A single parent is a person who lives with a child or children and who does not have a spouse or live-in partner. Reasons for becoming a single parent include divorce, break-up, abandonment, death of the other parent, childbirth by a single woman or single-person adoption. A single parent family is a family with children that is headed by a single parent.
Ulizaliwa na mama yako akiwa hajaolewa na pengine akaja kuolewa na mwanaume mwengine tofauti na baba yako, mwanamke huyu unamsifu.
Lakini hapo hapo unawadharau single mothers kwamba hawafai.
Hii tunaiitaje ?
Pia kwa upande mwengine kuna single mothers wanatamani kuolewa lakini wao hawataki...
Afrika ya mababu zetu haikuwa kitu kinaitwa " Single mothers".
Kwa sababu 👇👇👇👇👇👇
1.( a) All women belonged to the community.
( b) All mothers belonged to the community.
( c) All children belonged to the community.
( watoto wangu watoto wangu watoto wako watoto wangu. But now tumeiga uzungu...
Miongoni mwa Aina ya wanawake wapambanaji katika hii Dunia ni Hawa single mothers. Big up sana💪
NB: unaweza kuwa mwanamke mpambanaji Kama ukiamua kuwa hivyo,
"siyo mpaka upigwe tukio"
Today I would like to celebrate single mothers. I may not have been raised by one but the burden of single motherhood is not lost on me.
One of my ex is a single mother. She has one lovely boy! From what i see her go through, my admiration and respect for her goes higher each day.
Single...
Nikiwa nimejawa na jazba nawakemea watoto wa kiume na wavulana wote wanaodhihaki na kuwa kebehi single mothers.
Ieleweke kwamba, single mother ni mama yake mtu, ni kama alivyo mama yako. Aidha, wanawake hawa ni majasiri, wameamua kutunza uhai , kinyume chake wangetoa mimba na kuwa kama hayo...
son preference still exists mwanamke ukizaa nje ya ndoa mtoto akiwa wa kike jamaa aliekupa mimba anaweza kutokomea mazima
ukizaa mtoto wa kiume probably anaweza kukuoa
Mkiyapata majibu ya swali hili mtajua umuhimu wa kulinda ndoa zenu.
Maandiko yanasema mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.
Umeolewa unakuta sms moja tu kwenye simu ya mumeo unaondoka na watoto.unaenda kuolewana lizee au unageuka nyumbandogo ya mume wa mtu.
Hao watoto...
Leo nimeamua niongee Na Hawa single mother s , kwanini mmeamua kuwatesa watoto wenu? Ni sawa umezaa Na jamaa huenda ilitokea kwa bahati mbaya ulikuwa humpendi au mlikuwa wapenzi kwa bahati mbaya katika mahusiano yenu ukawa umepata ujauzito, baadhi ya wanaume ni kweli wanakuwa hatawaki kutoa...
Habarini wanajamvi.
Imeshakuwa ni wimbo wa taifa kuwatuhumu single mothers kwa uzembe na kuwa number one suspects katika kushiriki kuibomoa taasisi nyeti sana ya familia.
Upo ukweli katika hili wapo wengi wao sana walijiingiza katika mahusiano kwa tamaa aidha kwa kujihusisha na wanaume wenye...
Hatimae Mjanja M1 nimeacha tabia ya hovyo ya kuwasakama Dada zetu waliozalia nyumbani.
Nachukua muda huu kuwaomba radhi kwa maneno yote ya hovyo niliyowahi kuyasema huko nyuma, najua niliwaumiza na kuwafanya mjione hamna thamani (Naomba radhi).
Najua wengi mtajiuliza ni nini haswa kilichofanya...
wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu..
Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote.
Mwanaume anavaa...
Unajua hata kama huoni kuwa masingle mothers wanafaida basi. Ila wao kwako wanafaida nyingi.
Kuzaa nakupata mtoto ni hazina ya mbeleni na sasa . Kuitwa mama fulani ni raha sana . Mwanamke mbwahuyu hafai kazaa njee ,ila yeye anafuraha anawatoto na wanampa kampani akija home .
Mtoto wake anampa...
Mko powa
Nawapa siri vijana kama kuna wanawake waliokomaa na walio serious kuwa WAKE WATIIFU kwa waume zao basi ni single mothers, hao wameshapevuka kiakili wameshajifunza kutokana na yaliyopita. Wana akili ya maisha, hawana makuu kwao kuolewa ni ndoto iliyotimia wanaienzi na kuiheshimu mno...
Habari za usiku.
Nilidhani changamoto ya single mothers ni hukuhuku kwetu nchi za matopeni.
Lakini kumbe nilikuwa nakosea. Hata ulaya kwa wazungu nao wanatoa maneno ya karaha, kejeli, dhihaka kwa single mothers kama ilivyo huku kwetu
Nilifikiri kwa kuwa wenzetu wako mbele kwa ustaarabu hivyo...
TAFITI ZINAONYESHA 80% YA WAHALIFU DUNIANI IKIWEMO MAJAMBAZI, WABAKAJI, WAUAJI, MASHOGA WAMELELEWA NA SINGLE MOTHERS YAANI FATHERLESS
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Andiko hili halipo kwaajili ya kuwakandia single mothers bali lipo kwaajili ya kuonyesha matatizo ya u-single mother ambayo...
Habari zenu wakuu,
Nimekuwa naona nyuzi nyingi sana zikiwasema wanawake waliozaa nje ya ndoa kuwa hawafai na sio wa kuwaoa abadani. Kiukweli hili suala ni nyeti na linahitaji mjadala mkubwa ila mimi nitaongelea sababu zinazofanya wanaume wenzangu wengi wawe wagumu kuoa au kuanzia mahusiano ya...
Habarini
Utakuta ukimuuliza mdada kwanini hadi umri huo alio nao hajaolewa na yupo single, atakwambia hajaona mwanaume serious, baadhi ni kweli hawajapata wanaume serious, ila wadada wengine ni kwamba hata wao wenyewe hawapo serious kwenye hayo mahusiano wanayoingia.
Wanaingia kwenye...
Jamaa amezinguana na mkewe.
Mkewe kakimbilia kufungasha mizigo na vyombo vya ndani. Ameacha amefanya uharibifu kwa kuvunja simu ya msela kwa makusudi. Simu hiyo alinunuliwa na mme wake sasa wakati anaondoka mme alimtaka aiche (lengo mme akague kuona kama kuna ajenda iliyojificha yq yeye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.