Je, unatafuta Mume?

Kukudume2013

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
1,659
731
Umri wangu miaka 45,

Muislamu naishi Dodoma. Natafuta mchumba sifa awe mweupe, mzuri, asiwe bonge nyanya au mwenye maziwa mengi.

Awe angalau na kidato cha nne, awe tayari Kuishi Dodoma nilipo.

Asiwe na mtoto zaidi ya mmoja au asiwe naye kabisa. Umri usizidi 35,

Akiwa tasa sawa tu. almuhimmu mapenzi awe nayo na hofu ya Allah

Asiwe taariku salaah
 
Unawataka hawa hapa;
Screenshot_20240402-221027~2.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom