Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
I am very excited with the situation in the country (U.S.).You just take tour to this link below and jot something thereafter.
Http://securingamerica.com/ccn/node/15631
Nimesoma baadhi ya magazeti ya wiki hii wakisema Inter consult ina tafuta mkurugenzi wa Kampuni inayoongoza uwanja wa ndege wa Kimataifa KIA KADCO
Chan kunishangaza zaidi maombi ya pelekwe kwa...
Warioba na sheria zinazobagua watu
Mwandishi Wetu Agosti 27, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba amesema matukio ya kifisadi ya hivi karibuni...
Chinese corruption law targets lovers and families of officials
Children, spouses and lovers could be jailed for more than seven years as scams reach new levels of sophistication
Chinese...
24.-(1) Bila ya kuathiri masharti ya sheria za nchi
zinazohusika, kila mtu anayo haki ya kumiliki mali, na haki ya
hifadhi kwa mali yake aliyonayo kwa mujibu wa sheria.
(2) Bila ya kuathiri...
NImeona hii picha ninayoambatanisha hapa chini, nikajiuliza, ni mamlaka gani na sheria zipi ambazo zinawapa mgambo nguvu kama polisi?
Mgambo wa Manispaa ya Ilala, wakimpeleka Kituo Kidogo cha...
Baada ya kusoma hukumu ya majaji wa mahakama ya rufaa katika kesi ya S.M.Z. vs. Machano Khamis Ali & Others (Criminal Application No. 8 of 2000) [2000] TZCA 1 (21 November 2000)
IN THE COURT OF...
Date::7/12/2008
Wabunge chanzo cha sheria mbovu za madini
Na Daniel Mwaijega
Mwananchi
MOJA ya hoja zilizopewa uzito katika mijadala ya bunge wiki hii, ni ile ya nishati na madini, ambako...
TANZANIA: Agreement signed with US to combat financial crimes
DAR ES SALAAM, 27 August 2002 (IRIN) - The US government and Tanzania have signed an agreement on technical assistance for capacity...
Ikiwezekana zikombwe ziwekwe sehemu hapa hapa kesho zisije kupotea bure.
Constitutional Law
Constitution of the United Republic of Tanzania
Constitution of the United Republic of Tanzania...
Kwa mtazamo wangu, sheria za Tanzania zinatekelezwa kwa kufuata 'social status' ya mtu na siyo kosa lililotendeka. Mfano, mwananchi wa kawaida akituhumiwa kuwa ametenda kosa fulani la jinai...
Kwa mtazamo wangu sheria za Tanzania zinatekelezwa kwa kufuata 'social status' ya mtu. Mfano, mwananchi wa kawaida akituhumiwa kuwa ametenda kosa fulani la jinai atawekwa chini ya ulinzi na polisi...
Wakuu, heshima mbele.... Nimesoma kwenye Thisday la leo kuna picha ya mwanamama amekamatwa (ameshutumiwa) kufanya "shoplifting" pale Imamalaseko. Binafsi nakiri kuwa adhabu aliyopewa ni...
Beijing-China,
The former Ruling Comumnist Party boss of Shanghai, who was also a member of Central Committe, the most powerful ruling body in China, Chen Liangyu, was yesterday sentenced to 18...
huu ni ujumbe au mchango wangu kwa Sirikali
Naomba waziri na Serekali ya Tanzania waelewe , sio kwamba watu wanapinga huo mswada, bali timining yake ndio mbaya, kwa sababu wameua shirika la...
Ndimara Tegambwage
Polisi, vitisho na Stella wa Msewe
SITAKI polisi wa Tanzania wasahau kwamba ni kwa matendo yao au kwa kutotenda kwao, wanaweza kuhatarisha usalama wa raia na mali zao.
Na...
Kuna mwanabodi anaweza kunipa msaada kwa kunipostia pdf ya revised edition ya 2002 ya sheria za bongo?? hasa principle legislation ikibidi subsidiary.
tafadhali please
Heshima wakuu.....
Nimesoma leo na baada ya kufuatilia ule mkutano wa wahandisi kuel Arusha, nimefurahishwa sana na kufunguka kwa mawazo ya watendaji wetu wa "Road Sector" hapa Tanzania...
Inawezekana vipi ziwepo taasisi zingine zinaonekana au zinajiona kuwa bora na haki zaidi ya zingine?
Iweje JWTZ watumie maji na washindwe kulipa wakati hata kwenye bajeti zao malipo hayo...
Are our leaders above the law?
BBC News Online
Nigerian president Umaru Yar'Adua revealed at the World Economic Forum that he supports the removal of the immunity clause from his country's...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.