Kijengwe viwanda vya spinning ambavyo vitakua vinachakata pamba na kuwa nyuzi (yarn) ambao hutumika kutengeneza fabric (vitambaa vya aina mbalimbali)
Maelezo mengine yapo kwenye video
Yutong, Zhongtong NK walazimishwe wafungue viwanda vya kufanya assembling ya mabasi yao hapa nchini.
Hii itasaidia sana kuongeza ajira, kukuza welewa, na kujenga uzoefu kwa mafundi wetu wa ndani.
Otherwise serikali itoe motisha kwa makampuni ya kizawa yanayozalisha mabodi ya basi ili...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imeridhia kupumzishwa kwa shughuli za uvuvi katika Ziwa Tanganyika.
Ziwa hilo linatarajiwa kufungwa kutokana na makubaliano ya nchi nne zinazotumia ziwa hilo huku baadhi ya wabunge wakionesha kutoridhika na hatua hiyo.
Umeme ni kikwazo kikubwa sana kwa Tanzania hasa linapokuja swala la viwanda hasa smelting ambazo kwa kiwango kikubwa sana zinatumia umeme mwingi mfano smelting ya aluminium inaweza ikatumia megawatts 4000
Smelting ili ziwe na faida zinatakiwa ziwashwe kwa mda hata wa miaka 2 ndo zizimwe kwa...
Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja.
Sisi ni nchi ambayo watu wengi by 80% and above wanategemea kilimo. Hakua ajira za viwandani and the...
Kama Tanzania inataka kuachana na umaskini basi ni wazi unit moja ya umeme inatakiwa iuzwe sh 50 kwa matumizi ya wananchi na sh 20 kwa matumizi ya viwanda
Faida ya unit kuwa bei ndogo
Ukuaji na kuongezeka maradufu kwa shughuli za viwanda
Ukiajia wa biashara
Kuongezeka mapato serikali
Mfano...
Maendeleo ya viwanda yamekuwa sehemu muhimu ya mikakati ya maendeleo ya Tanzania baada ya uhuru. Hasa, hatua ambazo maendeleo ya viwanda yamepitia ni pamoja na maendeleo ya viwanda katika uchumi mchanganyiko(Mixed Economy 1961-66); mwelekeo wa uongozi wa serikali katika maendeleo ya viwanda kwa...
Kuibuka kwa Viwanda vya Giza Vinavyojiendesha vyenyewe: (full automatic) 24/7na Bila Wafanyikazi au Taa.. Nice hatua nyingine kubwa kwenye maendeleo ya viwanda
Mapinduzi Yajayo ya Viwanda
Sekta ya utengenezaji inakumbana na mabadiliko ya dhana, yanayochochewa na maendeleo ya kiotomatiki, akili...
Sekta ya uzalishaji inatarajiwa kuingia katika hatua mpya ya maendeleo ambapo viwanda vitaendeshwa kikamilifu kwa teknolojia bila kuhitaji wafanyakazi wala mwanga. Viwanda hivi vitajulikana kama viwanda giza, kutokana na uwezo wake wa kufanya kazi bila mwanga wa taa, kwa kuwa havihitaji uwepo wa...
Ma TV, redio na magazeti muda wote, usiku na mchana kipindi cha Magufuli yalikuwa yakimwaga sifa kuwa serikali ya Magufuli ni ya viwanda.
Matakwimu ya uongo kutoka wilayani, mikoani yalikuwa yakipikwa na kupelekwa NBS.
Kwa muda mfupi tu tukaambiwa viwanda vya Magufuli vimeajiri vijana million 2...
Tanzania ina madini, ardhi yenye rutuba, gesi asilia, na rasilimali nyingine nyingi, lakini bado inaagiza bidhaa nyingi kama mafuta ya kula, sukari, na nguo. Je, ni changamoto zipi zinazokwamisha uzalishaji wa kutosha ndani ya nchi?
Ujenzi wa mwalo wa Chato Beach uliopo mkoani Geita umefikia asilimia 91 huku Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikisema imeridhishwa na kasi ya ujenzi wa mwalo huo.
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Deodatus Mwanyika amesema mkandarasi aliyejenga mwalo huo anastahili kupewa kazi...
Umewahi kujiuliza kwanini viwanda havitengenezi Product za kudumu? Yani mfano zitengenezwe tairi za magari zisizoisha.
Dawa ya meno inayozuia kabisa meno yasiharibike.
Kiwanda cha nguo zisizochuja kabisa?
Huo uwezo wanao ila hawawezi kufanya hivyo...! Kwanini?
Mwaka jana nilikutana na jamaa...
Inasemwa bwawa la Nyerere likianza zalisha full capacity tutakuwa na ziada ya 1200 MW. Na kwamba umeme huo tutauuza nje. Ukweli ni kuwa umeme wetu ni mdogo sana, hiyo ziada ni vile tu wengi hawatumii umem.
Sasa, badala ya kuuza huo umeme nje kwa nini tusianzishe EPZs, Export Processing zones...
Serikali ipunguze bei ya viwanja vya kujengea viwanda, viwanja vya kuweka biashara. Kuuza kiwanja cha kiwanda kwa @20,000 kwa mita moja ya mraba au 30,000 kwa sqm au 50,000 kwa sqm ni bei juu mno na inaua uzalishaji wa bidhaa hasa kwa vijana na wazawa, hakuna kijana mwenye milioni 500 au 1B kwa...
Miaka ya hivi karibuni inashuhudia matajiri wakiongezeka. Wanatunza fedha benki. Ndio maana BONDS zikitangazwa fedha zinatolewa zaidi ya bond. Ina maana watamzania wana fedha kwenye mabenki.
Nawashauri watanzania weusi. Wasioogope kuwekeza kwenye viwanda. Matajiri wakubwa ni wenye viwanda...
Obinna Anyalebechi (Mkurugenzi Mtendaji wa SBL) akizungumza katika warsha ya siku moja iliyokutanisha wadau wa sekta binafsi na wadau wa maendeleo kutoka mashirika mbalimbali kuzungumzia mikakati ya kupambana na biashara haramu ya pombe nchini Tanzania. Kuanzia kulia ni Khadija Ngasongwa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Jumatatu Februari 17, 2025 amekutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) akihimiza suala la Ujenzi wa viwanda na ufufuaji wa Viwanda vilivyokufa Mkoani Arusha kama sehemu ya Mkakati wa kukuza dhamira njema ya...
VIWANDA VINNE VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI KUJENGWA MKOANI DODOMA - WAZIRI MAVUNDE
▪️Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba*
▪️Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina nyingi za madini nchini*
▪️Atoa rai kwa Mikoa kutenga meneo maalum ya viwanda vya kuongeza thamani
📍...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.