Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Niko Arusha Natafuta rafiki wa kike asiyekula nyama, asiwe mfia dini za wazungu Mimi ni mweupe maji ya kunde, umri wangu miaka 35, sijaoa wala sina mtoto Rafiki ninayemtaka Awe mweusi Awe mrefu...
10 Reactions
96 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf, Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo; Umri : 34 - 40 Dini : Mkristo Elimu : Awe na Digrii na kuendelea Awe ameajiriwa...
25 Reactions
325 Replies
9K Views
Habari wana Jf
3 Reactions
86 Replies
3K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30, mkristo, naishi Dar es Salaam, ni mwajiriwa wa sekta binafsi nahitaji mwenza wa maisha ikiwa heri tuishi pamoja. Sifa za mwenzi ninayemtaka 1. Awe na umri kuanzia...
0 Reactions
7 Replies
329 Views
Rafiki yangu ni Mwinjilisti WA KKKT anahitaji mchumba /mke aliezaliwa 1983-1988 anipigie namba 0755 144 754 nimuunganishe na muhusika. Asante
5 Reactions
34 Replies
809 Views
Looking for a matured Christian man for long term relationship, then marriage Above 40 years old Should be reformed/born again Christian Not smoking/not drinking/God fearing Genuine men /with or...
13 Reactions
62 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa! Mimi naamini mapenzi ya kweli hutakiwi kutumia nguvu nyingi kuyapata, ila pia naamini mapenzi ya kweli ni kupata wa kufanana nae ili usiwe unajieleza sana kwake. Kwa umri wangu...
4 Reactions
15 Replies
470 Views
Jina: John Kazi: religious Makazi: Dar na Zanzibar Umri: 34 Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano akiwa na maisha yake itapendeza zaidi. Sijachagui dini, kabila, Wala rangi cha...
1 Reactions
3 Replies
233 Views
Natafuta mke mkristo, umri rejea kichwa cha habari hapo juu. Awe ameajiriwa au kujiajiri. Mcha Mungu anayeamini katika maisha ya upendo baina ya mke na mume. Mimi nina Elimu ya chuo kikuu na ni...
3 Reactions
9 Replies
401 Views
  • Redirect
Asalam aleikum, kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kunipa uzima hakika ni faraja kupanda jukwaani kusema ya moyoni Nahitaji mke wa kiislamu, sifa zingine ni za ziada nahitaji kuoa sasa kikubwa umri...
2 Reactions
Replies
Views
Habari Za Leo Ndugu Zangu. Mimi ni Mwanaume Natafuta MCHUMBA Ambaye baadaye Tunaweza Kuwa Mume na Mke. SIFA ZANGU. 1. Elimu Chuo 2. Umri Miaka 28 3. Nimeajiriwa SIFA ZA MCHUMBA 1. Awe...
0 Reactions
4 Replies
361 Views
Natafuta dada au mama mtumzima chini ya miaka 35. Aliejiajiri au kuajiriwa. Mwenye Elimu yoyote kuanzia la saba. Awe na mtoto au asiwe naye. Awe serious na maisha. Mimi na miaka 40. Ni mkristo...
2 Reactions
17 Replies
636 Views
Natafuta mchumba wa kike chini ya Miaka 28 Npo Dar Awe dini yeyote awe na kazi ya kujiingizia kipato Ili tusaidiane kimaisha Mimi Nina miaka 30..
5 Reactions
14 Replies
461 Views
Hello! Nahitaj kupata mwanaume ambaye yuko tayar kuanza maisha ya ndoa, sifa zangu 1. Nina miaka 31 2. Mnene kiasi 3. Nina elimu ya degree niko idara ya elimu 4. Sina mtoto 5. Mweusi sio mrefu...
25 Reactions
117 Replies
4K Views
Natafuta dada au mama yeyote awe na watoto au la. Awe anajiheshimu na kujua majukumu ya kumtunza mme. Umri wowote mpaka miaka 35. Awe anajiweza kiuchumi sitaki wakuja kulialia bila kuchangia...
0 Reactions
7 Replies
326 Views
Yaani tangu nihamie Dodoma 2019 nimekuwa mpweke sana, kama sio Madame B yule niliyejizoea wakati niko Dar 😔 Nikiamka asubuhi na kwenda kazini. Nikisharudi, kampani yangu ni Tv na games au simu...
56 Reactions
317 Replies
7K Views
Mimi ni kijana wa miaka 33 Naishi Mwanza ni mfanyabiashara wa kujitegemea, nipo hapa mbele yenu wanaJamii natafuta Mwanamke wa kuoa Kwa Mkataba. Mimi ni mfanyabiashara, na nimejiunga na Chama...
0 Reactions
15 Replies
474 Views
Mimi natafuta mchumba ambaye baadaye atakuwa mke wangu . Sifa zake. 1. Asiwe na tatizo la kiafya la kudumu. 2. Awe amemaliza la Saba au sekondari au chuo au chuo kikuu. 3. Awe amejiajiri mwenyewe...
2 Reactions
19 Replies
568 Views
Nahitaji Mke aliye serious kuolewa. Mimi nina miaka 36 Mkiristo. Nahitaji mwanamke mwenye akili ya maisha sana, asiwe na Kiburi, mke muunganisha familia yani ajue kwamba mimi sipo peke yangu...
4 Reactions
66 Replies
1K Views
Natafuta mke, umri miaka 30 Hadi 40 Mkisto, mjasiriamali wa kati. Awe anaishi Dar. Mimi ni mfanyabiashara naishi Dar. Umri wangu ni miaka 45. Nahitaji mwenye Elimu ya sekondari hadi chuo kikuu...
5 Reactions
17 Replies
438 Views
Back
Top Bottom