Ule utaratibu mlio ufanya miaka miwili nyuma ulikuwa utaratibu salama labisa kumaliza tatizo la walimu vijijini, lakini huu utaratibu mlio urudisha tena huu una rushwa kwenye wilaya huko, walimu wote wanaishia shule za mijini zilizo rundamana walimu na wanaenda kiripoti na vimemo , huku...
# Wanatangaza Ajira 14 elfu.
# Wanafanyisha interview.
# Wanafauru vijana kwa kadri wanavyoweza.
Kisha. TAMISEMI INAANZA KUTOA MAJINA 40 KILA SIKU kanakwamba hizo Ajira walilazimishwa kuzitangaza
vijana wameacha kujihusisha na shughuri za kiuzalishaji fully toka January mpaka Leo huo mchakato...
Mkurugenzi wa Serikali za Mitaa, Tamisemi, Angelista Kihaga, tunakuomba ufanye ziara ya kustukiza kutembelea miradi ya maendeleo inayotekelezwa na Halmashauri ya Moshi Manispaa.
Miradi hii ina umuhimu mkubwa kwa maendeleo ya jamii na inahitaji uangalizi wa karibu ili kuhakikisha inatekelezwa...
Wakuu mamlaka husika fikeni TANESCO SHINYANGA MJINI vibarua wanapitia changamoto sana hakuna mfumo rasmi wa malipo ni miezi miwili hawajalipwa na hawajui watalipwa lini inglieni kati kuboresha maslahi yao njaa na madeni zinawaumiza ukizingatia ni kazi ngumu wakipitishwa tandale kwenye makande...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa amempa mkandarasi anayejenga jengo la TAMISEMI katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma miezi miwili kuhakikisha anakamilisha ujenzi, ili ifikapo Juni Mosi mwaka huu jengo hilo lianze kutumika rasmi...
Umemaliza zako chuo, pengine ni injinia.
Unatafuta kazi mwishowe unaajiliwa halmashauri fulani ambayo kwa muundo wa utawala wapo chini ya Tamisemi.
Mwenzako uliyemaliza nae anapata zake kazi Tanesco, Tanroads au taasisi nyingine.
Gepu linaanzia hapo, huko halmashauri unakutana na madiwani...
Fikiria unawapelekea Vituo binafsi vijana wenye nguvu, kisa wanahoji kuhusu matumizi ya hela ambazo ki msingi wao ndio wanazikusanya? Kituo cha private unapeleka wafanyakazi zaidi ya wawili hapo nani ananyfaidi?
Serikali inafaidikaje na hawa watumishi waliopo vituo hivi?
Unamtoa Mfamasia...
KAMATI YA BUNGE YA TAMISEMI YATAKA ULINZI WA DARAJA LA MAWE GARKAWE
OR-TAMISEMI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, imewataka wananchi kuacha shughuli za kilimo kando ya mto ulipojengwa Daraja la Mawe la Garkawe katika barabara ya Maretadu - Garkawe, Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara ili...
Habari...kuna ajira zilitangazwa mwaka jana tarehe 3.8.2024 Za wasaidizi wa hesabu daraja 1 Sasa ni miezi sita hawajaita watu kufanya usaili shida kubwa hapo ni nin, wenye ujuzi wa haya mambo tufahamishe je, nimuda gani waombaji wanaweza kuitwa kwenye usaili baada ya kuomba au haina...
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Stephen Wasira amefika kutoa pole nyumbani kwa Waziri Wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mohamed Mchengerwa na kushiriki dua ya kisomo kufuatia kifo cha Baba yake mzazi, Alhaj Omary Mchengerwa.
Alhaj Omary Mchengerwa, amefariki dunia alfajiri ya leo Jumatatu...
Habari wadau,
Ivi mfano wew ni muajiriwa wa serikali Tamisemi, ukabahatika kupata kazi Taasisi kwa kufaulu usaili kama watu wengine, mchakato wa kuhama upo vipi?
Naomba muongozo wenu natanguliza shukrani
Ndugu zangu watanzania,
Nawaleteeni taarifa ya majonzi na masikitiko makubwa sana juu ya kifo cha Baba mzazi wa Waziri wetu wa TAMISEMI Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa ambaye Amefiwa na Baba yake Mzazi mzee Omary Mchengerwa akiwa katika ibada huko Makka.
Ambapo taarifa inasema ya kuwa atazikwa...
Husika na kichwa habari hapo juu;
Nashauri, masuala yanayohusu Elimu nchini yashughulikiwe kipekee zaidi kuanzia usimamizi na uratibu wake.
Hivyo basi: nashauri wizara ya Elimu iwe ndo mratibu mkuu wa shughuli zote za Elimu nchini kuanzia halmashauri mpaka Taifa, na vibao vyote vya shule...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Zainab Katimba, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kukabiliana na upungufu wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha, huku kwa sasa ikiwa katika majaribio ya matumizi ya teknolojia ya madarasa janja.
Katimba...
Hii Hoja, ni Hoja ya kimantiki sana na Nzito ambayo hata MTU asokua na Elimu ataiamini na kuikubali haraka.
Ifanyeni Hoja hii iwe kubwaaaaaa sana ,ikishakua Kubwa, inaaminika kirahisi.
Tatizo la CHADEMA, Hamfanyi matumizi sahihi mitandao ya kijamii.
Hii ni Hoja nzito Sanaa .
Kwanza...
Habari ya wakati huu, ninaomba msaada juu ya kitu kinaitwa mfumo kwenye elimu,nasikiaga tuu usajili ,uhamisho n.k unafanyika kwenye mfumo,huu mfumo upoje? na mbona waalimu wanautumia vibaya kwa kuhamisha hovyo watoto bila ridhaa ya wazazi na watoto? nilipost kuhusu harufu ya ufisadi shule ya...
Serikali kupitia ofisi ya Rais, Tawala za mikoa na serikali za mitaa - TAMISEMI (Afya) imeahidi kuchangia zaidi ya Milioni 600 hadi kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya cha Ukumbi kilichopo Kata ya Ukumbi Wilaya ya Kilolo Mkoa wa Iringa.
Ahadi hii imetolewa na Naibu Waziri wa ofisi...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amewataka wakuu wa Idara na Vitengo vya Sheria katika Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuhakikisha wanazingatia weledi, uadilifu, na uwajibikaji katika majukumu yao ili kuepusha uzembe unaoigharimu serikali.
Akizungumza...
Habari wana jamvi, poleni na majukumu ya kila siku katika kulijenga taifa letu.
Naomba niende kwenye mada hapo juu, ni hivi:
Shule ya Tunduru Jamhuri Academy ni shule ya serikali inayosajiliwa kama English medium na inaendeshwa kwa michango ya wazazi tangu kuanzishwa kwake, shule hii tangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.