ziwa tanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MSAGA SUMU

    90% ya Watanzania hawafahamu kama ziwa Tanganyika kuna Submarine kubwa sana

    Kama sio mfuatiliaji wa mambo au mvuvi unayefika kina kirefu ndani ya ziwa Tanganyika huwezi kujua hii inshu. Siku moja saa 8 usiku tulikuwa tuko katikati tunarekebisha nyavu, tukakutana na submarine nadhani walikuwa wanajaza mafuta. Ilikuwa ni kubwa sana japo kuwa asilimia kubwa ya chombo...
  2. Jamesdominic

    Tutatumia ziwa Tanganyika kwenye umwagiliaji

    "Baada ya Bunge la bajeti kukamilika tunatarajia kuanza kuyatumia maji ya ziwa Tanganyika katika shughuli za kilimo na uzuri mitambo tunayo naamini Jambo hili litafanikiwa" - Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo Tanzania Waziri Bashe pia amebainisha kuwa mikakati ya serikali ni kuanza kutumia maji...
  3. Mhaya

    Tanzania ni nchi yenye maziwa makuu mengi barani Afrika, kwanini bado kuna shida ya maji hususani kwenye mikoa inayozungukwa na maziwa hayo?

    Tanzania [emoji1241] ni moja kati ya Nchi zilizobarikiwa kwa rasilimali nyingi na ardhi nzuri Duniani. Miongoni mwa rasilimali tulizonazo ni Maziwa Makuu ambayo ni Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa (Likifahamika kidunia kama Ziwa Malawi) na mengine kama Ziwa Rukwa, Ziwa Eyasi, Ziwa...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Uzi maalumu wa Mashujaa wa ziwa Tanganyika, Mashujaa FC

    Hii ndio timu pekee inayoshiriki ligivkuu kutoka mkoani Kigoma. Mashujaa FC ni timu inayomilikiwa na Jeshi la Wananchi Tanzania JWTZ, na msimu huu 2023/2024 wamepanda daraja baada ya kuifunga timu ya soka ya Mbeya City Fc kwenye mechi zote mbili. Mpaka sasa Mashujaa FC IMECHEZA mechi tatu...
  5. Kigoma Region Tanzania

    Ndubu ni samaki wa ajabu anayepatikana Ziwa Tanganyika

    Samaki huyo mwenye mpomo au Komwe jina lake anaitwa NDUBU, ni samaki mwenye kuvutia kwa macho anapendeza mno akiwa kwenye maji. Samaki huyu ni moja ya kivutio cha watalii katika ziwa letu Tanganyika. Hutumika kama samaki wa kuliwa ni mtamu sana na mwenye ladha nzuri na pia hutumika kama samaki...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Meli yazama ziwa Tanganyika na kuua wawili

    Wawili wafariki kwa ajali ya Meli ndani ya ziwa Tanganyika. Watu wawili akiwemo kapteni wa MV. Tanganyika wamefariki kwenye ajali ambayo imetokea usiku wa tarehe 16 juni 2023 Meli hiyo ambayo ilikua ikitokea Kigoma nchini Tanzania kuelekea Kalemi nchini RDC ikiwa na mzigo wa mafuta ya petroli...
  7. Justine Marack

    Uovu ziwa Tanganyika. Lifungwe haraka

    Kabla ya utekelezaji wa mkataba wa kufunga Ziwa Tanganyika, lazima tuyajue mambo kadhaa Kwa uhalisia wake. Mwambao mwa ziwa Tanganyika mkoani Kigoma kuanzia Kata ya Kagunga( Mpakani) Mpaka Kata ya Kalya Kigoma kusini hapo ndipo utakuta makundi ya wahamiaji/ wavuvi Haramu kutoka Burundi na...
  8. Lady Whistledown

    UPDATE: Serikali yaahirisha kufungwa kwa Ziwa Tanganyika

    Zikiwa zimebaki siku 10 kabla ya Tanzania kuanza kutekeleza makubaliano ya kusimamisha shughuli za uvuvi katika Ziwa Tanganyika kwa Miezi 3, Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega amesema Serikali imesitisha zoezi hilo ili kuruhusu ushirikishwaji wa Wananchi na kupatikana kwa...
Back
Top Bottom