Natafuta mchumba au rafiki

Meale

Member
Nov 24, 2009
91
0
Jamani wana JF kijana mwenzenu nimechoka kuwepo kuwepo sana kwa hiyo nataka KUOA hivyo nipo kwenye mchakato wa kumpata.

Wasifu wangu

  • Jinsia, mwanaume
  • Umri, miaka 29
  • Dini, mkristu
  • Kazi, nimejiajiri
  • Kipato, cha wastani
  • Napendelea kuchat, kubadilishana mawazo, michezo, muziki na kusikiliza vyombo vya habari na kuangalia filamu za kuchekesha..

Ningependa kupata rafiki/mchumba mwenye sifa hizi japo sio lazima awe nazo zote.

  • Umri usiozidi miaka 30
  • Asiwe mfupi sana
  • Elimu isiyopungua ya sekondari
  • Awe anafanya kazi (kujiajiri au kuajiriwa)
  • Umbo la wastani
  • Sibagui rangi (race)

Mwenye sifa hizi au baadhi asisite kutuma PM au aniandikie email kwa
email address meale2005@gmail.com au tuwasiliane kwa simu no. +255 766 446688
 
.....Vp hapo mtaani unakoishi hakuna wasichana, kanisani je? Hapa bongo wasichana wapo wengi hujawaona au mdomo mzito!!!!
Jipe moyo labda unaweza kuopoa hapa JF.
 
Single and available wako wengi, kila la heri may be unaweza kumpata. Lakini ukishampata, tafadhali usimpige marufuku kuingia JF maana hapa ndipo mlipokutana.
 
Jamani wana JF kijana mwenzenu nimechoka kuwepo kuwepo sana kwa hiyo nataka kuoa hivyo nipo kwenye mchakato wa kumpata.

Wasifu wangu

  • Umri, miaka 28
  • Urefu, futi 6.0
  • Dini, mkristu
  • Kazi, nimejiajiri
  • Kipato, cha wastani
  • Napendelea kuchat, kubadilishana mawazo, michezo, muziki na kusikiliza vyombo vya habari na kuangalia filamu za kuchekesha..

Ningependa kupata rafiki/mchumba mwenye sifa hizi japo sio lazima awe nazo zote.

  • Umri usiozidi miaka 30
  • Asiwe mfupi sana
  • Elimu isiyopungua ya sekondari
  • Awe anafanya kazi
  • Umbo la wastani
  • Sibagui rangi (race)

Mwenye sifa hizi au baadhi asisite kutuma PM au aniandikie email kwa
email address meale2005@gmail.com au tuwasiliane kwa simu no. +255 772 884226

Je wewe ni jinsia gani na unge pendelea mchumba/rafiki wako awe jinsia gani? Maana for all we know you might be a 6' tall woman.
 
Yaani First Lady... ulichoweza kusema ni best luck?? Kama First Lady... ungetoa dondoo kwanza.. Mimi ningefurahi kama ladies wangesaidia kwa ushauri, hasa ikizingatiwa kwamba internet ni media , ambayo inaweza kuleta mapinduzi kila eneo.

Kwangu binafsi, naona ujielimishe kuhusu namna ya kumpata mchumba kwanza kwa kuzingatia imani yako ya kidini, halafu mengine yatafuatia.
 
.....Vp hapo mtaani unakoishi hakuna wasichana, kanisani je? Hapa bongo wasichana wapo wengi hujawaona au mdomo mzito!!!!
Jipe moyo labda unaweza kuopoa hapa JF.

Marafiki hukutana sokoni, kanisani, katika mabasi ya abiria, hapa JF etc etc you never know!
 
Dah mkuu hongera sana kwa uamuzi wa busara maana siku hizi magonjwa mengi hongera sana nitajitahidi kukupigia debe.
 
lakini huyu jamaa kweli mchumba atampatia hapa JF ..ina maana hana confidence za kuwaface hapo mtaani kwao,kazini,kijijini ,manesi kibao ,maticha ndo usiseme,,maafande wa UWTZ wamejaa tele ..
 
lakini huyu jamaa kweli mchumba atampatia hapa JF ....

Kwa nini asimpate bana? wapo wengi humu single wanatafuta wachumba hawawapati mwache ajaribu bahati yake.
NB.
Ukipata kumi nipigie pande na mm mmoja sawa mkuu?
 
Kwa nini asimpate bana? wapo wengi humu single wanatafuta wachumba hawawapati mwache ajaribu bahati yake.
NB.
Ukipata kumi nipigie pande na mm mmoja sawa mkuu?

Hahahaaa! Usijali Fidel80
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom