News Alert: Naomba kujua utaratibu wa kuhama chuo kutoka vyuo vikuu vya nje ya nchi kuhamia vya tz

Aug 22, 2013
66
66
Habari za jioni wakuu, ninandugu yangu anasoma chuo kikuu nje ya Tanzania. Kutokana na vyuma kukaza nafikiria kumuhamishia nyumbani yaani Tz ila sijui utaratibu wa kufuata naomba mnisaidie maelekezo, ni utaratibu upi nafuata.

Natanguliza shukrani
 
Ni kada/fani/kozi gani huyo ndugu yetu yupo ?
Kama naona vile kwamba suluhisho pekee ni kuanza upya vyuo vya hapa nyumbani.
 
Back
Top Bottom