uvumilivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ninamiliki blogu inayoniingizia wastan laki 4 kila mwezi, sio pesa ya haraka bali ni uvumilivu na consistency

    Blogging sio kazi yangu, naweza kusema ni kama aina ya mti nilioupanda mimi navuna tu, nina shughuli zingine Watu wengi wanapofungua blog wazo linalowajia, ngoja nifanye kama blogger flani niposti habari za michezo, miziki, udaku, n.k. hapa ndipo watu wengi sana wanafeli na kuzifunga blogs zao...
  2. L

    Hakukuwa na sababu ya Profesa Mkenda kuzungumza aliyoyazungumza hadharani. Kiongozi ni kuwa na Kifua na Uvumilivu

    Ndugu zangu Watanzania, Sote tumeyasikia maneno na kauli za Waziri wa Elimu Mheshimiwa Profesa Adolph Mkenda akilalamika kuwa alizungushwa kupata nafasi ya kuonana na Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Mimi...
  3. R

    Tundu Lisu akishinda uchaguzi chadema watabaki Chadema, akishindwa wafuasi wake watahama chama kwani hawana uvumilivu

    Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama. Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya hivyo. Kitendo cha Lema kujitokeza mwishoni ni mkakati wa chama kupata attention zaidi ya umma. Leo hadi...
  4. mchemsho

    Uvumilivu wa Kidini; Bomu zaidi ya "Nyuklia" kwa Watanzania wengi (eeh Mungu tuepushe)

    Habari Wana JF na WATANZANIA kwa ujumla. It has come to my ATTENTION kwa kauzoefu kadogo nilikonako hapa JF, Nime experience kwamba NYUZI zenye mielekeo ya Imani Fulani (Islam or Christianity) ndio NYUZI zinazochangiwa kwa hisia KALI na CHUKI dhidi ya imani nyingine waziwazi , thanks to JF...
  5. DR HAYA LAND

    Mwanamke yupo na uwezo mkubwa wa uvumilivu.

    Jumapili njema . Katika nyakati tofauti huwa watu wanazungumzia uwezo wa uvumilivu wa mwanamke katika MAISHA. Leo nitazungumzia kuhusu uwezo wa kipekee wa mwanamke unaitwa Incubation power incubation ni uwezo ambao mwanamke anakuwa nao unaomfanya kuweza kumvumilia MTU au jambo fulani, au...
  6. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kuna zile siku zilizotiwa giza zitakufikia, usiziogope. Utashinda ukiwa na subira na uvumilivu, kinyume na hapo utajimaliza kwa mikono yako mwenyewe

    Kuna zile nyakati bhana… ndoa inazingua mno mno hadi unajiona wewe si kitu mbele za watu! Hata ukiwa kwa daladala unahisi wale abiria wenzio wote wanajua kile unapitia na ni kama wanakuzomea😂 Ni kipindi kigumu sana sana huzuni juu ya huzuni fanya ukisikie kwa jirani tu kisikukute! Ni kipindi...
  7. A

    Kwanini uvumilivu umepungua kwa kasi sana

    God is good, Kila unapotoka kwenye kizazi kimoja kwenda kizazi kingine UVUMILIVU unapungua sana, nini shida? Unakuta kijana wa miaka 20 amekata tamaa kabisa! 27 Siku zote za Methusela ni miaka mia kenda na sitini na kenda, akafa. Mwanzo 5:27 Sasa kama Methusela aliishi miaka 969 tukipewa...
  8. U

    Fahamu Sifa kuu za Muislamu ni pamoja na kujizuia, uvumilivu, kusamehe, huruma na hawana woga wa kusema ukweli tuifate dini ya mwenyezi Mungu

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ndizo sifa kuu za Muislamu Uslamu ndiyo dini ya haki duniani kote Ni wenye akili. Daima wapo makini, kwa sababu wana ufahamu wa ibada zao. Daima huwahudumia waumini na dini kwa kutumia akili. (al-Mumin, 40/54; az-Zumar, 39/18) Ni wenye kupambana kiakili kwa nguvu...
  9. Mpwimbe

    Kwa yaliyotokea jana, ni uthibitisho kuwa Mashabiki wa Yanga kwenda Uwanjani inahitaji moyo na uvumilivu wa chuma

    Mashabiki wa Yanga tunapenda kusapoti timu yenu na wengi jana kuanzia asubuhi walifika uwanjani. Wengine nyumbani wameacha familia, wengine wameaga wazazi kufanya angalau mtoko. Wengine walikuwa na watoto, na wengine wameacha watoto nyumbani. Watu wametoka Kimara, Kibaha, Tegeta, Chanika...
  10. M

    WanaJF wafuatao wanastahili tuzo ya uvumilivu kwa kutoyumbishwa na mashambulizi kila wanapopost nyuzi zao

    Tofauti kabisa na kina Malisa GJ, Maria Sarungi au Martin Maranja ambao hawana kabisa uvumilivu kwa yeyote atakayekuwa kinyume na mawazo yao hawa wanaJF wanapaswa kutunukiwa tuzo za uvumilivu kwa kutojali mashambulizi ya watu pale wanapopost nyuzi. 1. ERYTHROCYTE Huyu mfuasi kindakindaki wa...
  11. Mshamba wa kusini

    Makabila yenye wanawake waliokosa uvumilivu kwenye ndoa

    Makabila haya mwanamke anaweza kukuacha hata kwa kumsonya tu. 1.warangi 2.wapare 3.wahaya 4.wameru 5.wachagga
  12. Informer

    Zanzibar: Serikali yalaani vitendo vya unyanyasaji wa kidini vinavyoendelea visiwani

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi. Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
  13. Frank Wanjiru

    Atunukiwa Tuzo ya Uvumilivu na Rais Mwinyi

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhi tuzo ya Mwananchi Mvumilivu kutoka Pemba, Ndg. Omar Seif Omar, iliyokabidhiwa kwa mtoto wake Ndg. Hamad Omar Seif, kutokana na yeye kushindwa kuhudhuria kwa sababu ya maradhi yanayomsumbua. Tuzo hio...
  14. R

    Rais Samia alijifunza wapi kuvumilia wanaomkosoa na kutweza utu wake? Uvumilivu wake una baraka kwa Taifa au aachana nao?

    Hayati Magufuli alikuwa ni mwafrika tena mwenye mfumo dume. Alikuwa baba ambaye amekuzwa katika kusema ukweli na kushinikiza kutendeka kila anachotaka yeye. Alikuwa mzazi asiyependa kukosolewa na kila aliye nyanyuka kumkosoa alichapwa na kuambiwa acha utovu wa nidhamu. Tuliokulia kwenye familia...
  15. Nassibuabdul

    Jifunze uvumilivu pale unapokosa, na kuwa mvumilivu pia unapopata ulichokuwa ukikitafuta kwa muda mrefu

    Jifunze uvumilivu pale unapokosa, na kuwa mvumilivu pia unapopata ulichokuwa ukikitafuta kwa muda mrefu. Maana kila kitu kina Muda, shida na raha zote upita hakuna kinachodumu milele tofauti na aliyetuumba. #HiiKamaUpepo #realmsafi
  16. Nehemia Kilave

    Tofauti kubwa kati ya Hayati Magufuli na Rais Samia ni uvumilivu na kiwango cha ubinadamu. Tuipende Nchi yetu

    Habari Jf , Tanzania inajengwa na itajengwa na watu wanao ipenda ingawa wengine wanaijenge kwa maslahi yao binafsi lakini maendeleo kama haya huja na maumivu makubwa kwa wengine. Rais Samia na hayati Magufuli wote ni watu wenye upendo wa kweli na Nchi hii ukiachana na siasa na propaganda...
  17. GoldDhahabu

    Watanzania walioonesha uvumilivu wa kisiasa nchini

    Sisemi kwamba ni wakamilifu, lakini kwa matendo yao, wameonesha kuwa wanao uvumilivu mkubwa wa kisiasa, na hivyo ni sahihi au ilikuwa sahihi kwa wao kushika nafasi kubwa za kisiasa nchini. Miongoni mwao ni hawa wafuatao: 1. Mzee Ally Hassan Mwinyi 2. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete 3. Freeman...
  18. sky soldier

    Baadhi ya maumbile madogo ni wanaume ndio huyasababisha, kama upo makundi haya dawa ipo lakini uvumilivu wako ndio tiba.

    Kuna wale wanaume ambao wana maumbile madogo na kuhisi ndivyo walivyo lakini kiuhalisia hawakuumbwa hivyo. 1. Walioanza kupiga punyeto kabla au balehe inapoanza - kundi hili waliingilia process za uume kupata size kamili kipindi cha balehe. 2. Waliovaa chupi zilizokuwa zinabana - nao hawa...
  19. DR Mambo Jambo

    Tuwe wavumilivu kwa masuala tunayoyapenda na hata kwa tusiyoyapenda pia

    Katika ulimwengu huu na miaka hii ambapo patience intertwines with the passions, muda mwingi tunatamani kusikia yale tu tunayoyapenda kutoka kwa watu, na hata kuna yale tusiyoyatamami mtu ayasikie tunapoona yanasikika tunakosa uvumilivu, muda mwingi tunatamani kuyaondoa mawazo hayo lakini bad...
  20. R

    Kwa namna Madeleka anavyomtukana Dr. Makakala mitandaoni, itoshe kusema Makakala ana roho ya uvumilivu. Uongozi ni Busara na hekima, hongera mama

    Mfumo wetu wa nchi kiongozi ni mfalme na yeyote atakayenyanyua mdomo atachukuliwa hatua. Mfumo wa majeshi ndiyo mbaya kabisa kwa sababu wanaamini kwamba wapo juu ya kila jambo. Dr. Makakala ni kiongozi wa taasisi ya usalama nchini anayepitia magumu kutoka kwa wale wanaotamani aondolewe kwenye...
Back
Top Bottom