wafuasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Tundu Lissu akutana na Wakili wake Robert Amsterdam

    Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani Chadema nchini Tanzania, Tundu Lissu leo Oktoba 8 amekutana na wakili wake, ambaye anaitwa Robert Amsterdam. Hivi karibuni Tundu Lissu alisema amemuelekeza mwanasheria wake Bob Amsterdam kuanza taratibu za kuishtaki kampuni ya Millicom ambayo ilikuwa...
  2. Nyani Ngabu

    Nimeshindwa kujizuia kuificha furaha yangu kwa haya yanayoendelea nchini dhidi ya CHADEMA na wafuasi wao.

    Initially I was low-key loving it. Not because it’s the right thing to do [what’s happening to them]. As a matter of principle, I don’t countenance it. But, just out of spite, I’m Mickey D’s lovin’ it. Walizidi mno kuchonga midomo yao kana kwamba hayo mambo yalianzia wakati wa Ngosha tu...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Mbowe alivyokimbiwa na wafuasi wake ni kama Yesu alivyoachwa solemba na wanafunzi wake akakamatwa na jeshi la Rumi

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna watu wanauliza Wafuasi wa Mbowe(Wanachadema) walikuwa wapi wakati kiongozi wao anakamatwa na Askari pale kwenye Magomeni. Wapo wapi anaowapigania? Wapo wapi waliopatwa na madhila, majanga ambao Mbowe na viongozi wenzake anawasemea na kuwapigania? Yesu...
  4. GENTAMYCINE

    Kiboko ya Wachawi aonekana DR Congo, awatambishia Watanzania kuwa anakula maisha. Asema amemisi zile laki tano za kiingilio

    Baada ya serikali kulifungia Kanisa la Christian Life Church linaloongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe maarufu Kiboko ya Wachawi, sasa mlinzi wake maarufu Mwarabufighter1 ameposti video kwenye mtandao wa kijamii akiwa na Mchungaji Dibwe Lubumbashi nchini Kongo. Soma pia: Kufungiwa kwa...
  5. USSR

    Dhaka inawaka moto wafuasi wa waziri mkuu aliyejiuzulu na kukimbia nchi wameibuka kumtaka arudi

    Makundi hasimu mawili yakichagizwa na ukabila yanapambana mitaani lile linalomuunga mkono Shekhe Hazina na lile linalompinga yanapambana katikati ya jiji lenye watu wengi sana kieneo la Dhaka. Wahindu na waislam wanapambana kila mmoja akijiona kundi lake ndio linafaa kutawala . Hili ni somo...
  6. W

    Pastor Mackenzie akana Mashtaka ya Mauaji ya Wafuasi zaidi ya 400 Shakahola

    Kiongozi wa dhehebu, Paul Mackenzie anayekabiliwa na mashtaka ya kuhamasisha wafuasi wake zaidi ya 400 kujinyima chakula hadi kufa amekana mashtaka ya mauaji ya bila kukusudia Agosti 12, 2024 Mackenzie alikamatwa Aprili 2023 baada ya miili 429 ikiwemo watoto kufukuliwa katika msitu wa Shakahola...
  7. Tlaatlaah

    Pre GE2025 CCM ina wafuasi, wakereketwa na wapiga kura wengi zaidi ndani ya vyama vya upinzani nchini

    Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM. Yaani, macho, maskio na shauku kubwa mno ya wana ccm, vyama vya upinzani, wananchi na waTanzania kwa...
  8. figganigga

    Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA, Wajiandae kumpoteza Rose Mayemba

    Salaam Wakuu, Natoa tahadhari kwa Wafusi wa Mheshimiwa Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA. Kama wafuasi wa Mbowe wataendelea kutukana Viongozi wa CHADEMA kama walivyofanya kwa Mchungaji Msigwa, Wajiandae kumpoteza Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Njombe Rose Mayemba. Mheshimiwa Rose Mayemba...
  9. Melki Wamatukio

    Hatimaye Bunge lapata wafuasi na wafuatiliaji ambao ni vijana. Niipongeze serikali kwa jitihada hizo

    Vijana ndio nguvu kazi ya taifa, hivyo kuna umuhimu mkubwa wa serikali kuhakikisha kuwa nguvu hiyo ndiyo inayohusiswa kwa 100% ili mipango ya nchi ikae sawia Bunge la sasa si sawa na bunge la zamani. Bunge la miaka hiyo lilitazamwa sana na wazee huku vijana wa ovyo akiwamo mimi tulifuatilia...
  10. Crimea

    Wafuasi wao wa Twitter tu walitosha kumchangia Lissu mabilioni ya pesa

    Hili suala la Lisu kuchangiwa gari nimeona lisipite hivi hivi. Pamoja na ubovu wote wa Samia ila wafuasi wa chadema ni wanafiki sana aisee. Mpaka leo wiki inaisha Lisu hajafikisha hata sh. milioni 20 za kumnunulia gari! Lisu ana wafuasi zaidi ya laki 7 twitter Maranja Masese wafuasi laki...
  11. R

    Tundu Lissu ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa wafuasi Tanzania kwa sasa; ni msema kweli na anafanya mindset reform ya wananchi

    Kwa sasa hivi Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye mvuto Tanzania. Hoja zake zinajadiliwa na kila mtu na zimepelekea hata vyuo kutunga mitihani kuhusu Muungano na hali ya siasa nchi ni. Mwanafunzi wengi wanaofanya mitihani ya majaribio wameona reflection ya hoja za Lisu kwenye masomo na maswali...
  12. Shining Light

    Wafuasi wanamsihi Rais Paul Biya mwenye umri wa 91 wa Cameroon ambaye ameongoza kwa miaka 40 kugombea urais wa 2025

    Wafuasi wanamtaka kiongozi mkongwe zaidi duniani, Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 91, Paul Biya, kugombea urais katika uchaguzi wa urais wa 2025, ukiwa ni uwezekano wa kuongeza utawala wake wa zaidi ya miongo minne. Watu kadhaa walikuwa wakipiga nyimbo katika mji mkuu wa Cameroon...
  13. Mto Songwe

    Dini zingesambazwa kama ambavyo Atheism inasambaa sidhani kama zingekuwa na wafuasi wengi hivi

    Namna ambavyo Atheism inasambaa ulimwenguni kwa sasa kadiri miaka inavyo songa katika njia ya amani inanipa faraja na kusema hii ndio njia ambayo dini ilipaswa kuitumia. Huwezi kuta Atheists wanatumia nguvu kubwa kama vita, kuchinja watu, kulipua watu ili wasiamini kuwa kuna Mungu lakini haya...
  14. edwayne

    Mambo ambayo biblia, Yesu, quran, Allah na Mohamed walidaganya wafuasi wao

    Kuna mambo katika dunia hii dini na manabii zao waliamua kudanganya watu. Ifuatayo ni ni orodha ya mambo ambayo waliamua kudanganya. Dunia ina ardhi 7 na mbingu 7 (Allah + muhamad) Quran ipo moja tuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23](Hii wafuasi waliamua kudanganya ulimwengu, quran zipo...
  15. Sildenafil Citrate

    Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC. Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
  16. Webabu

    Papa Francis asema Israel ni magaidi walioua wafuasi wake ndani ya kanisa Gaza

    Papa Francis alitoa tamko hilo leo kwenye misa na kusema Israel imetumia mbinu za kigaidi kushambulia kanisa hilo la madhehebu ya kikatoliki Dada mmoja anyeitwa Nahida Khalil na mwanawe Samar walikuwa wameingia kanisani humo kufanya ibada kabla kushambuliwa na kuuawa. Kiongozi huyo akaendelea...
  17. B

    Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

    Mada kama hizi huelekezwa kwenye vile vyama vyenye ule wito mtakatifu wa ukombozi. "Ikiwapendeza waheshimiwa, waungwana kabisa:" Falsafa ya chama ni jambo la msingi zaidi katika chama chochote. Falsafa hutoa utambulisho halisi wa chama. Ikaweza kutofautisha baina ya vyama. Ikazaa imani za...
  18. Pang Fung Mi

    Viongozi wengi wa Serikali za Kiafrika wanaabudu ni wafuasi wa shetani ndio maana hawana utu na ubinadamu

    Ujumbe wangu ni huo fanyeni utafiti, wachawi na wafuasi wa mashetani hawana utu na ubinadamu na mioyo yao haina huruma. Mbele ya mchawi binadamu yeyote ni chakula chao. Wenye macho ya rohoni na utambuzi mtaongezea mengine. Ni hayo tu
  19. Webabu

    Wapenzi wa Hamas Afrika Kusini wateka eneo la wafuasi wa Israel na kulikalia. Polisi waingilia kati kuwaokoa

    Uungwaji mkono wa Palestina umezidi kupaa kote duniani. Huko Afrika kusini jioni ya jana Jumapili kikundi cha wanaounga mkono Israel kilikuwa kimeandaa ibada ya kuiombea Israel katika vita vyake dhidi ya Hamas na kuwaombea mateka wanaoshikiliwa huko Gaza.Shughuli hiyo ilikuwa ikiendelea...
Back
Top Bottom