News Alert: NACTE AVN NI ZAIDI YA TATIZO;

SIX ICYLICENT

Member
Jul 31, 2015
11
1
Kuna issue ya AVN imekuwa tatio jaman.Nacte wanasema wahitimu wawasiliane na vyuo vitume matokeo ndo wapatiwe AVN....
Hivi Nacte si ni bodi inayosimamia vyuo vyote vya ufundi..kwanini wasiamulishe/au waweke utaratibu wa lazima kwa vyuo vyote kutuma matokeo jaman ..mpka wahitimu wakapige tena goti ndo matokeo yatumwe???????????
 
Hapa kwanini upige magoti nacte lkn wewe siumesoma huku chuo nakilipia ni responsibility ya chuo kuhakikisha muhitimu wake anatambulika kote. Kama hawafanyi hivyo nafikiri hwatendi haki kwa wahitimu wao. Pambana nao wapeleke hata mahakamani ukiweza kwa sababu wanakunyima haki yako ya msingi. Umelipia kwa miaka kadhaa unahitimu mamlaka hazikutambui hii si haki na wa kulaumiwa hapa nafikiri ni hapo uliposoma.
 
Back
Top Bottom