samia hassan suluhu

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    Serikali inavyokwenda kumaliza changamoto ya maji Dar kwa Mradi wa Maji- Kidunda

    *SERIKALI YA RAIS SAMIA INAVYOKWENDA KUMALIZA CHANGAMOTO YA MAJI DAR KWA MRADI WA BWAWA LA MAJI- KIDUNDA. Na Bwanku Bwanku. Leo kwenye Gazeti lako pendwa la Tanzania Leo ukurasa wa 14 nimechambua Mradi mkubwa wa maji wa Bwawa la Kidunda unavyokwenda kumaliza changamoto ya maji Jijini Dar es...
  2. J

    MV MWANZA " Hapa Kazi Tu" yashushwa Majini, ni furaha kuu Jijini Mwanza!

    Tukio liko mubashara TBC Watu ni Wengi sana sana kwa kweli hii ni Baraka Wafuasi wa vyama wakiwa Ndani ya sare zao nao wapo CCM, Chadema na ACT Wazalendo Mungu ni Mwema wakati Wote
  3. Anna Nkya

    Mwenyekiti Mbowe, kweli Rais Samia amefanya mazuri ila sifa kwake zimezidi!

    Nahisi Mwenyekiti Mbowe amelewa, hii sio sauti yake ya kawaida. Ametumia mkutano huu kujisafisha kuhusu kulamba asali. Japo Rais Samia Suluhu anafanya vziuri lakini ametumia muda mrefu sana kumsifia. Is MBOWE OKAY?
  4. M

    CCM jitokezeni kulaani ufisadi huu

    Kuna kila sababu kwa Chama cha Mapinduzi kujitokeza hadharani kulaani ufisadi na ubadhirifu mkubwa wa mali za umma uliotawala katika Halmashauri karibu zote hapa nchini ambapo miradi mingi imesimama hasa ya Vituo vya Afya na Sekondari Mpya. Mbunge wa Buchosa, Erick Shigongo amesema kwenye jimbo...
  5. saidoo25

    Mzee Kikwete akanusha kuwepo kwa Mawaziri wanaotafuta fedha na mikopo nje ya nchi kumg'oa Samia Uchaguzi 2025

    TAFAKURI YA KAULI YA RAIS MSTAAFU JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIYOITOA KWENYE MKUTANO MKUU WA 10 WA CHAMA CHA MAPINDUZI 8/12/2022 DODOMA Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amemtaka Mh. Rais Samia Suluhu Hassan asisikilize porojo zinazotolewa na baadhi ya watu kuwa kuna mawaziri wanaokwenda nje ya nchi...
  6. chiembe

    Fredrick Sumaye: Samia ataongoza nchi mpaka 2030

    Hizi ni salamu kutoka kwa gwiji la Siasa za Tanzania. Ametumikia chama tawala na aliongoza Chadema. Amezitoa salamu wakati Rais Samia Leo hii, akiwa ziara Mkoa wa Manyara. Anasema kwa tathmini yake, hakuna wa kumuondoa SSH katika nafasi ya urais mpaka 2030. Huyu ni mtu aliyekaa na akina pipoz...
  7. K

    Rais Samia Hassan Suluhu asikubali kila kitu!

    Salam wakuu, Sina kinyongo na watoto wa wakubwa kujazana kwenye chama na serikali. Rai yangu moja,Mama ni vyema baadhi ya wanafamilia wake akawaweka nje ya chama na serikali. Mfano kuna mmoja mbunge,Kuna wengine ndio hivyo kwenye taasisi, wengine mme waziri etc etc. Hii sio dalili njema...
  8. N

    Rais Samia ni mwanadiplomasia namba moja Afrika

    Rais Samia Suluhu ni mwanadiplomasia namba moja africa ameimarisha diplomasia katika nchi mbalimbali na leo ameelekea nchini China kwa ziara ya siku tatu. Habari za haraka kuhusu ziara ya Rais Samia Suluhu nchini China. 1. Amekuwa Rais wa kwanza wa Afrika kukutana na Rais Xi tangu kuongezewa...
  9. Notorious thug

    Rais Samia Hassan Suluhu wapunguzie adhabu Wafugwa hawa

    Poleni na majukumu ya kila siku wana jukwaa. Wiki mbili zilizopita nilikua Kanda ya Kaskazini mikoa ya Kilimanjaro, Arusha na Tanga nilipata bahati ya kutembelea Magereza ya Karanga(Kilimanjaro-Moshi) Kisongo(Arusha) na Maweni(Tanga) niliona vijana wadogo umri miaka 19-23 wakiwa gereza...
  10. N

    Hizi ndio bei za mbolea ambazo wakulima watanunulia kuanzia Agosti 15, 2022 baada ya bilioni 150

    Utashangaa kiukweli hii inaonyesha ni Kwa namna gani serikali inawasikiliza watu wake hasa katika kuhakikisha inawapunguzia makali wakulima kutokana na hali ya kupanda kwa bei za mbolea katika soko la dunia si Tanzania pekee bali ni ulimwenguni kote. Zipo sababu kadhaa zilizosababisha bei...
  11. kevylameck

    Matokeo ya Sensa na Vifo Vinavyozuilika Kwenye Jamii

    Na Kevin Lameck Nchi Wanachama wa Umoja wa Mataifa mwaka 2015 zilipitisha Ajenda ya 2030 ya Maendeleo Endelevu na Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs). Lengo la tatu la ajenda hiyo lililenga afya bora na ustawi. Tangu wakati huo, WHO imekuwa ikisaidia mipango ya nchi na kufuatilia maendeleo...
  12. B

    Rais Samia kuzindua mradi wa Maji wa Mbalizi na kuzungumza na Wananchi

    KAZI INAENDELEA, RAIS SAMIA KUZINDUA MRADI WA MAJI WA MBALIZI NA KUZUNGUMZA NA WANANCHI ASUBUHI HII SAA 5. Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa Agosti 05, 2022 anatarajia Kuzindua Mradi wa Maji wa Mbalizi (Songo- Igale). Mhe. Rais Samia pia atazungumza na Wananchi wa Mbalizi...
  13. kevylameck

    AUGUST ni Mwezi wa SENSA! Mwezi wa kutambulika

    Baadae mwezi huu,Jumanne ya August 23 kutafanyika tukio kubwa, la kihistoria na lililobeba mustakabali wa maendeleo yetu. Baada ya miaka 10 kupita,Sensa ya watu na makazi ya mwaka huu itakuwa ya sita kufanyika nchini baada ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Sensa nyingine kulingana na...
  14. B

    Kinana kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya CCM Nyanda za Juu Kusini

    ZIARA YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM- BARA NYANDA ZA JUU KUSINI. Ziara ya Ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman O. Kinana kukagua uhai wa Chama pamoja na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM 2020-2025 inaendelea na sasa ni zamu ya Mikoa ya Katavi,Rukwa, Songwe, Mbeya. CCM...
  15. B

    Rais Samia aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM - leo jijini Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, aongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) iliyokutana leo Juni 22, 2022 katika Ukumbi wa (White House) Makao Mkuu ya CCM Jijini Dodoma.
  16. B

    Mwenezi Shaka Hamdu Shaka kufanya mkutano na Waandishi wa Habari leo 23 Mei 2022

    🔥🔰MWENEZI SHAKA HAMDU SHAKA NA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI ASUBUHI HII🇹🇿. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumatatu tarehe 23 Mei, 2022 atafanya Mkutano na Waandishi wa Habari kwenye Ofisi za Makao Makuu ya CCM (White House) Jijini Dodoma...
  17. B

    Awamu ya 6 inavyochanga vyema karata kukabiliana na tatizo la ajira nchini kwa kutengeneza ajira milioni 8

    AWAMU YA 6 INAVYOCHANGA VYEMA KARATA KUKABILIANA NA TATIZO LA AJIRA NCHINI KWA KUTENGENEZA AJIRA MILIONI 8. Na Bwanku M Bwanku. Jana Alhamisi Mei 19, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua namna Serikali ya Rais Samia inavyokabiliana na tatizo la ajira nchini. Changamoto...
  18. B

    Alichofanya Rais Samia kwa wafanyakazi ni zaidi ya kuupiga mwingi

    ALICHOFANYA RAIS SAMIA KWA WAFANYAKAZI NI ZAIDI YA KUUPIGA MWINGI. Na Bwanku M Bwanku. Leo Jumatatu Mei 16, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua kiundani hatua ya Serikali ya Rais Samia kukata kiu iliyosubiliwa kwa hamu kubwa na Wafanyakazi kwa miaka 6 kwa kuongeza...
  19. B

    Rais Samia ni kinara wa maslahi ya wafanyakazi

    RAIS SAMIA NI KINARA WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI. Na Bwanku M Bwanku. Jana Mei Mosi, Dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi na Nchi yetu ilifanya Maadhimisho haya Kitaifa Jijini Dodoma ambapo Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi. Na Mimi Bwanku M Bwanku leo Jumatatu Mei 02, 2022 kwenye Gazeti la...
  20. B

    Rais Samia kushiriki mkutano wa Benki ya Dunia Aprili 23, 2022

    MHE. RAIS SAMIA KUSHIRIKI MKUTANO WA BENKI YA DUNIA KESHO JUMAMOSI. #Repost ///@ikulu_mawasiliano: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kushiriki Mkutano wa Benki ya Dunia (World Bank Group) tarehe 23 Aprili, 2022 Saa 4:00 Asubuhi katika Makao Makuu ya benki hiyo...
Back
Top Bottom