Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nilipata ajali boda boda kagonga gari langu kwa nyuma na kusababisha uharibifu mkubwa tu. Sasa nashanga naambiwa eti kila mtu atengeneze chombo chake hii wanasheria humu ndani imekaaje? Msaada...
2 Reactions
15 Replies
366 Views
“Navigating Challenges and Aspirations” In the ongoing journey towards a robust and progressive judiciary in Tanzania, the foundational principles outlined in Article 107A of the Constitution of...
0 Reactions
3 Replies
244 Views
MGAWANYO WA MALI ZA FAMILIA BAADA YA MUME NA MKE KUACHANA. SEHEMU YA 2 Mgawanyo wa mali za familia baada ya mume na mke kuachana unapaswa ufanyike kwa kuzingatia haki, ili kila mmoja apate kile...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba mwenye soft copy ya civil procedure law by Chipeta
0 Reactions
2 Replies
122 Views
Majumuisho ya kesi mkakati zilizotolewa tangu miaka ya nyuma kuanzia 1983 hadi 2022 na maamuzi ya hukumu yakiangaziwa kwa kina kuona maamuzi ktk hukumu hizo NGURI WA SHERIA WAKUTANA JUKWAA MOJA...
0 Reactions
4 Replies
232 Views
Ninawasalimu kwa heshima za hadhi zote ndugu zangu wa JF. Kwa heshima kubwa ninawashukuru sana kwa mawazo yenu yote juu ya maada niliyoileta kwenu iliyosema "NILITENGENEZEWA ZENGWE NA MZAZI...
1 Reactions
1 Replies
171 Views
HATIBU GADHI & OTHERS versus REPUBLIC, 1996. Karibu katika sehemu ya kwanza ya uchambuzi wa kina wa kesi hii ya kihistoria yenye mengi yaliyojificha ama yasiofahamiwa na watanzania wengi wa...
3 Reactions
4 Replies
355 Views
Mimi ni Mtanzania mwezenu, nimeandika na kuweka katika jukwaa hili ili niweze kujengewa uwezo na ushauri na yeyote atakayeguswa na habari yangu; kama kuna sehemu haitaeleweka nipo kwa ajili ya...
33 Reactions
223 Replies
7K Views
AGNES DORIS LIUNDI vs REPUBLIC (1978) SOMA kesi hii ya AGNES DORIS LIUNDI ya mwaka 1978 alivyo waua watoto wake 3 na kubakiza taji liundi pekee. Shared to you by Mr. George Francis 0713736006...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba kuelekezwa na mfano wa barua ya kuomba udhuru, kutohudhuria siku ya kesi mahakamani mahakama ya mwanzo.
1 Reactions
1 Replies
179 Views
In her recent address on IDD-EL-FITRI day, President Samia Suluhu Hassan delivered a compelling call to action for all Tanzanians. She implored citizens to actively engage in preventing the...
1 Reactions
0 Replies
211 Views
Nyaraka za kufungulia na kujibu kesi Mahakamani (Pleadings) kama vile hati ya madai (plaint) na hati ya utetezi (WSD) zinatakiwa kusainiwa na mhusika (mdai au mdaiwa) pamoja na wakili wake (kama...
1 Reactions
0 Replies
255 Views
BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
Guys, nilifanya kazi sehemu kuna pesa nyingi sana haikuwa inaenda kule na sasa hivi nimeacha na ninaihitaji clearance na hilo eneo. Kulingana na status ya muajiriwa wangu wa zamani naweza...
1 Reactions
28 Replies
930 Views
Juzi (03.04.2024) tumeshuhudia Mh. Raisi akizindua Tume ya ulinzi wa taarifa binafsi na kusisitiza juu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwakufata sheria. Sasa, je ni kwanini Sheria ya ulinzi wa...
1 Reactions
4 Replies
357 Views
Hello Wasomi jinsia Ke na Me, salaam. Nimefuatwa kuombwa ushauri. Binti ameolewa na jamaa yapata miaka minne sasa na wamejaaliwa mtoto mmoja. Ndoa waliyofunga ni ya kikristo. Kama mnavyofahamu...
0 Reactions
2 Replies
188 Views
Maana nimewahi shudia jamaa mmoja alikamatwa na askari polisi akiwa amepaki gari yake na bibie wanakula mavitu na wakapelekwa polisi kufungulia charge.
0 Reactions
23 Replies
8K Views
Nahitaji criminal report na sijui wapi inatolewa au ni utaratibu gani wa kufata ili niipate. Naombeni kufahamishwa nimekwama
2 Reactions
2 Replies
336 Views
Hapa katikati Tanzania tumekua na maafa kadhaa. Kubwa kuliko yote lilikua la Hanang Manyara. Lakini leo pia kumekua na taarifa kwamba zaidi ya wanakujiji 895 kutoka katika kaya 179 za kijiji cha...
0 Reactions
0 Replies
185 Views
MGOGORO WA ARIDHI TONDORONI Kesi ya ardhi namba 85 ya mwaka 2016, iliyowahusisha wanakijiji zaidi ya 700 wa Tondoroni dhidi ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Leo(03.04.24)mahakama kuu chini...
2 Reactions
11 Replies
533 Views
Back
Top Bottom