News Alert: DED anapo kataa kupitisha kibali cha uhamisho NA KUFUNGA DATA SHEET

jonas255

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
222
104
Habari wanajamvi,

inapotokea mtumishi amefuata taratibu zote za kuomba uhamisho, yaani ameomba nafasi ya kuhamia sehemu kupitia kwa mwajiri na akajibiwa kupitia kwa mwajiri kuwa nafasi ipo na baadaye mwajiri huyo akakuombea kibali Tamise kupitia kwa RAS, Katibu mkuu tamisemi anatoa kibali cha uhamisho wako na baadaye DED anakataa kupitisha kibali na kukufungia data sheet bila sababu zozote za msingi na ameng'ang'ania barua yangu.

je nifate utaratibu gani ili niweze kuhama naombeni ushauri wenu... JINA NIMEONA KWENYE LIST YA MAJINA YA TAMISEMI
 
Back
Top Bottom