bloggerboy
JF-Expert Member
- Nov 13, 2017
- 568
- 1,211
Habari zenu,
Nina ushauri mdogo kwa wadogo zangu kidato cha 6 wanaotaka kuapply vyuo
Aisee ,msidanganyane huko mtaani,nakushauri kasome kitu unachokipenda,siku hizi hakuna ajira sio mwalimu,injinia au daktari hakuna anaeajiriwa
Kama unaenda kusoma kwa influence ya kuajiriwa sahau hicho kitu unachofeel kutoka moyoni
Hata kama unapenda music its better ukasome music itakusaidia !
Nashukuruni sana
NB:Nina experience na haya mambo,kwa sasa mambo yamebadilika sana sio kama zamani
jpm anatupeleka kwenye mfumo wa kujiajiri