Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
UFISADI WA MAKONTENA 329 BANDARI KAVU YA AZAMU ICD (2015)
To make a long story short,
Kama umekua mfatiliaji wa mambo, utakumbuka mnamo December, 2015, Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara TPA na...
Nimeshitakiwa kwa makosa ya kuwazuia TRA. Kufanya kazi yao na pia kuhari mali ya serikali ambayo ni gari, inayodaiwa kupigwa kwa mawe japo haijapasuka hata kio ila pia wakati tukio limetendeka...
Baada ya Makonda kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha leo hii, kumeibuka maswali na mijadala mbalimbali ikiwemo, Je amepanda cheo ama ameshuka?. Hapa nitajitahidi kieleza kadiri ya ninavyo...
Kati ya moja ya jiwe (case) muhimu kwako wewe kama mwanasheria ni hili, kesi hii iliyoamuliwa na Mahakama Kuu (MK) ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa ufafanuzi kuhusu sehemu sahihi ya...
Tukio lenyewe lilitokea hapo majira ya asubuhi mnamo Februari 21, 1978. Ni baada ya kuambiwa mumewe wakati anaenda kazini kwamba akirudi asimkute hapo nyumbani, na kama akimkuta, atamtoa hapo...
Mahakama za Tanzania hazilindi demokrasia wala haki vizuri sasa ni wakati wa kujiuliza zina faida gani hasa. Imekuwa kama vile mahakama zetu ni wasomi wasiojielewa kazi yao ni nini hasa zaidi ya...
Mahakama za kesi za ndoa.
Habari mpendwa msomaji!
Leo nitatoa elimu ya Mahakama zinazosikiliza kesi za ndoa na unafikaje hapo Mahakamani.
Kwa kusoma makala hii utajua mambo yafuatayo:
-Jinsi...
Hapa juzi nilisikia viongozi wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakisema wale wote wanaokiuka mfungo wa Ramadhani watachukuliwa hatua. Lazima nikiri huwa inanikera sana ninapokuwa Zanzibar kikazi...
Habari wanajamii, natumai mko njema.
Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kufungua file la usimamizi wa mirathi. Kwa maana vitu gani vinahitajika ili kuweza kuwa msimamizi na wapi anatakiwa kwenda...
Majaji 3 (MLYAMBINA, . KAKOLAKI, NA AGATHO) wa mahakama Kuu Dar wameto uamuzi huo tarehe 13/ 03/2024 kuwa kifungu cha 44(1) na 44(2) (section 44) vya sheria ya Ukomo (Law of limitation Act)...
Kuna jambo linaniumiza Kichwa sana.
Baba yangu alikufa 2014, babu yangu(baba wa baba yangu) akafa 2021.
Inasadikika muuaji ni mwanafamilia mshirikina; lkn hapa nataka kuleta hoja nisaidike...
Wadau leo wacha nianze na hii story fupi kisha nitaingia moja kwa moja katika kuconnect story hii na mada tajwa hapo juu .
Ok let's start:),
Ilikua ni jioni tulivu katika kijiji cha Mazingira...
Kuna dogo mmoja Ni ndugu yangu wa mbali!
Amepatwa na hekaheka ya kutotakiwa shuleni pamoja na wenzake kadhaa!
Msimamo wa mkuu wa shule ni kwamba hawawahitaji wanafunzi hao shuleni kwake, hivyo...
Naombeni kuulizia nina mkopo Bayport lkn nilipo acha kazi serikalini nikawapigia kuwauliza ni kwa namna gani nitawalipa pesa zao lkn waliniambia sipaswi kulipa kwa kuwa mkopo ulikuwa issued...
Naomba msaada wa namna bora au mwanasheria atakayenisaidia kumpeleka mahakaman baba mtoto wangu ili angalau awe analipa ada tu.
Mtoto ana miaka 9 yuko darasa la nne siku zote nimekua nikimlipia...
Mm nimtumishi wa umma katika idara ya afya, miezi sita nyuma nilihamia katika kata moja maeneo ya mkoa wa lindi kutumikia wananchi.
Sasa katika utoaji wa huduma eneo nilipangiwa kikazi kama...
Habari,
Naomba msaada/Muongozo jinsi ya kufikisha rufaa kwa Rais.
Nilipeleka rufaa tume ya utumishi wakaikataa, zaidi nimeongezewa kosa ambalo silitambui.
Na Mwajiri hakufuata kanuni za...
Namaanisha mwanafunzi wa kiume mwenye umri wa miaka 14
Ni kidato Cha pili!
Mwanafunzi huyu anatuhumiwa kumpa mimba Mwanafunzi wa kike kidato Cha kwanza miaka 13 ya umri
Mwelekeo ni kwamba wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.