, nikupikie chakula...
27 Reactions
68 Replies
3K Views
Mimi Nina miaka 38,nahitaji mama mtu mzima 43+,tuwe kwenye mahusiano,mke nilikuwa naye nimemwacha . Sihitaji mtu anayepungua umri huo ,nahitaji mama mtu mzima kabisa . Sifa: Awe tayari kupima na...
6 Reactions
33 Replies
1K Views
Naomba nitoe shukrani zangu za dhati JamiiForums kunipatia mchumba, Pia, sio kwamba wewe hustahili kuwa mke wangu kama sijakupa kipaumbele, la hasha ni vile nilikuwa nataka mmoja tu! Wengine...
3 Reactions
52 Replies
1K Views
Hello Guy's kama kichwa kinavyo someka Binti / Mwanamke aliye single anahitajika: Sifa za Mwanamke: - Mwenye: heshima, Nidhamu, Utii, Hekima, Uvumilivu. - Umri: Miaka 25 - 45 - Ukazi: Dar es...
4 Reactions
3 Replies
336 Views
Mimi ni kijana wa makamo umri miaka 32, elimu yangu std 7, kazi mjasiriamali, natafuta mchumba ambae hatiaye awe mke wangu. Umri 22~27, elimu itapendeza asivuke form 4, dini/kabila lolote...
0 Reactions
9 Replies
326 Views
Sifa za mke: 1. Awe muslim 2. Umri chini ya miaka 30 3. Mweupe na urefu wa katikat 4. Umbo la kuvutia 5. Awe tayari kuwa msimamizi wa biashara za familia na sio zake binafsi 6. Asiwe mkali na...
8 Reactions
72 Replies
2K Views
Nina umri wa miaka 30 educated, self employed, natafuta mke yoyote lakini asiwe kibonge mrefu kias rangi yoyote ila awe ndio anaanza maisha alafu awe mcha mungu bas vingine tutavumiliana, ukiwa na...
0 Reactions
3 Replies
455 Views
Mimi nipo hapa Dar na nahitaji mke wa kuoa, awe mnene kwa umbo na mcheshi pia mwenye upendo. Umri wake usizidi miaka 55 wakati umri wangu miaka 60 na tuwasiliane basi tuweze fahamiana.
2 Reactions
158 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu. Sina maneno mengi bali; ninahitaji mke atakayekuwa tayari kuishi nami. Sifa zangu. Umri :33yrs Elimu: Shahada Rangi: Mweusi Dini: Mkristo Kimo: 178cm Sifa za mke 1. Umri: 25...
1 Reactions
6 Replies
506 Views
Mi sina mambo mengi, ninachohitaji ni mtu mwanamke ambae tutaelewana na kuoana. Sijali kabila wala dini, sijali ana kipato gani wala elimu gani. Mimi ni muislam, umri wangu ni 42 sasa, sina...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Natafuta rafiki wakike awe mstaharabu na mpole pia sichagui dini wala Umri kwa upande wangu Umri wangu ni miaka 27 kama uko tayari nifuate pm tuongee zaidi
0 Reactions
2 Replies
258 Views
Dear ladies If you have a good man, hold on to him. And when I say a good man, I don’t mean a man who is perfect. But a man who tries. He’s hardworking, will go above and beyond to make you...
0 Reactions
2 Replies
249 Views
Wana bodi salaam, Kama title inavyojieleza hapo juu,nahitaji Mama over35 yrs kimahusiono,nimechoka kudate na viunder 20,Mimi kijana over25yrs najiweza kidogo kiuchumi,Alie serious pm me
0 Reactions
7 Replies
715 Views
Kutoka kwa mdau!! " Umri wangu ni miaka 30...!!! Nmebarikiwa kazi nzuri na maisha mazuri ,,Leo nimependa kushea idadi ya wapenzi ...ambao nimewah kuwa nao Kwa nyakat tofauti tofauti...na...
12 Reactions
109 Replies
3K Views
Kazi yangu biashara ndogo ndogo Kipato kwa mwezi ni 150,000 ,tukiungana kitaweza ongezeka Umri wangu miaka 35 Sina mtoto na sijaoa Mrefu wa wastani na mwembamba Sifa za mke Awe 25 yrs na...
7 Reactions
80 Replies
2K Views
Naitwa Erick nipo Dodoma, natafuta mpenzi. Aliye-serious karibu tuyajenge inbox. Sichaguii dini kabila elimu au kipato kipaumbele kwa waliopo Dodoma.
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Habari wadau, Mimi nina umri wa miaka 31, mrefu mweusi, nimejiajiri, dini mkristo, nahitaji dada aliye tayari kwa ndoa kwa mwaka huu. Kigezo kikubwa ni umri miaka kuanzia 31 mpaka 40, kama ana...
2 Reactions
7 Replies
376 Views
Umri wangu 46, mtumishi wa serikali. Sifa za mke; 1. Elimu kuanzia kidato cha nne. 2. Dini yoyote. 3. Umri iwe Miaka 30-50.
21 Reactions
141 Replies
7K Views
Sina sharti lolote wala siangalii kigezo chochote ili mradi uwe na pesa. Asanteni Madame B
1 Reactions
49 Replies
7K Views
Back
Top Bottom