Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu naombeni anaefahmu namna ya kupata VISA ya Panama maana hawana ubalozi nchini kwetu Tanzania
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nani ana-access ya ajira portal?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
2018 CHAPTER BREAKFAST MEETING – INFORMATION SYSTEM AUDIT 21st August 2018 AT 08:00AM-10:30AM Start your day off right! ISACA Breakfast Meetings offer timely industry information and networking...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, inapotokea mtumishi amefuata taratibu zote za kuomba uhamisho, yaani ameomba nafasi ya kuhamia sehemu kupitia kwa mwajiri na akajibiwa kupitia kwa mwajiri kuwa nafasi ipo na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
http://www.tcu.go.tz/images/documents/TAARIFA_KWA_UMMA_KUHUSU_UDAHILI_-_14.8.2018_Final.pdf
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Samahani naomba Email address ya Kizuka secondary school tpdf. Kwa anaefahamu naomba anijuze tafadhali. Ahsanteni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nina miaka mitatu kazini nataka kurudi nyumbani kama unataka kuja Morogoro wilaya ya Malinyi nije wilaya ya Hai,Rombo na Moshi vijijini idara elimu sekondari kama unapenda kulima ardhi yenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu, ninandugu yangu anasoma chuo kikuu nje ya Tanzania. Kutokana na vyuma kukaza nafikiria kumuhamishia nyumbani yaani Tz ila sijui utaratibu wa kufuata naomba mnisaidie...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Njoo Morogoro wilaya ya Malinyi iliyopo karibu na wilaya ya Ulanga,Kilombero na Ifakara mji nije Moshi vijijini, Moshi Manispaa, Rombo na Hai idara elimu sekondari mawasiliano 0655669079/0719576667
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anayependa kuja Mkoa wa Morogoro wilaya mpya ya Malinyi mimi nije Moshi vijijini hasa kata ya kimochi au wilaya ya rombo,hai au siha idara ya elimu sekondari anitafute kwa namba hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa nini somo la history advanced level A au B huwa chache? Nipeni namna ya kufaulu kwa viwango tajwa hapo juu katika mtihani wa mwisho.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wakuu naomba kuuliza. Kwa mfano umechaguliwa chuo let say UDSM lakn facult ulopangiwa hujaridhika nayo, je unaweza kwenda kuibadili na kusoma ile uipendayo?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
I offer home tuitions only on physics, chemistry & mathematics for both Ordinary level & Advanced level. My contacts: 0625755889 Location: Morogoro Town
1 Reactions
2 Replies
567 Views
The University of Dar es Salaam through the School of Education and the Department of Educational Psychology and Curriculum Studies invites applications for admission into a MASTER OF EDUCATION IN...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna issue ya AVN imekuwa tatio jaman.Nacte wanasema wahitimu wawasiliane na vyuo vitume matokeo ndo wapatiwe AVN.... Hivi Nacte si ni bodi inayosimamia vyuo vyote vya ufundi..kwanini...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada mwanangu anahalisha ana umri wa miezi 7 nimempeleka hospital kapatiwa vipimo vyote lakin hakuonekana na ugonjwa wowote, hivyo naombeni ushauri kwa yeyete mwenye utaalamu au uzooefu na mambo...
0 Reactions
2 Replies
675 Views
Habari za wakati huu ndug, Naomba kuuliza kuwa walimu wa shule za msingi waliokuwa wameajiriwa mwaka Jana waliajiri kuanzia GPA ya ngap?
1 Reactions
3 Replies
692 Views
Habari zenu, Nina ushauri mdogo kwa wadogo zangu kidato cha 6 wanaotaka kuapply vyuo Aisee ,msidanganyane huko mtaani,nakushauri kasome kitu unachokipenda,siku hizi hakuna ajira sio...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Amepata 3 ya 17 form six phy_F bios_E Chem–E Bam-E lakini o-level ana Bios-B Chem-B Phys-C Maths-A English-B je anaweza pata diploma kwa chuo au collage yoyote? Na kozi ipi? Kwa chuo kipi...
0 Reactions
3 Replies
589 Views
Habari wana Jf natumaini ni wazima wa afya , samahani ndugu zangu kama kuna MTU ana ufahamu vizuri na kozi hizi naomba anifafanulie vigezo vya kusoma kozi hizi kwa ngazi ya cheti au diploma...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom