News Alert: Msaadawa mawazo

Filbert Marco

Member
Jul 15, 2018
9
5
Msaada mwanangu anahalisha ana umri wa miezi 7 nimempeleka hospital kapatiwa vipimo vyote lakin hakuonekana na ugonjwa wowote, hivyo naombeni ushauri kwa yeyete mwenye utaalamu au uzooefu na mambo ya afya hasa kwa watoto
 
Mkuu peleka uzi huu kule JF Doctor-watakujibu kule.
 
Back
Top Bottom