Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Hi! naitwa paul nina umri wa miaka 28,ni mwanafunzi wa chuo .natafuta mchumba ili mungu akipenda,aje kuwa mke wangu wa ndoa.anatakiwa awe mkristo na mwenye hofu ya mungu,umri kati ya 18-26.kama...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Mimi ni mtanzania ninayeishi Scandinavia na nimechukua uraia wa hapa. Natafuta mpenzi/mchumba anayeishi Europe kwa sababu itakuwa ni rahisi kutembeleana na kuwasiliana. Mimi ni mtaratibu, mkimya...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wana JF especially girls, nahitaji mdada mrembo aliyeelimika labda Diploma, Bachelor Degree, or Masters, awe faithful. Mimi nina Masters in International Trade. Aliyetayari ani PM.
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Jamani wana JF kijana mwenzenu nimechoka kuwepo kuwepo sana kwa hiyo nataka KUOA hivyo nipo kwenye mchakato wa kumpata. Wasifu wangu Jinsia, mwanaume Umri, miaka 29 Dini, mkristu Kazi...
0 Reactions
96 Replies
21K Views
Ni Ukweli Si Uongo wana JF. Mimi nina Miaka 30 Mwanaume Kamili..Natafuta Binti wa miaka 23-28. Lakini ni Lazima Tuanze kama Marafiki kwa muda kadhaa tupate Kuzoeana kwa kila hali
1 Reactions
64 Replies
9K Views
Hi you all happy valentine. I am trying hook up my friend with a blinddate. She is a very nice lady she has a daughter she is 5"9 caramel, nice body very smart, she doesnt smoke, drinks...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom